Search results

  1. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Nawashukuruni Nyote kwa mawazo na hekima zenu. Naendelea pia na sala na dua mbali mbali Mwenyezi Mungu anivushe salama mtihani huu. Inshaallah.
  2. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Nashukuru sana ila ni mtihani mzito kwangu wallah, laiti mngelijua.
  3. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Akhsante Muinjilisti kwa mustakabali huu, nimesisimkwa na mwili kusoma haya uloyaandika kiasi cha kutamania aheri ningekuwa switched at birth lakini naishi na wazazi wawili wanaonipenda na kunijali kuliko dhahma hii niliyonayo.
  4. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Samahani kama hukunielewa awali. Ni ndugu wa baba'ngu wenye shinikizo hilo japo mwenyewe alishajikubalisha mie ni mwanae.
  5. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    kipimo cha DNA ni uthibitisho kwa wana ndugu kwamba mimi ni damu yao. Muda wangu umeniishia hapa, ila najifikiria iwapo ungekuwa wewe kwenye umri huo unaambiwa lazima ufanye DNA testing kuthibitisha uhalali wako kwa baba yako, kisha majibu yawe kinyume na unavyoyatarajia. Nitakuja wasoma...
  6. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Hapana, niwie radhi unisomapo vibaya. Uchungu umenitawala ndo maana waona kama sitaki kupokea ushauri. Sawabho. Ninaloliongelea hapa ni post traumatic stress baada ya majibu ya DNA. Tayari najiona mdhaifu kuyapokea majibu yatayokuwa tofauti na ninavyoyategemea.
  7. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Mama keshanambia huyu ndiye baba'ngu, na baba keshanipokea kwa mikono miwili na mapenzi yote. Shida ni ndugu wa baba ambao wao hawajajiridhisha mpaka pafanywe kipimo cha DNA. Majibu yakija vizuri alhamdulillah. Uchungu wangu majibu yakirudi kinyume na matarajio yangu jamani. Ndio maana natamani...
  8. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Hata mimi nashangaa, naomba dua tusifikie huko lakini mimi ni mtoto sina kauli ya kulisimamisha zoezi hilo. Inaniuma sana. Natamani mjiweke kwenye nafsi yangu, mwenzenu najiona nisiye na thamani kiasi kwamba ati DNA tu ndiyo itayonikubalisha kwamba mie ni damu yao upande wa ubabani.
  9. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Je, weye waweza mchungua mzazi wako juu ya hili? Ili iweje yarabi, au mkuki kwa nguruwe? Busara kaka.
  10. Jazmine

    Picha. . . .

    Wallahi bado sijalifikiria hilo na mwenyezi Mungu anistiri kwanza, ila wakati ukifika Inshaallah nitapata ujasiri huo iwapo nitajiridhisha na matakwa ya kuyafanya hayo. Kila jambo linafanywa kwa utashi wa mtu.
  11. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Nasali nikiomba madua kutwa kucha, sina raha nikiombea basi hata hicho kipimo kisifanyike, yaani wajiridhishe tu kwamba mimi ni damu yao, lakini yaonyesha hata baba'ngu anakosa raha sasa. Ni shinikizo la nguguze. Yarabi stara.
  12. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Nadhani yatokana na hisia za unwanted kid tangia mdogo, Kujiona baba'ngu kanitelekeza na yu wapi miaka yote hii. Naogopa kuumizwa tena na hayo majibu baada ya kuonana na baba na ndoto zangu kutimizwa.
  13. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Hapana, nimekuwa natamani na mimi niwe na baba yangu. Nimevumilia mengi kuwaona wenzao na baba zao. Baada ya mwaka na kufaidi raha na mapenzi ya baba niambiwe kumbe si baba'ngu kwakweli tayari ishaanza kuniuma kabla hata hatujapima. Natamani nikatae kupima Jamani. Sijui nimekosea nini Mwenyezi...
  14. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Loh! Hapo pananitia uchungu zaidi kwani kwa miaka yote hii amekuwa ananionyesha kwa picha baba'ngu ni huyu, halafu baada ya majibu negative, nianze kumhoji tena aniambie ukweli?
  15. Jazmine

    Picha. . . .

    Picha ni taswira inayobakia kutokana na muonekano wa mtu kutokana na tukio na kipindi maalumu. Kuzitupilia mbalini, au kuzihifadhi kutatokana na utashi wa mtu. Kwangu mie binafsi sioni hasara kuhifadhi kumbukumbu ya matukio ya awali, kwani nishajikubalisha ya kale hayanuki.
  16. Jazmine

    Naogopa Majibu Ya DNA.

    Umri wangu ni miaka ishirini na mmoja. Wazazi wangu hawakuwahi kuoana wala kuishi pamoja kwani nilipokuwa conceived (wazazi) wangu walikuwa bado kwenye late teens, wakati huo wanafunzi. Katika mazingira hayo, umri wangu wote nimelelewa na familia ya mama yangu kisiwani zanzibar katika maadili ya...
  17. Jazmine

    Huu mti nao umekaaje?

    lol, mwa laana nyie.
  18. Jazmine

    "Malaya hao"..!

    Wivu tu ukiona hivyo, wadhania watamkuwadia mkewe, loh.
  19. Jazmine

    Nimeumizwa sana sitamani kupenda

    Kaka. Nikikupa pole haiwezi kukusaidia kwasababu yako ni maradhi ya kujitakia.
  20. Jazmine

    i cant sleep, help please!

    Wengi tunahesabu boriti leo, Labda tujaribu kuhesabu 100, 99, 98, 97 backwards uku tumefunga macho.
Back
Top Bottom