Search results

  1. Muadilifu

    Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

    Mkuu Rakims, Na mimi nina tecno T611S, nime-download kutoka kwenye hiyo link, ikaenda vizuri tu, wakati wa ku-install inakwenda kwenye browser ili ifungue website ya "Whatsapp legal..." ikifika hapo inasema java script is not enabled in my browser. Naomba kujua kama kuna namna yoyote ya...
  2. Muadilifu

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 11 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Nimependa sentensi yako Mkuu Weston Songoro
  3. Muadilifu

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Mkuu, Ningekuwa na uwezo wa kukupa "LIKE" tano, ningefanya hivyo. Hakika hilo ndilo litakalofanyika.
  4. Muadilifu

    Wazee wa ligi. Dar - Mbeya

  5. Muadilifu

    Pontiff Francis......... leaving the catholic faith?......The three million Mass in Copacabana Beach

    Mkuu KIKUNGU, hapo suala la huduma ya maliwato linakuwaje?
  6. Muadilifu

    Naibu Spika Ndugai atamani CHADEMA iingie Ikulu!

    Nimeipenda hii, mkuu babalao 2
  7. Muadilifu

    Waziri Makamba na kashfa ya kuchochea uasi wananchi kuchukua sheria mkononi

    Ha ha ha You can't be serious gogo la shamba!!
  8. Muadilifu

    Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha

    Mbona imeishia katikati bana, Mkuu Shadow mwaga mavituz!
  9. Muadilifu

    Asanteni watanzania, tunaahidi kuendelea kuwatumikia kwa umakini zaidi!

    Hongereni sana Moderators! JF imekuwa sehemu ya maisha yangu, yaani siku ikipotea kidogo tu huwa napata homa. Muendeleze ubunifu wenu kwa faida ya taifa. Tuko pamoja!
  10. Muadilifu

    Justine Peter Mwandu ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima (NIC)

    Itabidi Rais ajaye awe anateua wapagani tu. Naamini hilo litapunguza hizi fikra. Hatari ninayoiona ni hii, kila tukisikia uteuzi fulani, jambo la kwanza tunalokimbilia kulitafuta ni dini ya mteuliwa na wala sio weledi na utendaji kazi wake.
  11. Muadilifu

    Raila au Uhuru Ikulu Leo ?

    okaoni, umenikumbusha mbali, ati..Kimunya must go, lol!
  12. Muadilifu

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    Mkuu CHIGANGA, Yaani katika maneno yooote tuliyonayo kwenye kamusi ya kiswahili wewe umechagua kutumia haya kufikisha ujumbe wako!!
  13. Muadilifu

    Mheshimiwa nanihii

    Kipanya noma!
  14. Muadilifu

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Ha ha ha Chakaza, hivi unawazaga nini!!
  15. Muadilifu

    Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

    Mkuu watu8 umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo Tumaini P/S, daftari likijaa unaenda kwa mwalimu wa somo anakusainia then unaenda kwa mwalimu wa darasa anakupa daftari jipya.
  16. Muadilifu

    Madudu EPZA: Ubadhilifu, uendeshaji mbovu na wakurugenzi Miungu Watu!

    Wana-Jf, kutokana na mlolongo wa mtoa mada hii inadhihirisha kuna msukumo wa bifu kati yake na mkurugenz aliyemtaja? ukiangalia na kufanya analysis utakuta hapo hakuna kitu, maelezo yake yote yamejaa ubabaishaji na wivu. Kama mimi ningekuwa bosi wake na kwa hakika namshauri amtafute na amtimue...
  17. Muadilifu

    Hivi hapa JF unapo-reply post unafanyaje jina la mtu unayemnukuu liwe active?

    He he he, na mimi nimeweza Soki. Asante kwa kutuulizia swali. Asante Mzee wa Rula kwa maujanja
Back
Top Bottom