Search results

  1. Deghe Mangae

    NHIF na ukirikitimba

    NHIF kuna sehemu mnayumba sana lakini pia mnaboa mno imagine nakatwa kila mwezi makato ya NHIF na MUNGU Wangu ananinusuru na magonjwa mazitomazito au usiumwe kabisa ndani ya miaka 6 cha ajabu kadi ikichakaa naambiwa niilipie nipate mpya. Kwani haya makato ya kila mwezi yanafanya kazi gani kama...
  2. Deghe Mangae

    Serikali, ondoeni kikokotoo kinawaibia Watumishi wa umma

    Serikali Acheni wizi wa mchana kweupe, Ondoeni hii kitu naitwa kikokotoo itawagharimu amini nawaambia hii Inauma sana kwa maisha ya mstaafu, Mtumishi amejibana miaka kibao leo, Unamchomekea kitu cha ajabuajabu. Ina maana Serikali imefeli kabisaaaa Kubuni fund source nyingine ya maendeleo imeona...
  3. Deghe Mangae

    Serikali ibuni miradi kuliko kubania mafao ya wastaafu

    Hivi hii sirikali imeshindwa kubuni Chanzo/vyanzo vya mapato vingine Mpaka ikamkwide mtumishi wa umma ambaye ameshajichokea zake. Hii kitu inauma sana huu ni wizi wa kutisha kuliko wizi mwingine. Hizi sheria nyingine naomba wazitafakari kwa kina la sivyo serikali haitabaki salama kwa mlipa kodi
  4. Deghe Mangae

    Maisha ni maamuzi

    Maisha ni maamuzi ya mtu mwenyewe Vile unataka kuwa ni ww mwenye kupokea Ushauri ni suala la ziada lakini hatima ya maisha yako unayo mwenyewe Mind set yako mwenyewe ifanyie kazi Vizuri kuna positivity na negativity haya yote uwamuzi ni wako hiyo ndiyo siri kubwa ya maisha usitegemèe binadamu...
  5. Deghe Mangae

    NIDHAMU IMEHAMA

    Asha kumu si matusi,hivi ni kwa nn Vijana wengi sasa hawana nidhamu? Mtu anajinadi yy ni msomi halafu anaongea utumbo sipati picha kabisa Au silabasi zao mashuleni kuna topic za Matusi?kwenye hii mitandao ya kijamii Kila unapo gusa lazima utakuta matusi tena ya nguoni Najiuliza tuna kizazi cha...
  6. Deghe Mangae

    Ujinga, maradhi na umasikini: Hivi vitu vitatu kwetu bado ni mzigo mzito!

    Hivi vitu vitatu kwetu bado ni mzigo mzito, Watanzania bado maadui hawa watatu. Bado wapo hainiingii kichwani tunaposema wasomi tunao lakini wanayofanya ni matatizo mtupu kila iitwapo leo hii shida msomi mzima unafanya mauzauza kwa nini nisiseme. Huyu adui yupo ambaye ndo mbaya zaidi. Kwa...
  7. Deghe Mangae

    Kiongozi ni busara

    Kiongozi kama kiongozi usikurupuke katika maamuzi unaposikia kuona jambo. Tulia acha panic madhara ya premature decision yana impact kubwa mno kwa wengine lakini pia na kwako pia kuitwa. Kiongozi sio mchezo niseme tu kwamba Busara, hofu ya MUNGU, Uvumilivu vitumike ili kuepusha sintofahamu za...
  8. Deghe Mangae

    Ngo'mbe mzee huficha Kinyesi na Mkia

    Ukiwa mtu mzima usiropoke ovyo. Tumia busara kuwashauri vijana. Kumbuka na wewe ulikuwa kijana na vijana wa sasa si wakamilifu.
  9. Deghe Mangae

    Siasa za Tanzania

    Tuache siasa za chuki, kama sijakupa kura mwaka huu isiwe sababu ya kutoleta huduma muhimu kwangu. Kumbuka Maendeleo yanaletwa na kodi zetu na sio siasa za chuki, Wabunge na Madiwani acheni siasa za chuki kodi zetu ndo zinaleta maendeleo. Unatakiwa ujitathimini kwa nini sijakupa kura ikibidi...
  10. Deghe Mangae

    Ondoa Kitambi chako kwa kupambana na life style yako

    Afya ni maisha maisha ni Afya. Kama Afya yako haiko sawa ni umaskini unafuatia. Tuwe makini na Afya zetu. Baadhi ya viongozi wetu Afya zao ni mbovu mno kupia Life style zao na hii mbaya sana. Wanachukua mazoezi kupunguza Vitambi, huwezi kupunguza kitambi kwa mazoezi naomba hili walijue. Ondoa...
  11. Deghe Mangae

