Search results

  1. mandella

    Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Niende moja kwa Moja kwenye topic,Wakubwa Mambo yanakwenda kasi sana kwakweli na kwa jinsi hali hii inavyoshika hatamu kuna uwezakano mkubwa Style ya Dada poa Kusimama na kujiuza barabarani ikapungua kwa kiwango kikubwa sana , nimegundua njia zinatomika na hawa dada zetu kufanya biashara haramu...
  2. mandella

    Ni muda wa Jeshi la Polisi sasa kubadilika,enendeni na wakati uliopo

    Jeshi la Polisi naomba niwambieni Jambo. Je mnafahamu hii Dunia inakwenda kasi sana ? Tambueni Technolojia inakua kwa kasi ya ajabu sana,Elimu ya Uraia inatolewa kwa kiwango kikubwa sana na Serikali,Taasisi na hata watu Binafsi,tambueni Elimu hizi zinaabadilisha fikra za watu juu ya kuzifahamu...
  3. mandella

    Polisi wadaiwa kuomba rushwa ya Milioni 10 kwa Mange Kimambi

    Ila ni swala la Nyakati tu ndio litashape Mwendendo wa polisi,Kwa hali inavyokwenda Wananchi wengi wametoka uwoga kabisa na wanakataa kuonewa kama ilivyokua awali, Wananchi wengi wamepata japo elimu ya juu juu jua ya maswala ya Haki zao za msingi. Itafika mahala Automatically tu Polisi...
  4. mandella

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Usalama upi Tena unataka , kama Mzigo unaliwa hadi ngozi , mafuta yake ni Masafi kwa Afya na yanaokoa Gharama , ni nn tena unataka Kijana.
  5. mandella

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Hahahaha [emoji4][emoji3][emoji23] Mm sijawahi Kumsaliti kwakweli
  6. mandella

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. mandella

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa sasa. Uzuri wa haya mafuta bana Hayaishi kwa Haraka, pia hayagandi. Kwa sasa wanaucheza mwingi...
  8. mandella

    Dada aliyemuua jambazi katika harakati za kumuokoa mume wake: Sheria imekaaje? Je, ana kesi yoyote ya kujibu?

    Sheria zetu zinasemaje juu ya hili? ====== MWANAMKE ALIYEPIGANA NA JAMBAZI MWENYE BASTOLA NA KUFANIKIWA KUMUUA Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana...
  9. mandella

    Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Nenda PicNic leo mda huu ni Jumatatu saa Tano ,ndio utajua kuna watu wanafunga Hesabu haswa
  10. mandella

    Ushauri: BAVICHA wana kubwa sana la kujifunza kutoka kwa BAWACHA

    Hii Spirit waliyonayo BAWACHA aise ni ya kuhamisha Mlima. Wana Moral ya hatari kitu ambacho ndani ya BAVICHA wakiwa kama vijana hakipo kabisa, sina mengi ya Kuzungumza ila ningekua Kiongozi wa Chama kile Either niwape mda mfupi sana wa kujitathmini BAVICHA kama BAVICHA ama Suddenly ningefumulia...
  11. mandella

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Embu fanyeni kama mnaweka Tena Update ya huu mchongo na sisi wageni wa thread tupate namna ya kucatch up ..maana nimefuatilia lakini sijaona ilipoanzia naoana tu watu wanafurahi mtelezo. Shusheni hap upya wakuu
  12. mandella

    Ombi la Ukraine 🇺🇦 kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

    Kitu nashindwa kuelewa ni haya Matamko na Suctions za kipuuzi kutoka kwa EU na Marekani while Russia yeye anaendelea kupiga tu na kuchukua Miji .
  13. mandella

    Kwani Magufuli aliwezaje ?

    Tabu sana , kwa hiyo akija Mwingine anabadilinDira Vilevile ,anaachana na hii anaanza na ya kwake . Tutafika tukiwa tumechoka sana
  14. mandella

    Kwani Magufuli aliwezaje ?

    Na hadi sasa wengi wao hadi kwenye Awamu hii huwenda wamo na wakasaidia kujua waliwezaje wakiwa na JPM
  15. mandella

    Kwani Magufuli aliwezaje ?

    Hii labda iwe Thread ya kupata references mbali mbali za namna Raisi wa Awamu ya tano John P Magufuli alivyoweza kufanikisha mambo mengi kwa mda Mfupi sana,wapo wanajua njia zilizotumika na huwenda zinaweza kusadia kukimbiza mambo kwa sasa kwa yale yote yanayonekana kama vile hayaendi tena kama...
  16. mandella

    Tupeane offer nzuri za simu kipindi hiki cha sikukuu (Samsung Only)

    [emoji23] number yao waliyoweka ya huduma haipatikani [emoji23] arusha mpo wap ?
  17. mandella

    Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

    Fitna zimejaa sana kazini aisee .. Mtu anaweza kukuharibia pakubwa sana ..
Back
Top Bottom