Search results

  1. S

    Yanga na Simba nani ana nafasi kubwa ya kupindua matokeo ugenini?

    tufikilie kusajiri waarabu katika timu zetu,endapo tukipata fursa za uwekezaji katika club zetu. Wanatusumbua sana. Kwenye swali mpaka sasa naona timu zote zimefuzu kutolewa
  2. S

    Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

    daah mkuu.. hii ndo inaitwa experience [emoji2]
  3. S

    Bima ya afya (NHIF) kwa hili sio sahihi mnatuibia

    Ipo siku mtatoka kwenye huo wadhifa na kujiung katika chain y walalamikaj,jitahidin kurekebsha matatizo yanayowasibu watu/raia wengi kuliko wale wachache mnaopishana maofisini nakujiona kwenu hamna tatizo basi na kwa wenzenu pia kusiwe na tatizo.. KAMA SIO WEWE BASI JUA KUNA MTU ANAEKUHUSU...
  4. S

    Utajiri unapatikana kwa kutatua kero/shida za watu.

    [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  5. S

    Utajiri unapatikana kwa kutatua kero/shida za watu.

    kwa akili hizi wacha tuitwe shithole,.jambo lolote la msingi mtu anaingizia politics,. KUNYAMAZA NAYO NI BUSARA
  6. S

    Libya watu wanapigwa mnada kama ng’ombe

    mkuu umeiangalia hyo video ??,inaelezea kila kitu,source ni CNN
  7. S

    Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

    si kwa sababu wanaamin binadam wakwanza alikuwa sokwe
  8. S

    Picha: Dunia yampinga Trump baada ya marufuku kwa Waislamu kuingia Marekani kuanza Jumamosi hii

    nyongo kwa tabaka flani mara nying linaangamiza wale wanaoitunza mioyon mwao,zimetajwa nchi zenye wauslamu na waafrica no kwenda USA,lakini weww umekazania waislamu .kumbuka mla nyama ya mtu haachi
  9. S

    Mawazo ya pamoja: Tuandae utaratibu tuwashtaki TCRA kwa hili la ving'amuzi

    Ukifatilia vizuri unaweza kukuta wamilik wanaowarushia hzo chanel pia walishabadilshiwa tozo za kodi,waweza kukuta nawao pia wapo njia panda kwa mikataba ya mwanzo walioingia na mambo ya sasa
  10. S

    TV gani zinaonesha AFCON 2017

    UTV pia
  11. S

    Hela zote hizi Za kubana matumizi zimekwenda wapi

    broo alishajibu amepunguza/Kulipa madeni mengi ambayo serikali ilikuwa inadaiwa ,ikiwemo ya walimu
  12. S

    Tatizo ni simu au sim card?

    jaribu kuangalia network selection,test kuweka network moja moja ,mfano kama ulichagua auto basi chagua either single 2G au single 3G ,then jaribu kama moja wapo ndo itakayokubali bila shida basi ujue issue ni ya network katka sehemu husika,na wala si simcard au simu
  13. S

    Leo ndio nimejaribu punyeto, kumbe ni tamu kuliko mwanamke

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] miaka 8 kwenye game
  14. S

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    nashukuru sana Mungu akuzidishie .. na mimi ni mmoja wapo waliokuwa wanaangalia RAM kubwa nakuitrust PC:D:D
  15. S

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Kaka shukrani sana kwa huu msaada,mi nna shida moja ,hivi unawezaje kujua size ya GPU kwenye pc(Laptop/desktop) endapo ikiwa imewashwa,kwa window au kama haina window . NATANGULIZA SHUKRANI
  16. S

    Anayetuhumiwa kusambaza uzushi kumhusu Gen. Davis Mwamunyange apandishwa kizimbani

    kwakweli !maana wengine wanachangia kwa kukurupuka tu . anyway kila mtu ana uhuru wa kuongea lakin nahc watanzani wengi tumelishwa sumu ya kunun'gunika nun'gunika kila cku
Back
Top Bottom