Search results

  1. M

    Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Leo nimeujua uwezo wako Faiza..wewe ni kichwa.Mungu akubariki in'sha'allah
  2. M

    Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

    Pia wameanza kumfata kama wiki sasa na nimekutana na maafisa wa TRA wiki iliyopita
  3. M

    Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

    Ipo sinza 'A' kata ya sinza karibu na roundabout ya kakobe
  4. M

    Dada anaonyesha kipaji

    Acha uongo wewe hapo ni magomeni Mapipa anaelekea mataa akitokea jangwani picha umepiga lini? Na picha hii ni mda mrefu kidogo
  5. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Baada ya kuona minyukano ya kila namna na kila kona tukishambulia waasisi wa muungano na mitizamo yao ya serikali 2 huku wengine wakienda mbali na kumsema karume kuwa aliburuzwa na Nyerere huku wakina Ally Salehe wa Zanzibar wakimshsmbulia Rais Kikwete nashauri haya yafanyike. 1.Rais avunje...
  6. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Muuza nyama ya ng'ombe sinza na chalinze
  7. M

    Lowassa akanusha kumiliki kurasa za mitandao ya kijamii

    kwahiyo yale yote kumbe ni fake,majibu fake,picha fake ila waendelee tuu si ndio?kwakuwa leo anasifiwa jee siku zikitumika vibaya hizo akaunti? kwangu hao wanaozitumia wana ruhusa na maelekezo maalum
  8. M

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Umeeleweka sana dr lakini kwangu ungeeleweka zaidi ungeweka wazi majina ya kila kiongozi namna alivyoshiriki either kutatua au kuzidisha huu mgogoro ili wale wale wanachama unaowalaumu wabaki na lawama zao kwa kuwa bado watakuwa wanashabikia viongozi pamoja na kujua udhaifu wao.Huna cha kupoteza
  9. M

    Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

    ni uamuzi wako,hakuna wa kuupinga. Sisi tutabaki tulipo...
  10. M

    Waunguja wawabagua Wapemba

    Ukizoea kula nyama ya mtu kuacha kazi...safiii.Tanganyika hiyoooo
  11. M

    Prof. I. Lipumba: Vyama Vya Upinzani Kuaandaa Maadamano Nchi Nzima Kumshinikiza JK Kuchukua Hatua.

    Sio ya vyama vya upinzani ni wananchi wote wanaoamini ktk maadili,mm ni ccm lkn naunga mkono 100%
  12. M

    Nundu awagomea wabunge wa ccm kujiuzuru

    waziri nundu amewagomea wabunge wake wa ccm waliomshinikiza ajiuzuru ktk kikao cha party caucase kilichofanyika juzi usiku huko dodoma.
  13. M

    Kama CAG anaweza, kwanini TAKUKURU na DPP Washindwe?! Hawa waondolewe mara moja

    Mkuu NasDaz naamini hawa kina Falesh na Hosea hawana Muda,wakati vuguvugu hili la mawaziri halijapoa turudi ktk halmashauri zote zilizofanya ufisadi wasimamishwe kazi na iundwe mahakama Maalum ya mafisadi so kila alietajwa na ripoti ya CAG akajibu mashtaka yake kwa ushahidi wa CAG bila kujali ni...
  14. M

    Brg Gen Mwakanjuki afariki dunia

    Alikuwa makini sana Nyerere alimtegemea kwa vitu vingi sana ili kuiendesha na kupata habari za znz.Mungu akuweke mahali pema.
  15. M

    Mawaziri wanaongoza kwa wizi serikalini - Deo Filikunjombe

    Jana Deo Filikunjombe na Zitto Kabwe walinong'onezana waombe muongozo wa spika wakawa wanaambiana nianze mm au wewe na kweli wote walisimama kumzungumzia mkulo so Deo sio mjinga aseme mneno mazito yasiyo na ushahidi,pili ikumbukwe Deo ni makamu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya mashirika ya Umma...
  16. M

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Ni kweli lakini wakiamua wanaweza sana kwa sababu meno wanayo ila wameniuzi kusema wakakae kwenye kikao cha chama kule huwa wanapozana wangesema mambo yawe pale pale Bungeni kama kanuni zipo wazi na zitumike....
  17. M

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Yani mpaka raha..kama wanayosema yakifanyiwa kazi....Serikali itakuwa na heshima.
  18. M

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Yanayoendelea ktk bunge ni raha tupu,wabunge wanapendekeza ipelekwe sheria bungeni kuwa mafisadi wanyongwe-mbunge wa nkasi kaskazini ndg ally mohamed kessy pia serukamba amesema mawaziri wasioisaidia serikali wafukuzwe na waende ktk kikao cha chama wafanye uamuzi.kama haya yatafanyika mungu...
  19. M

    Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

    Ccm hakuna cheo cha katibu mwenezi wa wilaya wa vijana,nyinyi wote humu wachanga kisiasa mmebaki ushabiki maandazi tu.Kama hujui omba uelimishwe sasa kazi kwenu jifunzeni siasa za moja kwa moja sio ktk Jf na magazeti tuuu.
  20. M

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Mnakaribisha tatizo tu,mke alieshindwa na mwenzio wewe kumuweza tabu ila namtakia kila la khery aendako labda ipo siku tutaonana nisimbeze ila kwangu ni kijana mkorofi,mpenda kubebwa na kutumiwa na wakubwa.
Back
Top Bottom