Search results

  1. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu Capslock na mm nateseka hivyo hivyo namna kudeposit, sasa ni mwaka 22bet sijaitumia kwa sababu siwezi kuweka hela.
  2. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu Munara ndugu nateseka na 22bet, ni takribani mwaka sasa huu siwezi kudeposit. Haunipi hiyo option ya kuweka hela.
  3. Kobaba

    Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

    Mkuu mimi mnazi wa Simba mwenzio hivyo. Nimegundua Pirates wanapigika hapa na kwao. CEO atengeneze mikakati tu. Tunapita tu kwa uwezo wake Mola.
  4. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nacheka kama furaha vile. Hiyo ndio k,,a,,m,,a,,r,,i
  5. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😃😃😃😁😁😁
  6. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee wa mapilipili nionee huruma mwenzako. Ujue nafilisika.
  7. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man utd mwisho na mwanzo leo
  8. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Saivi dk 33' Nitra kapigwa 3-1
  9. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi bado sijaelewa tafsiri ya Over/Under ipoje
  10. Kobaba

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sina hata hamu na nyinyi Madrid. Mnatuchania mkeka
  11. Kobaba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yafaa kusoma maujuzi, maana naona Kanjibai ananitwangaga na nyundo na misumari kichwani tu kila siku. Hadi nakata tamaa
  12. Kobaba

    Mshahara mwezi Julai bado?

    Mama D
  13. Kobaba

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Ingiza kipato siku moja tu kwa mwezi
Back
Top Bottom