Search results

  1. Kwitughutila

    Kilimanjaro: Walimu wapandishwa kizimbani kwa kughushi nyaraka ili kupata mafao NSSF

    Mkuu, hiyo pesa ni ndogo kwa mipango yako wewe. Lakini pengine kwa mahitaji ya mipango yake angetoboa!
  2. Kwitughutila

    Nianzie wapi mafao NSSF?

    Cheti cha utumishi ni lazima, iwapo barua yako haionyeshi nafasi yako ya kazi uliyokuwa unaifanya kwenye hiyo ajira. Kama barua imejieleza kila kitu si cha lazima.
  3. Kwitughutila

    Ulipaji wa NSSF kwa wafanyakazi wa sekta binafsi

    Nami nimeingia kwenye dhoruba hilo hilo Mkuu. Walianza kunilipa Feb 9, lakini ya mwezi March mpaka sasa bado sijaona salio. Naendelea kusubiria! Ila hawa jamaa wanachotufanyia sio haki kabisa. Basi ni bora hata wangebadilisha sera zao ili ziruhusu hata mwanachama kukopa kwa dhamana ya michango...
  4. Kwitughutila

    Ulipaji wa NSSF kwa wafanyakazi wa sekta binafsi

    Mkuu, na miezi yote sita walikulipa vizuri kwa mtiririko maalum?
  5. Kwitughutila

    Mtendaji wa Kijiji amchapa vibao Mwananchi kisa kuvuta sigara hospitali

    Safi sana Mtendaji, hii mijitu huwa inaudhi sana na moshi wao!
  6. Kwitughutila

    MJADALA: Mkoa gani ni rahisi kijana kutoka kimaisha na kwa shughuli ipi?

    Shukrani kwa majibu mazuri yenye kutia moyo. Huko kwenu mashamba yanapatikana kwa ajili ya kukodishwa?
  7. Kwitughutila

    Mwakyembe awabane Azam Media watoe video ya Lyonvs Kagera Sugar kama kipengele cha Mkataba na TFF

    Yes, hapo umekumbusha jambo muhimu! Ili kumaliza utata iletwe recoded video ya mechi hiyo! Na kama mkataba unawalazimisha kurusha/kurekodi basi lazima walifanya hivyo tu!
  8. Kwitughutila

    Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

    Sentensi nyingine zote umeongea maneno kuntu sana, isipokuwa tu hilo la kusema Shaffih ni Yanga, hapo imechemka jombaa nadhani humjui vizuri Shaffih Dauda!
  9. Kwitughutila

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Imesahau kuwa walienda kumpekuwa! Je una uhakika na walichokikuta huko? Kamanda Sirro amesema atakutana na waandishi kesho asbh. So stay tuned!
  10. Kwitughutila

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Najifikirisha tu kuwa, yawezekana mpango maalumu wa kiroba cha unga 50-100Kgs kimeshushwa pale Arusha umekamilika.
  11. Kwitughutila

    Natafuta soko la mafuta ya ubuyu na asali popote pale ndani na nje ya Tz

    Ndugu LIDAKU upo serious kweli na hiyo biashara?
  12. Kwitughutila

    Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

    Cha kushangaza sio June tu, tena ni June ya mwaka jana alikuwa wapi? Au kesi zake zinakwenda Kwa series Kama album vile inavyoingia sokoni.
  13. Kwitughutila

    WEWE MWANA JF ANGALIA JINA LAKO HAPA. Je Limo?

    Kweli aliyesema kila mbuzi atakula kwa urefu wa kama ya yake hakukosea!
Back
Top Bottom