Hivyo vya hivyo hovyo sana mkuu, Hawa under 20 ni matatizo sanaaaa, Kuna kimoja nilikakuta maeneo fulani Kako vzr portable, Sasa nikakasemesha kanajibu vzr t nikachukua no, jioni na kacheki kaka respond vzr t, kesho yake nakaambia Kako wapi kasema nyumbani, nyumbani wapi kaka taja, njoo basi...
We muongo na mnafiki mkubwa ww, tupo hapa maji ya chai na hakuna barabara yeyote ya Lami kuingia Dolly,
Sijui kwanini mood wa jf wanawaacha watu kama Hawa wanafanya wanavyo taka humu,
Kuingia kiligolf Kuna barabara mbili tu, moja inatokea USA na ingine Ina tokea maji ya chai baada tu ya kuvuka...
Only in here, nchi ambayo tunabangaiza maisha,wengine hata tunaishi chini ya USD 1 kwa siku lakini inafikia mahali eti hata zoezi Dogo tu la kumtuma mtu kaya fulani akaandikishe idaidi ya watu nae anahitaji kupewa seminor ya takriban wiki 3 na kila siku unamlipa na mkufunzi wake unamlipa ,kweli...
Mbaya zaidi waliye pata kusailiwa wengi n waajiriwa Tena setikalini, Kuna mpaka waratibu achilia mbali waalimu na sector nyingine,
Najiuliza Tanzania nani katuloga,mtaani vijana wengi sana wasiye na kazi waliomba lakini hata majina yao hayakutoka yanatoka wa waajiriwa na mbaya zaidi pale...
Nasema hiviiii, "embu ifike wakati Sasa Serikali iache kuchezea pesa zetu kwa kesi ambazo mwisho wake mtu mmoja t ana simama na kusema Hana haja ya kuendelea na mashtaka, tumeshudia humu kesi nyingi zinatumia gharama kubwa at end of day unaambiwa zimefutwa, so! What for?
Umeongea vyema mamaaa,huwezi weka hao watu pamoja hata siku moja, mm niliwahi jaribu ishi na mnyiramva fulani kweli ilikuwa ligi, kila siku lazima kupiga na hasikii,
Mara ya mwisho niliona nintaua Nika beba vilivyo nihusu nakuondoka aliendelea na drama zake siku hz Hana soko Tena hata vichaa...
Kesha sema kuwa wabunge Wana nidhami wametii kuja mkutanoni, yaani wanasiasa wanaonaga watu wengine hawana akili kabisa, Eti rufaa?? Rufaa miezi mingapi Leo,
Naapa humu hao wabunge n Tunu ya CDM na Mboye hata thubutu kuwafukiza,kama hamuamini subirn msikie Rufaa yao wameshinda na wamerudishiwa...
Na wasisingizie vita coz vita imekuja juzi na ikakuta mafuta tayari yamesha panda almost lita ya diesel ilishafika 2350,wakati Magu aliacha diesel 1750
Asante Muheshmiwa Rais wetu kwa kuona umuhimu wa Arushaa, kweli ww n Rais wa maono, tunakuombea uendelee hivyo kila kitu kifanyike huku kwetu ndipo wajanja walipo
Asanteee Kwa Leo umejua umuhimu wa kusherehekea Idd kwetu na pia siku ya Habari,
Kongole kwa waziri wangu Nape.
Wakuu nimerudiii na tukio hili,
Napenda sana kusafiri na demu wangu ninapo kuwa kizazi mikoani, juzi kati tulikuwa Kanda ya ziwa na Mara nyingi Yeye hunifuata huko ntakapo kuwepo inapo karibia week end na safari hii alikuja alhamisi akaondoka jumaa mosi,
Sasa kimasihara inakujaje,
Hoteli niliyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.