Search results

  1. IME

    KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    Tutafika tuendako kwa kuchechemea, wengi watakuwa vilema wengine wataishia njiani Wakulima maeneo mengi wanalia kuliko wakati mwingine. Tatizo wenye dhamana hawajui nini cha kufanya bali wanataka kusifiwa wanapojaribu kutatua migogoro
  2. IME

    Kuwa na Wapenzi wengi kunapunguza uwezekano wa kuugua Tezi Dume

    Hayo ni mawazo ya mtu, hayana uthibitisho wa kisayansi namna ambavyo wanawake 20 wanaweza kupunguza au kuzuia hilo tezi dume Sasa utatumia condoms au terminal to terminal. Kama utatumia condom, je inasaidiaje kuzuia tezi dime? Na kama ni terminal to terminal ni kitugani kinachopelekea kinga?
  3. IME

    Kubenea apandishwa Mahakamani leo

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mkuu wa Wilaya yaTemeke hawapo? Sijawahi kuwasikia
  4. IME

    Jamani mwenzenu Napendwa, ila

    Pole sana dada. Jambo la kwanza ongea naye, muweke wazi kuwa kwakuwa ameoa hana budi kuachana na wa nje Jambo la pili jichunguze wewe huenda ukawa ni chanzo cha tatizo " utapata majibu mtakapo zungumza na kuboresha ndoa yenu" La tatu, ukitambua kama siyo chanzo cha tatizo, hebu ingiza unatembea...
  5. IME

    JK: mauaji ya mchungaji Geita ni fedheha!

    Ninatamani sana kama ingewezekana kuweka hadharani hukumu ya watu wanapelekea migogolo ya kidini katika jamii yetu. Inawezekanaje mtu anapokosea anahukumiwa mitaani kwa kuuawa na bado tunasema tunafuata utaratibu wa sheria?
  6. IME

    Lema: Tutawalazimisha serikali kufanya kazi na huduma katika jiji la Arusha

    Sioni sababu ya kutoa taka zilipokuwa na kwenda kumwaga mbele ya ofisi!!!
  7. IME

    Kichefuchefu cha CUF/Prof. Lipumba Jangwani leo

    Ni kama maigizo vile. Ni hivi karibuni wakimbizi wa Zanzibar wamerudi tangu walipokimbia mwaka 2000. Inamaana tumekuwa ni wepesi wa kusahau? Mwaka 2008 wakati wa kampeni Kenya kiongozi wetu alisema kwa nini uwe na wasiwasi wakati wewe "Kibaki" umeshikilia dola! Nilichojufunza ni kwamba kwa...
  8. IME

    ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

    IME I am still looking for some one
  9. IME

    Women and Freemasons

    Antichrist ni Freemason? Kama jibu ni ndiyo basi inasemekana Oprah Winfrey ni Antichrist pamoja na Obama wakati wengine wanasema Obama pia ni Freemason!
  10. IME

    Kipanya Atukana Waislamu?

    Nimefurahi kupata majibu ya mada. Nimeshindwa kumuelewa jamaa, masoud nadhani ni mwiislamu. Sidhani kama ameamua kujitukana yeye. Kwa uzoefu wangu mambo mengi maovu yanakuwa kama mtu kaweka pause vile. Baada ya mfungo utaona ndiyo speed inaanza kwa kasi. kipanya anafundisha kaka!
  11. IME

    CRDB na fees zao...!?

    Hii ndiyo Tanzania kila siku wanabuni njia ya kukusanya faida!
  12. IME

    Tuanzishe Operation Zinduka Moto uwake mpaka vijijini

    Hivi ni nani anapaswa kuwaelimisha wananchi hasa wa vijijini. Maana hawakawii kusema wachochezi, wanavuruga amani mara intelligence....
  13. IME

    News alert: Diwani ccm kuhamia chadema..

    kwanini hasemi, masharti gani hayo?
  14. IME

    Tatizo la nishati ya mafuta nchini

    Nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kwa siku za hivi karibuni, karibia kila siku kwa nama moja au njingine inaonesha kuna tatizo la nishati hiyo. Ninapata mashaka kidogo ninapowaona viongozi wanaohusika kwenye usimamizi na udhibiti wa nishati hii kuzuia na kukemea kwamba wanaotumia internet...
Back
Top Bottom