Search results

  1. Soraya

    Bikira miaka 30

    Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika umri huo wa miaka 30,kwani anajisikia aibu kubwa kuwa bikira katika umri huo. Hivyo alichopanga...
  2. Soraya

    Msaada

    Hey people,eti nitawezaje kupata service sijui ndio software ambayo unaweza uka record calls unazopiga na kupokea.Au ni lazima iwe automatic kwenye simu,msaada please.
  3. Soraya

    Heyyy

    Heyy JF , najiunga rasmi leo,nasubiri kusikia kutoka kwenu!
Back
Top Bottom