Search results

  1. Soraya

    Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

    Sio vijana tu peke yao ndugu,hata watu wazima wapo wanaofanya hayo mambo bungeni sio vijana peke yao. Kwa dunia ya sasa hivi hayo mambo yapo kwa kila umri.
  2. Soraya

    Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

    Mimi nilivyo ona ule ulikuwa in utani tu.Na hata hivyo watu wa Mwanga kwa kiasi kikubwa hawana muamko wa mabadiliko,nadhani hilo ndio tatizo.
  3. Soraya

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    MUNGU akisema Ndiyo hakuna wa kusema Hapana. Hongera Halima Mdee.
  4. Soraya

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nasikia Kinondoni Iddi Azan ameanguka. Mwenye taarifa zaidi atujuze plz
  5. Soraya

    Hivi ndivyo ilivyokuwa uzinduzi wa kampeni za Esther Bulaya, jimbo la Bunda Mjini

    Nadhani hata ccm watampigia Esther,Hivi kuna mtu kabisaaa atamchagua tena Wasira!? Labda mke na watoto wake.
  6. Soraya

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Safi Sana Mama, kweli unaongea kama Mama, HONGERA.
  7. Soraya

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mwenye picha za jukwaa kuu atupie picha please.
  8. Soraya

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Nilidhani ningekasirika sana Tanesco kukata umeme siku ya leo nisione uzinduzi, lakini cha kushangaza nasikiliza kwenye radio na nina Amani tu.
  9. Soraya

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Siamini mpaka sasa hakuna picha yoyote, kuna nini kinaendelea???!!
  10. Soraya

    Mtoto wa kike soma usomavyo lakini CV ya mwisho kiuno

    Acha kudharau Wanawake, hivi unajua ni Wanawake wangapi wana struggle peke yao kila siku bila hao Wanaume kwa ajili yao na watoto wao? Wengine katika kukua kwenu huyo Baba alikuwa ni wa kubeep tu, ni Mama ndiyo aliye struggle peke yake, kwa biashara ndogo ndogo, kulima tena kwa Jembe la...
  11. Soraya

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Nimesikitika sana kusikia Mwl James Alifariki,nakumbuka tuition za Jumamosi,alikuwa mkali ila alikuwa anapendwa sio kama JJ.
  12. Soraya

    Mandela funeral na fake sign language interpreter!

    Niliwasifia kweli jinsi wanavyojali watu wenye ulemavu,kumbe alikuwa ni fake! na alipataje hiyo nafasi?!
  13. Soraya

    Al-Jazeera Staffers Quit Over Biased Egypt Coverage

    Kweli kabisa,mwenyewe niligundua hicho kitu,tofauti kabisa na CNN.
  14. Soraya

    Lunch tym jamani lunch tyme inawamaliza mawife/dada zetu jamani loh

    Ina maana wanafanya ngono kama malipo ya lunch au ni matamanio ya ngono?!
  15. Soraya

    Halima Mdee!

    Aisee!!!
Back
Top Bottom