Search results

  1. mzalendo iq1

    Ukaribu wangu na ma Ex wangu baada ya wao kuolewa unampa shaka kwa mke wangu

    Toka nimeoa huu ni mwaka wa pili kasoro miezi 4 ila najikuta mwenye hofu na wasi wasi juu ya Mke wangu na Maisha yake ya nyuma kwa sababu naona mfano kwa wanawake wa ujana wangu wote ambao wamesha olewa hakuna hata mmoja nikimuitaji anaweza kunikatalia. Wanawake wengi nilio kua nao kwenye...
  2. mzalendo iq1

    Uchaguzi 2020 Kwa jinsi Kigoma tulivyo kupokea Magufuli, inabidi kwenye maendeleo usitusahau baada ya kuapishwa

    Mh Rais John Joseph Pombe Magufuli natumaini mpaka sasa unashangaa jinsi Wana Kigoma tulivyo kukarim. Sisi wana Kigoma tuna kero nyingi Sana Kigoma kwani kusema kweli Kigoma ni Mkoa ambao umesahaulika kwa kiasi katika baadhi ya maeneo mfano Kibiriz, Gungu, Katandala, Burega na maeneo mengine...
  3. mzalendo iq1

    Hivi kwanini CHADEMA hawahojiwi kwanini hawana hata ofisi ya maana japo wanajua kuna hela za ruzuku na michango ya Wabunge?

    Kuna Mambo yanatia aibu na kufanya, watu tuamini kuwa Ufipa pale wengi ni akili kuambiwa. Chama cha CHADEMA toka kimeanzishwa na ukubwa wake wote Ila jengo lao la makao makuu linashindwa thamani na jengo la shishi food. CHADEMA wamekua waumini wa kupiga kelele kuwa nchi toka CCM imeshika...
  4. mzalendo iq1

    Njia nyepesi ya kuwakomoa CHADEMA

    Serikal yangu pendwa polen na Majukum na tujipe Pole kwa Msiba mzito. Leo nimeona team Sacco's wako bize Wana hamasishana kwenda kwa wingi kesho Mahakaman kwenye kesi ya Yule Mwana Sheria Mvunja Sheria. Ningependa Serikali isiumizwe kichwa na Porojo zao kama wanataka kuja Acha waje Ila Wakija...
  5. mzalendo iq1

    Huenda wajumbe wa CHADEMA watakuwa maarufu zaidi ya wajumbe wa CCM Baada ya mchakato wa kumpata Mgombea wa Urais CHADEMA

    Habari wadau Baada ya Wajumbe wa CCM ku trends siku zote hizi baada ya kuwapiga chini watu waliokuwa wanadhaniwa watashinda kwenye kura za kuchaguliwa kuwakilisha Chama kwenye nafasi fulani kupigwa chini Japo walikuwa watu wakubwa na wenye ushawishi Hili Jambo naliona linaenda kujirudia tena...
  6. mzalendo iq1

    Uchaguzi 2020 CHADEMA yupo mmoja tu Mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania

    Habari wadau, Mimi si muumini wa siasa za CHADEMA Ila kwa nchi ilivyo na cheo Cha Urais kilivyo ikitokea upinzani ukachukua nchi ningependa Rais awe Mbowe kwa Sababu ya Busara zake na Hekima Kwanini Mbowe Kwasababu Mbowe ni kiongozi wa upinzani kwa Miaka mingi na amepitia kashkash nyingi...
  7. mzalendo iq1

    Zitto anachokitaka ni makubaliano ya kimaslahi baada ya uchaguzi

    Habari wadau Nimeona Mambo mengi yanasemwa juu ya Zitto na UKAWA ila ukweli ni kwamba Zitto hatojiunga UKAWA bila makubaliano ya kimaslahi baada ya uchaguzi. Pia CHADEMA kama kawaida yake ni mchumia Tumbo, Maslahi anayoyataka Zitto CHADEMA kumpa sio kazi rahisi kwa sababu chama cha CHADEMA...
  8. mzalendo iq1

    Labda ndio siasa ilivyo Ila kiubinadamu CHADEMA mmefanya kosa kubwa

    Habari wadau, Tukio la Jana limedhihirisha kuwa hasa siku moja Chadema haitokaa meza moja na CCM kwa Jambo lolote lile baya hata zuri. Wote tunajua Dunia hii kitu pekee ambacho kina nguvu ya kukutanisha watu hata kama wana ugomvi ni Msiba tu Tena mnaweza mkawa ndugu wa mbali Sana hata hamjuan...
  9. mzalendo iq1

    Kwanini wajumbe wa CCM wamekuwa maarufu kushinda vyama vingine?

