Search results

  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Leo Nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

    Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo ya kukaanga ambayo ni mitamu na laini sana utadhani ni keki Nimpongeze sana huyu mama mpishi...
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    Wapenzi washabiki na Wanachama wengi wa Simba kutoenda kwa Mkapa Jumamosi hii

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake Kwamba wahusika hawatokwenda kwa wingi kama desturi yao kwa kukosa Imani na boti yao Naomba kama yupo mwenzetu ndani ya jukwaa...
  3. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia akutana na rafiki yake waliyesoma shule ya Msingi na sekondari

    Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye wameonana baada ya kuachana miaka mingi wakiwa shuleni pamoja. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum Abdallah aliyesoma naye Shule ya Msingi na Sekondari na mume wake Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi...
  4. Uzalendo wa Kitanzania

    Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha timu yake kufuzu Olympic 2024, Paris

    Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha Zambia kufuzu Olympic 2024 Paris. Wadau hamjamboni nyote? Barbara Banda mchezaji timu ya Taifa Wanawake Zambia amepandishwa cheo na Jeshi la nchi hiyo na kuwa Staff Sergeant baada ya kuiwezesha timu yake kufuzu kushiriki mashindano ya Olympic...
  5. Uzalendo wa Kitanzania

    Taarifa mbashara kuhusu yanayoendelea vita ya Jeshi la Serikali na Waasi nchini Sudan

    LIVE UPDATES: Jumatatu April 17, 2024 Njaa yatanda Sudan,manusura wa vita wasimulia madhila ya mauaji na ubakaji Raia walionaswa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wametoa maelezo ya wazi kwa BBC kuhusu ubakaji, ghasia za kikabila na kunyongwa mitaani. Wanahabari wetu...
  6. Uzalendo wa Kitanzania

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    #LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    Mtume Boniphace Mwamposa amtembelea Paul Makonda ofisini kwake Arusha

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii Boniface Mwamposa ofisini kwake Jijini Arusha. Nabii Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa lake...
  8. Uzalendo wa Kitanzania

    Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

    Wadau hamjamboni? Hatimaye siri zimetoka hadharani Ushahidi mpya umepatikana unaothibitisha kuwa Serikali ya Iran ndiyo mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas na hadi kufikia Oktoba 7, 2023 walikuwa wamewapatia magaidi hao shs 500.000.000.000 sawa na Dola million 222 Mungu ibariki Israel Taarifa...
  9. Uzalendo wa Kitanzania

    Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

    Wadau hamjamboni nyote Ni usiku huu Mandonga aokolewa na refa round ya mwisho wa mchezo
  10. Uzalendo wa Kitanzania

    Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

    Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu na tafsiri ya msemo/ nukuu husika. Mungu aendelee kuwapa pumziko la Amani Waandishi waliotangulia...
  11. Uzalendo wa Kitanzania

    Waziri wa Usalama amwambia Netanyahu akisitisha vita bila kuivamia Rafah atakosa uhalali kuongoza Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa mambo ya Usalama mwenye msimami mkali kutoka Chama Cha Yehudit amwambia Waziri Mkuu Netanyau kuwa asithubutu kusitisha vita dhidi ya Hamas bila kuivamia Rafah Waziri huyo Ben Gvir amesema ikitokea Netanyau amesitisha vita bila kufanya mashambulizi makubwa...
  12. Uzalendo wa Kitanzania

    Israel yamuua Kiongozi wa juu wa kikundi magaidi wa Hezbollah, Ali Ahmed Hassin

    Wadau hamjamboni nyote, Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha ugaidi cha Hezbollah auawa na Jeshi la Israel Katika mji wa as-Sultaniyah huko Lebanon ya Kusini. Ali Ahmed Hassin akiongoza kikosi maalumu cha askari wenye Weledi mkubwa almaarufu Radwan na aliuawa kwa shambulizi la...
  13. Uzalendo wa Kitanzania

    Mahakama Kuu nchini Zanzibar yafuta kifungu kinachozuia uagizaji wa vileo

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George...
  14. Uzalendo wa Kitanzania

    Kwanini Mfalme Daudi alipougua aliletewa Abishagi Binti mrembo sana na bikira Ili amuuguze?

    Wadau hamjamboni nyote? Kitabu cha 1 Wafalme 1-4 kinaeleza kisa cha kuugua k wa Mfalme Daudi na jinsi wasaidizi wake walivyomletea Binti mrembo ambaye alimhudumia Mfalme Daudi kwa njia mbalimbali ikiwemo kulala kifuani kwake lakini kamwr Mfalme Daudi hakufanya naye mapenzi Wapendwa siyo lengo...
  15. Uzalendo wa Kitanzania

    Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Wadau hamjamboni nyote Habari mbaya kutoka. Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
  16. Uzalendo wa Kitanzania

    Kapteni Mabior Garang akiwa nje ya nyumba ya Mama yake huko Jebel Sudan Kusini

    Wadau hamjamboni nyote? Pichani ni Kapteni Mabior Garang akiwa amesimama nje ya nyumba ya Mama yake huko maeneo ya Jebel karibu na Mlima Kunjur Mabior ni mtoto wa Muasisi wa Taifa la Sudan Kusini hayati John Garang aliyefariki kwa ajali ya helicopter akitokea nchini Uganda Mabior amewahi...
  17. Uzalendo wa Kitanzania

    Serikali ya Kiislamu ya Iran yafikia uamuzi kuishambulia moja kwa moja Israel kabla ya kuisha mfungo wiki ijayo

    Wadau hamjamboni Hiyo ndiyo taarifa mpya kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika Kuwa Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua rasmi kuishambulizi Israel moja kwa moja mwishoni mwa wiki ijayo kabla ya kuisha mfungo wa Ramadan Ili kulipiza kisasi dhidi ya shambulizi la Israel kwenye ubalozi wa Iran...
  18. Uzalendo wa Kitanzania

    Kwanini makanisa yaliyojitenga na Kanisa Katoliki yanaongoza kwa Kashfa za manabii na Mitume feki?

    Wadau hamjamboni nyote Najiuliza Makanisa yaliyojitenga yakipinga mafundisho yanayoenda kinyume na maandiko ya Kanisa la Katoliki ndiyo kwa sasa yanaongoza kwa mambo yasiyompendeza Mungu: Manabii na Mitume feki, Kashfa za mauaji, Imani za Ushirikina, Mifarakano ya kifamilia, Migogoro...
  19. Uzalendo wa Kitanzania

    Kauli ya kushangaza ya Mzee wa Kanisa kuwa ni bora uzini kuliko kuvunja sabato

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kauli ya kushangaza kutoka kwa Mzee mmoja wa Kanisa la Wasabato ambaye tulikutana kama ilivyo desturi kwenye kijiwe cha kahawa na tangawizi maeneo ya Tegeta. Mada ya siku hiyo ilihusu amri kumi za Mungu huku tukikazia amri ya Saba inayokataza Zinaa kama...
  20. Uzalendo wa Kitanzania

    Niliyoshuhidia Leo maeneo ya Skansca Salasala yamenifurahisha kweli hela ni muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu Gharama zake za kutisha Nimeweka kiambatanisho Kwa rejea yenu Niwatakie mchana mwema wakuu.
Back
Top Bottom