Search results

  1. K

    Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

    Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
  2. K

    Kwanini Gaza yote, kwanini sasa?

    Mgogoro wa Israel na Palestina umedumu kwa zaidi ya miaka 70 sasa. Mara zote umekuwa ukisababisha machafuko makubwa yanayogharimu maisha ya watu, mamia kwa maelfu. Safari hii kama safari nyingine huko nyuma, hali imechafuka tena, na maelfu ya watu wanaendelea kuuawa. Bila shaka utakuwa...
  3. K

    Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima. Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
  4. K

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu...
  5. K

    Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  6. K

    Hivi Diamond anajiskiaje akiwa anaisikiliza "Utu" ya king Kiba

    Hivi Diamond akiwa peke yake sebuleni akasikia ngoma kali ya mwaka huu "UTU" ya King Kiba ikipigwa kwenye home theatre kali za sony anajikiaje, ni anapitia kwenye wakati gani maana lile jiwe ni shida. King Kiba kajua kumpiga domo na kitu kizito kichwani kwa kwl 🤣🤣🤣🤣.
  7. K

    Kwa mwenendo huu Diamond tutamsahau baada ya miaka miwili ijayo

    Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali. Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila analogusa linaangukia pua skendo zake, kiki, na vitu vingi vya kimaendeleo hiviwi kama ilivokuwa mwanzo...
  8. K

    Staili mpya ya Harmonize kukohoa kwenye mdundo (Beat) inanikosha sana

    Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya Harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita. Kudos kwa hilo.
  9. K

    Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

    Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond. jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama...
  10. K

    Kwanini Diamond akimuona Ally Kiba huwa anapaniki sana na kupelekea kuharibu jukwaani?

    Nimekuwa nikifatilia performance nyingi zinazowakutanisha Alikiba na Diamond jukwa moja, huwa inampanikisha sana Diamond na kupelekea kufanya performance mbovu sana. Kama mnakumbuka kwenye Tuzo za MTV Africa music award MAMA, Alikiba na Diamond walikutanushwa na jukwaa moja usiku ule. Alikiba...
  11. K

    Wanaume wa Kimandinka kutoka Benin ndo wanaume wenye uume mkubwa kuzidi wote duniani

    Research zinaonyesha kuwa hawa wanaume wa Jamii hii ya Kimandinka ndo wenye maumbile makubwa kuzid wanaume wote duniani. Hii inapelekea mpk wanawake wa kizungu kutoka ulaya kufanya utalii wa ngono nchini Benin. Wazungu wanakuja Tanzania kuangalia mlima Kilimanjaro, mbuga za wanyama kama...
Back
Top Bottom