    Habari Wadau Eti Kwanini wajumbe wa CCM wamekuwa Maarufu kushinda vyama vingine vya upinzan? Kwanini uchaguz wa Kura za maon umekuwa Maarufu Sana? Kwanini watu mbalimbali wakiwemo wa vyama pinzani wanawacheka Walio poteza Katika Kura za maon kua wamekosa Ubunge kitu ambacho kinacho fanya...
  10. mzalendo iq1

    Mihemko ndio sumu inayowaangamiza CHADEMA

    CHADEMA ya siku hizi sio CHADEMA ya wanasiasa, ni ya watu wenye chuki na uchu wa madaraka. Kwa sababu ni Tanzania pekee nchi ipo kwenye msiba mzito Ila wapinzani hawaoneshi kujali lolote na kuuchukulia msiba huu kama msiba wa CCM na si wa taifa. Hli jambo ni baya sana kwenye jamiii. Msiba siku...
  11. mzalendo iq1

    Vunja Bei wameanza utapeli

    Habari wadau wa jamiforums Nimekuja kuwakumbusha vunja Bei kuwa Biashara ya mtu mweusi huwa inakufa haraka kwa vitu vikubwa vitatu tu hata Kama imeshafanikiwa kiasi gani 1) Uongo kwenye Biashara kumtangazia mteja kuwa sisi vitu tunauza Bei hii alafu akishanunua kwenye kulipia unaniambia Bei...
  12. mzalendo iq1

    Tushauri Wabunge waliokosa tiketi ya chama njia za kujiajiri

    Habari wadau, Nimeona niwaletee uzi Wabunge wote Waliopoteza ajira ili Wana JamiForums tuwape Motivation . Pia kuwaambia nini maana ya kujiajiri kama wao wanavyosema siku zote kuwa vijana tujiajiri. Mimi kama mimi ningependa kuwashauri waanze kufuga kuku wa mayai maana kuku mmoja kwa siku...
  13. mzalendo iq1

    Kama unaamini Time Travelling, kichwa chako kina matatizo makubwa

    Naanza kwa kuilezea Time traveling jinsi ninavyo ifahamu. Watu wengi wanasema Time traveling ni uwezo wa mtu kutoka Katika maisha anayo ish na kuweza kurudi maisha ya nyuma au kwenda mbele Na uongoo huu umepewa kipao mbele Sana na Wana sayansi ambao wamesha jiwekea Sheria kwamba ukikubal Mambo...
  14. mzalendo iq1

    Tanzania ili tutoboe tufanye hivi

    Kwa miaka mingi tumekuwa wajinga Ila ni muda Sasa wa kuamka. Ningependa Serikali yangu pendwa Chini ya uongozi wa Dkt. John Pombe Magufuli ianzishe chuo cha kutengeneza mashine za vyuma ziwe injini au mitambo mingine. Yaani wazazi tuwe na chaguo kwamba shule mtoto akishafika darasa la nne tu...
  15. mzalendo iq1

    Uchaguzi 2020 Viongozi wa dini na wananchi wameshabariki Rais Magufuli kuongezewa muda wa kusalia madarakani?

    Habari wadau, Kwa jinsi Mambo yanavyo endelea Tanzania. Ni wazi watu wengi na Taasisi nyingi zilikua zinasubiri nan waanzishe mada ili wao wasapoti. Baada ya Wabunge wa TANZANIA kuweka wazi mapenz yao juu ya kutamani kuona Rais John Pombe Magufuli anaongezewa muda wa kusalia Madarakan...
  16. mzalendo iq1

    Chadema wamesahau kuwa ili katiba iwe huru lazima iweze kuvunjwa na watanzania wenyewe

    CHADEMA wanalia na kusaga meno kisa tu. Watanzania tunataka kumuongeza Rais wetu muda wa kusalia madarakan Wanasahau wao walipo ona Mbowe anastail kuwaongoza katika chama Chao walikubal kuivunja Katiba Yao ili Mbowe aweze kuwaongoza kwa muda wote anaotaka Leo nashangaa chadema wanataka kupinga...
  17. mzalendo iq1

    Baruaya pongezi kwa Rais Magufuli kutoka Arusha Mwanga

    Habari wadau Yah kuhusu kumpongeza Rais John Pombe Magufuli. Habari za kazi Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli sisi ni vijana wa Arusha tunapatikana apa mwanga sehemu ambayo ilikua kambi kuu ya upinzan kwako Arusha. Tulipambana kuakikisha Arusha na Hata Tanzania mzima tunaakikisha hupat...
  18. mzalendo iq1

    Uzi wa masele chapombe na vituko vyake

    Wadau nadhani wote tunaijua konyagi ilivyo kuwa Kali ukinywa billa kuichanganya na maji lazima itakuangusha kwenye ngazi Pia ustarabu wa Pombe unaweza kukufanya ukajiona wewe ndio mwamba unaweza kufanya kitu chochote na ndiomana tunaambiwa ukinywa Pombe ukalewa hutakiwi kutembea usiku wa manane...
  19. mzalendo iq1

    Uzi wa hotuba ya Tundu Lissu leo

    UPDATE: Fuatilia hapa > LIVE - Hotuba ya Tundu Lissu - Juni 08, 2020 Leo Tundu Lissu kasema anaongea na taifa la Tanzania kupitia Facebook. Naweza kusema CHADEMA wanaendelea kujizika wenyewe na kupoteza ushawishi hata kwa mabeberu walioahidi kuwasaidia. Unatangaza kulihutubia Taifa letu kubwa...
  20. mzalendo iq1

    Naomba Mbowe, Zitto na Tundu Lissu mnisamehe

    Leo nimekuja kuomba samahan kwa viongoz wa chadema na ACT wazalendo Hasa mbowe ZITO na tundulisu Mara nyingi nimekua nikitoa Uzi za kuwa kashfu Na kufanya siasa chafu juu yao.ya kuto kutoa hoja Bali kufika mbala na kuwakejel Wao kama wazaz ningeomba wanisamehe nimegundua kua niliwakosea heshima...
Back
Top Bottom