Search results

  1. M

    Sensa na makarani na wakufunzi

    Only in here, nchi ambayo tunabangaiza maisha,wengine hata tunaishi chini ya USD 1 kwa siku lakini inafikia mahali eti hata zoezi Dogo tu la kumtuma mtu kaya fulani akaandikishe idaidi ya watu nae anahitaji kupewa seminor ya takriban wiki 3 na kila siku unamlipa na mkufunzi wake unamlipa ,kweli...
  2. M

    Tukikumbushe vipindi maarufu vya Radio Tanzania Daresalaam enzi hizo,

    Mahoka, Mazungumzo baada ya habari Kandanda, Matangazo ya vifo Mkulima wa kisasa Zilipendwa Majira Malenga wetu Habanahaba
  3. M

    Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

    Wakuu habarini za usiku, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo. Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira duni sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu...
  4. M

    Baada ya kutengana miaka nane (8), juzi kanitafuta

    Wanajamvi habari za muda huu, Bila kuwapotezea muda niende direct kwenye mada husuka, huyu bidada tulikuwa katika mahusiano naye miaka 8 iliyopita na nikimuacha baada ya kumfumania analiwa na mume wa mtu, aliomba sana msamaha bila mafanikio na nili mtema jumla. Harakaharaka mwaka unao fuata...
  5. M

    Mtoto wa kambo wa kaka yangu ni haramu kufanya naye ngono?

    Wakuu habari za leo, bila kupoteza muda ipo hivi: huyu mtoto wa kike kazaliwa na shemeji yangu baada kuachana na kaka yangu. Watoto wawili wa mwanzo ni wa kaka yangu kabisa akafuata yeye ni wa baba mwingine, wote wananiita baba mdogo. Sasa huyu anasoma chuo mkoa jirani na ninapoishi mimi...
  6. M

    Kanitafuta baada ya kuniacha miaka saba kwa kumfumania. Je, akili zake zipo sawa?

    Wakubwa shkamoni wengine habari zenu. Stori ipo hivi: Miaka 9 iliyo pita nilikuwa na mchumba'tulijuana yy akiwa mwaka wa pili chuo Fulani akisomea kazi Fulani,alihitimu na kupangiwa mikoa ya magharibi kikazi na mm nilimfanyia shopping na kumpeleka akaripoti,nilikaa nae wiki kusoma mazingira ya...
  7. M

    Najiuliza kuhusu ukimya, pale ambapo pande mbili zinapopingana mmoja akaamua kunyamaza

    Ukimya ninini,ukimya ni dharau? Je ni kiburi? Nini maana ya kushambuliwa na kukaa kimya! Ukimya ni busara,ama ukimya ni hekima?nini hasa tafsiri ya malumbano ya kimya kimya?ama nikuona unaye lumbana nae hakutishei? Ama pengine unaye lumbana nae hayupo sawa kichwani? Nini maana ya ukimya...
  8. M

    Kwanini 80%ya wanawake hawapendi kutumia Condom?

    Habari Wana jamvi, Japo si mwenyeji sana humu nimelazimika kuandika uzi huu kutokana na tafiti nilizofanya juu ya mahusiano haswa pale ambapo unakuta umekutana na mwanamke kwa Mara ya kwanza ana kwambia"baby toa hiyo inaniumiza"au "baby Toa bhana sisikii raha"binafsi nimekutana na case hizo...
Back
Top Bottom