Search results

  1. Muadilifu

    Mheshimiwa nanihii

    Kipanya noma!
  2. Muadilifu

    Msaada wa ku-upgrade win 7 from home to professional

    Wakuu, naomba msaada wa ku-upgrade window 7, kuto home edition kwenda pro edition. Niliwahi kuiona hiyo thread hapa, lakini leo nimeitafuta bila mafanikio.
  3. Muadilifu

    Mtumishi wa Mungu habagui wala hachagui

    Hapa ni Tunduma kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa la EAGT Tunduma ambapo familia yake pamoja na marafiki zake walichangia shilingi milioni 10.
  4. Muadilifu

    Wakuu, msaada wa namna ya kuondoa kirusi

    Nimejikuta nimevamiwa na kirusi kinachojiita RECYCLER ambacho huambatana na folder jingine linanoji-create kwa jina la "System Volume Information" Naombeni njia rahisi ya kuiondoa hii kitu.
  5. Muadilifu

    Swali

    Najiuliza tu, huyu Mheshimiwa alikuwa anaangalia nini hapo chini?
  6. Muadilifu

    Kima cha mishahara ya serikali

    Wadau naomba kujua ni wapi nitapata melezo ya viwango vya mishahara ya serikali kwa undani? Natanguliza shukrani
  7. Muadilifu

    Florian Kaijage apigwa chini TFF

    Shirikisho La Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemsimamisha kazi afisa habari wake, Florian Kaijage (pichani) kutokana na fedheha ya kushindwa kutimiza itifaki muhimu ya kupiga nyimbo za taifa wakati wa mechi ya Taifa Stars na Morocco jumamosi jijini. Rais wa TFF, Leodegar Tenga amewaambia...
  8. Muadilifu

    Ada ya saini na mihuri ya wanasheria

    Wakuu naombeni msaada kidogo kuhusu haya malipo wanayodai wanasheria pindi unapopeleka nyaraka zako waziidhinishe. Hivi, sheria inasemaje, ni halali kuwalipa kwa kazi hiyo, na kama ni halali ni shilingi ngapi wanatakiwa kulipwa kisheria. Manake kuna wakati nilipeleka fomu zangu mahakamani...
  9. Muadilifu

    Awamu za urais/utawala

    Wandungu, Naomba mnisaidie kujua ni vigezo gani vinatumika kujua hii ni serikali ya awamu ya ngapi, au huyu ni Rais wa awamu ya ngapi. Je ni kubadilika kwa Rais, au ni kuingia kwa ngwe nyingine ya uchaguzi (hapa nikimaanisha kipindi kingine cha miaka mitano ya uongozi wa Rais) Kama hoja ni...
Back
Top Bottom