    Sekta za Kilimo, Mifugo na Afya

    Kama una mawazo mapana hizi Idara Nizakutupia jicho pana mno; 1. KILIMO 2. UFUGAJI 3. AFYA Huwezi kuzungu Afya kama bila chakula Utatu huo ndiyo mpango mzima wa kila kitu kimaendeleo kwa namna moja au nyingine kwani kila utakacho utakipata kupitia utatu huo nikiboresha zaidi serikali yetu...
  12. Deghe Mangae

    Utaratibu wa kodi Tanzania ni shida

    Hebu serikali ilione hilo kwa sasa. Utaratibu wa kodi kwa wafanya biashara ni msumari wa moto, na si wafanya biashara tu ni wananchi kwa ujumla wake. Hii multiplicity of levy its too much. Nchi haiwezi kwenda kwa utaratibu huu. Ikumbukwe kila binadamu anakiwango cha uvumilivu, ikifia hapo...
  13. Deghe Mangae

    Wazalendo na uzawa

    Hivi kwa sasa hapa tulipo wapo wazalendo kweli? Naomba wazawa mnijibu manake naona viongozi wangu hawana ile amsha amsha ya maenndeleo kwa wananchi wao lakini pia kwanini wananchi nao wamekata tamaa tatizo ni nini!!? Naomba msaada wenu wadau na jamii nzima ya JamiiForums [Angalizo hoja...
  14. Deghe Mangae

    Siasa za chuki ni upuuzi

    Uchaguzi ukiisha tuendelee na kazi. Mambo ya kujengeana bifu ni upuuzi mtupu. Wote ni walipa kodi na maendeleo hayana chama. Wapo baadhi ya wabunge na madiwani baadhi ya maeneo yao haya maendeleo kisa hawakupigiwa kura eneo husika. Njoo Lugoba MORETO SEC watoto umeme hawana, barabara mbovu...
  15. Deghe Mangae

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa

    Usemi huu wa wahenga na wahenguzi. Aliyeshiba hamjui mwenye njaa nakubaliana nao kwa asilimia 99 Viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza naona sasa wanatutawala. Na sio kutuongoza hivi mnapo sema uchumi unakua mnautathmini vipi wakati wananchi wenu wanaishi kwa mlo. Mmoja kwa siku,leo...
  16. Deghe Mangae

    Afya ndio mpango mzima

    Natoa wazo ambalo litatufikisha mbali kimaendeleo, huwezi kufanya lolote kama afya yako haiko sawa na hii naomba itazamwe kwa kina ktk kila sekta. Naomba nianze na viongozi wangu wa aina zote awe wa kisiasa na wengine wengi kiufupi mtu yeyote kabla hajapewa Jukumu la kutuongoza apimwe afya yake...
  17. Deghe Mangae

    Uongozi ni mzigo

    Ukiwa kiongozi ujue ni risk pia vitu vifuatavyo omba Mungu akupe: 1) Busara 2) Uvumilivu 3) Hofu ya Mungu 4) Ubunifu Hivi vichache ukiwa navyo utafika mbali mno kufanya kazi ya Mungu, kwani uongozi si mchezo ni mzigo mzito kama hizo silaha hapo juu huna hakika mbali hufiki. Hebu vuta hisia...
  18. Deghe Mangae

    Siasa za Nchi yetu na ukweli ni Maadui

    Siasa za Nchi yetu na ukweli ni Maadui, wanasiasa wengi kuambiwa ukweli hawapendi kitu ambacho ni Kibaya mno kamwe usipokubali ukweli au kukosolewa ujue wewe ni mzigo, Matokeo yake unatengeneza bomu La maangamizi hii ni kitu ya ajabu sana mwanasiasa kupenda sifa zisizo na mashiko. Nchi yetu...
  19. Deghe Mangae

    Tatizo la Umeme shule ya Sekondari Moreto

    Tanesco Chalinze ile shule ya Sekondari Moreto mbona haina umeme watoto Wanapata tabu mno jamani hivi shida ni iko wapi?
  20. Deghe Mangae

    Utaratibu wa maisha

    Kwa sasa ubinadamu uko likizo, na kimsingi ubinadamu ndiyo utaratibu mzuri wa maisha yetu ya kila siku. Leo hii kila mtu na lake, ubinadamu haupo tena, maisha yamevurugika mno. Kila kitu hakiko sawa, katika mifumo yote kuna mambo ya ajabu sana. Hii kitu naitwa kodi, tozo mbalimbali, vitu...
Back
Top Bottom