Search results

  1. S

    Zitto - Kamati ya madini - CHADEMA

    Mimi sishangai sana, Wangwe akili zake huwa siyo nzuri licha ya kuwa na ushawishi hususan katika jimbo lake. Na mimi naamini ushawishi wake si kwa CHADEMA kwa ujumla, bali zaidi ni kwenye jimbo lake. Kwanza Wangwe is too mechanical. Pili, Wangwe huwa ana utamaduni wa kupinga karibu kila kitu...
  2. S

    Fununu: Mabadiliko Jumatano ya Baraza la Mawaziri

    VIPI KUHUSU WALIOTAJWA KWENYE KASHFA YA UFISADI: KAMA KARAMAGI, CHENGE NA WENGINEO? INA MAANA WATAENDELEA KUWEPO?
  3. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Inatuhusu kwa sababu mnataka kutumia pesa zetu za kodi kuendeshea mambo yenu ya kidini na vilevile tunaiheshimu katiba yetu ambayo hairuhusu ubaguzi wa kidini, rangi wala kabila. Jambo linalotia shaka, kwa nini mnadai Mahakama ya Kadhi itashughulika n a baadhi ya sheria za Quran kama ndoa na...
  4. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Waislam hususani wa hapa Tanzania na baadhi ya nchi za Africa wasipokaa chini na kujiuliza kwa makini wanaweza kuendelea kuwa walalamishi kuwa wanaonewa na kujenga hoja dhaifu kila mara. Tukubali tusikubali, matatizo ya Waislam yanasababishwa na dini yao kuwa na "Poor Institutional...
  5. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Hayo ni mawazo finyu kabisa. Watu wanashindwa kuelewa kuwa Vatican ni nchi na mahusiano yetu ni ya nchi na si ya dini. Sina haja ya kurudia mifano ambayo imetolewa, lakini ukweli ni kwamba kama dini inatumika kuwa kigezo katika uhusiano, kuna balozi nyingi sana ambazo zipo hapa Tanzania na nchi...
  6. S

    Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

    Kwa ujumla habari hii ina maswali mengi kuliko majibu
  7. S

    Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

    Naomba mniweke sawa, hivi kweli sms hutokea isioneshe namba? Yaani iwe private? Mimi nafahamu hiyo hutokea wakati wa kupiga, lakini sms huonesha namba.
  8. S

    Live: Kizota Dodoma

    Unaposema 20 bora unamaanisha nini? Mchujo unaendelea au hao ndio wameshachaguliwa tayari?
  9. S

    JK kutumia Mkutano wa CCM kulihutubia Taifa

    Hii ni dharau, na inaonesha ni jinsi gani viongozi wetu wasivyojua kutofautisha majukumu na mamlaka ya chama na yale ya Serikali. Si mara ya kwanza kufanya hivyo, hata last time wakati kukiwa na mkutano wa Halmashauri Kuu kule Dodoma alifanya hivyo ingawa ilikuwa ni kwa style nyingine. Alisema...
  10. S

    Wapinzani mna la kusema Uchaguzi wa Udiwani?

    Safi sana JJ!!!!!! endelea kutuletea, maana naona wengine wameanza kejeli wakati bado hata matokeo hayajajulikana vyema.
  11. S

    Chadema msiba wa Salome hawahusu?

    Lakini hata kama tukizungumzia vyama vya Siasa, Mtu wa Pwani ina maana chama alichoona hakijatoa salam za rambirambi ni CHADEMA tu? Mbona hajahoji kuhusu CHAUSTA, SAU, NLD, DP na vinginevyo?
  12. S

    Chacha Wangwe Kuyafikisha Mahakamani magazeti Kwa Kumchafulia Jina

    Hakuna cha kutafutwa hapa, ulichoharibu wewe ni kutumia lugha chafu. Unatakiwa kuwasilisha ujumbe wako kwa kutumia kichwa na si kutumia moyo: Kichwa kinatawaliwa na hekima na busara, bali moyo hutawaliwa na hisia (emotions).
  13. S

    Chacha Wangwe Kuyafikisha Mahakamani magazeti Kwa Kumchafulia Jina

    Sawa, hata mimi sishauri kwenda mahakamani sioni umuhimu wowote, kwanza jambo lenyewe siyo zito hadi aamue kwenda mahakamani. Mimi hoja yangu ilikuwa juu ya neno pumbafu, mimi naliona kama tusi. Kama siyo tusi basi sawa.
  14. S

    Chacha Wangwe Kuyafikisha Mahakamani magazeti Kwa Kumchafulia Jina

    We Koba, kutukana siyo vizuri sasa. Wewe toa hoja zako, sisi tutaziona na kuzipima. Mbona unamtukana tena huku ukitambua kuwa ni Mbunge wako? Elewa kuwa kuchaguliwa kwake na wananchi kuwawakilisha ni heshima kubwa.
  15. S

    MUFTI, MASHEHE WATIMULIWA IKULU (wapekuliwa kisha wafukuzwa, yumo shehe Yahya.

    Tatizo Watanzania tunapenda kukaribisha wakati hatujamaanisha kweli. Pengine Kikwete naye alitamka kwa kawaida ya Kitanzania "Karibuni jamani!!!" wenzanke wakachukulia serious. Mimi nadhani mwaliko wa tafrija maalum kama hiyo ya Ikulu kulipaswa kuwa na kadi au barua maalum. Sasa je, ilitolewa...
  16. S

    Vita Kali ndani ya CHADEMA

    Sisi tunazingatia mambo ya public interest, si mambo ya mtu binafsi. Mbona Clinton alikuwa fuska na aliongoza nchi ya Marekani vizuri kuliko hata Bush?
  17. S

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Haya ni maajabu ya aina yake. Kwa kweli mimi baada ya kusoma taarifa hiyo nimechoka kabisa. Ilikuwaje akagombea Urais hadi akashinda wakati alikuwa haelewi matatizo ya wananchi anaotaka kuwaongoza? Ni kichekesho na ajabu kweli!!!! Maana huwezi kutatua tatizo bila kuelewa chanzo chake, ndio maana...
  18. S

    Mbeya waichezesha kwata CCM - Mawaziri wazomewa

    Mimi sasa narejea ukweli kama ulivyoandikwa katika kitabu cha Mhubiri 3:1 na kuendelea kwenye Biblia; Kuwa kwa kila jambo kuna majira yake na kila kusudi chini ya Mbingu, wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa, wakati wa kucheka na wakati wa kulia. Sasa naona C.C.M. ni wakati wake wa kulia kama si...
  19. S

    Waziri Kapuya aibiwa

    Waandishi wana "sense of news" wanapima na kuona kuwa ni kitu gani kinaweza kufanya jambo kuwa habari. Kwa harakaharaka mimi naona aliyeandika habari hiyo ana high sense of news; Bila shaka kaangalia mambo/vigezo matatu kutengeneza hiyo habari 1. Kapuya ni waziri 2. Alipata ajalijuzijuzi 3...
  20. S

    Serikali kuchukua hatua dhidi ya wahujumu BoT?

    Tujihadhari pia na takwimu, maana watu wanaweza kumanipulate takwimu na kufanya tuonekane tuko bora kumbe tuko hovyo. Takwimu za Kimataifa siyo za kuamini sana nazo, tuangalie hali halisi sisi tunavyoiona hapa ndani. Zipo baadhi ya taarifa zenye utata hebu angalia pia mfano wa taarifa ya mwaka...
Back
Top Bottom