Search results

  1. Samboko

    Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

    Habari wakuu wa technology humu jukwaani naomba kujuzwa kuhusu hii simu nataka niichukue wiki hii, camera uwezo wake maana ni ya biashara na uwezo wa vitu vingine pamoja na changamoto zake Sent using Jamii Forums mobile app Ni 12pro, samabani wakuu
  2. Samboko

    Najuta kufahamiana na hii familia, nipo na mdogo wake naye anataka kurudi

    Miaka kadhaa nyuma katika harakati za maisha nilikutana dada mmoja (ameolewa ila mumewe mtu mzima sana) tunatoka mkoa mmoja tukazoeana sana, maana nilikuwa namuuzia bidhaa. Baadae akaomba nimsaidie kukaa dukani kwa muda mfanyakazi wake walitofautiana. Baada ya muda kidogo kupita akaniletea...
  3. Samboko

    Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

    Habari za siku wana JF, Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya...
  4. Samboko

    Vumbi la Congo sio kabisa, waulizeni Simba watawapa habari yake,

    Hivi hii ndio ile timu manara alisema wanaitaka baselona? Tena ile bisolona yenyewe kabisa? Na kipigo cha leo ni laana ya kuidharau Barcelona kiasi kile... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Samboko

    Kwa anaejua kuhusu hizi mambo za BIASHARA YA MTANDAONI anieleweshe

    Kuna jamaa yangu aliniambia kuna biashara nzuri nataka nikuunganishe upate hela bila kutumia nguvu nyingi, na wala hutumii ela nyingi, Nikimuuliza biashara gani hasemi, siku akaniambia kama una mda njoo maeneo ya sinza kwa remy nikipeleke kwenye mchongo wa ela, Nikafika pale kanielekeza alipo...
  6. Samboko

    Ushauri wenu muhimu sana, maana nnakoelekea siko.

    Heshima kwenu, Nina hali ya upweke wa hali ya juu sana umenitawala kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni, Muda wote nawaza tuu mambo ya ajabuajabu, Nina watoto watatu na mwanamke ninaeishinae na wawili wa nje ila huyo mmoja mama yake nimemkatia tu mawasiliano ghafla mwezi wa 3 huu sipokei wala...
  7. Samboko

    Kuna Lodge nyingine kichefuchefu sanaa,

    Hakuna kitu kinakera kama kuingia lodge unakuta wana vitanda vizuri lkn godoro la hovyoo, ukilala kama shimoni bwana, bora kitanda cha hovyo godoro liwe zuri. Afu unakuta lodge nzuri tuu kwa muonekano.
  8. Samboko

    Kipi kizuri kwa wanawake, kuachwa na hamu au kumalizwa kabisa?

    Jana jioni natoka kazini kuna wadada wa2 tunafanya kazi mtaa mmoja waliomba lifti niwasogeze, huyo mmoja ni mdangaji kiasi sasa katika story wakamuongelea jamaa mmoja wa mtaani alikua na mahusiano nae, nikamtania naona unataka kuolewa mke wa 2, akasema "kwa yule hapana namlia hela zake tu, mtu...
  9. Samboko

    Kwa mafundi simu wa kariakoo, tachi ya sumsung s3,

    Simu ya sumsung s3 imekufa tachi wapi naweza badili tachi nyingine kwa bei nzuri? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Samboko

    Msaada wa Kudukuliwa

    Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za anaedukuliwa? Naombeni msaada wakuu, maana nahisi nadukuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Samboko

    Msaada wa Kudukuliwa

    Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za anaedukuliwa? Naombeni msaada wakuu, maana nahisi nadukuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Samboko

    Msaada wa Kudukuliwa

    Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za anaedukuliwa? Naombeni msaada wakuu, maana nahisi nadukuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Samboko

    Msaada wa Kudukuliwa

    Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za anaedukuliwa? Naombeni msaada wakuu, maana nahisi nadukuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Samboko

    Ni mimi tu au....!

    Kuna hali hua inanitokea na hii ni tangu nakua nimegundua hili, Inapotokea ninapo onana na jinsia ya kike kwa mara ya kwanza alafu akanivutia sana, sasa kadri ninavyozidi kumuona na hata pengine kumzoea anazidi kunibadilkia hadi mwisho wa siku namuona wa kawaida sanaa, Sasa na kwa wale ambao...
  15. Samboko

    Kwa anaeifahamu Sumsung Galaxy On 5 [6] msaada tafadhali,

    Baada ya miaka 10 ya kutumia TECNO sasa nimehamia Samsung, Tatizo linalonisumbua sipati sms na notification za wasap, jf, fb kwa wakati, Yaani mpaka niifungue application husika ndio sms na notification zinaingia mfululizo hata zilizotumwa siku kabla sijaigia, sasa sijui ndio sumsung zilivyo au...
  16. Samboko

    Nawezaje kujua tairi haijaisha mda wake wa matumizi?

    Habari ya hapa wakuu, Naomba kwa anaefahamu namna ya kujua kama tairi imexpire au bado, maana naenda kununua tairi leo ndio nikakumbuka kuna uzi nilishawahi kuuona huku miaka ya nyuma ukielezea jinsi ya kujua kama tairi haijaxpire, Kwa anaefahamu naomba kujuzwa tafadhali. NB. Naenda kununua...
  17. Samboko

    Kua na imei namba inaweza saidia kupata simu iliyoibiwa?

    Za asubuh wakuu, Nimeibiwa simu yangu jana asubuhi, kuna uwezekano wa kuipata kama nna imei namba ya simu iliyoibiwa?
  18. Samboko

    Anayejua kuhusu viwanja vinavyouzwa Ogogoni wilayani Bagamoyo anijuze

    Wakuu habari za weekend, Kuna rafiki yangu kanijuza kuna maeneo yanauzwa na Serikali ya kijiji huko Bagamoyo mkoa wa Pwani sehemu inaitwa Ogogoni. Kama yupo mdau humu mwenye kujua hili anijuze zaidi kama yana usalama na hakuna mihogoro huko. Mimi natarajia kufika huko kesho nikacheki...
  19. Samboko

    Kwa wanaume mliokuwa viwembe sana kabla hamjaoa, mliwezaje kuacha baada ya kuoa?

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri wa haraka kwa kweli maana nnakoelekea hali yangu itakua mbaya sana, Miaka mitano imepita tangu nioe na tuna watoto watatu na mke wangu lakini katika miaka yote hiyo nimeshindwa kuacha tabia ya kupenda kugegeda wanawake tofauti, mke wangu nampenda sana tena sana...
  20. Samboko

    Tukio la baba mzazi kumnajisi mwanae wa miaka minne kila nikilikumbuka machozi hunilengalenga,

    Habari wana jf, Mwaka 2012 kipindi cha sikukuu nilienda kijijini kutembelea ndugu zangu, baada ya siku kadhaa dada yangu akaomba nimpeleke kwa rafiki yake hawajaonana siku nyingi, Tumefika pale baada ya muda kakaja katoto ka kike kana miaka mitano kasoro, yule mwenyeji wetu akawa anatuambia...
Back
Top Bottom