Search results

  1. Tajiri Mapesa

    Waafrika tunarogana sana ndio maana maisha yetu magumu

    Hahahaaaaaaaa, waafrica mnashida sana
  2. Tajiri Mapesa

    Vincent "Ray" Kigosi anafaa kugombea Ubunge

    Kweli mbona kama ana ujasiri sana.
  3. Tajiri Mapesa

    Vincent "Ray" Kigosi anafaa kugombea Ubunge

    Habarini wakuu, Natumai mu wazima wa afya njema. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada twaja. Nadhani tunamhamu bwana Kigosi ambaye wanamwita Ray. Wakuu hili halina ubishi huyu bwana ni bingwa wa movie za kuongoza makampuni na kukaa ofisini. Na hata ukimsikiliza pindi akiwa ameshika uhusika...
  4. Tajiri Mapesa

    Nataka kujua sifa zinazo mfanya mwanaume aonekane handsome

    Hahahaaaaaaaa kwanini mkuu, mimi ni kidume mkuu, kama tatizo ni kuwa handsome mkuu Sasa nafanyeje, maana vibinti vinajikanyaga vyenyewe. Na mimi ni kuvikanyaga tu hamna namna
  5. Tajiri Mapesa

    Tumedanganywa tena, Tanzania haimo katika nchi kumi uchumi wake unaokua barani Afrika. Ukuaji wa 7% hautambuliki kimataifa

    Source: theglobaleconomy Mimi ni mwana uchumi hizo nchi zote nauelewa uchumi wake ulivyo
  6. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Yaani ujinga mtupu, badala ya kuimba anaanza kutukatikia viuno angalau basi angekuwa anasheki
  7. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Bwana Alfa nakuomba msikilize mwenyewe. Mimi napenda tusikilize miziki sio matusi ya ngono mkuu au nyimbo za bagia na kachori. Real | @DruZm
  8. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Sikiliza mkuu kwa maskio yako mwenyewe. Mimi sio shabiki wa mtu ila huwa napenda tusikilize mziki unao eleweka sio matusi Real | @DruZm
  9. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Mkuu Mkuu youtube hutompata, labda search tu google kawaida.
  10. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Mwenyewe nimeshangaa sana, kwanini hana account youtube? Kwasababu anaonekana anaimba mziki wa kimarekani, sasa iweje amekosa akaunti youtube. Na kama angeweza kufungua akaunti youtube ikai ibland vizuri hakika huyu dogo watamchukua U.S
  11. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Jaribu kumskiliza utaelewa nacho kiongea.
  12. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Sasa unacheka nini mkuu, umejaribu kumskiliza?
  13. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Hebu msikilize mkuu, hata akina p square hawaingii ndani
  14. Tajiri Mapesa

    Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

    Habari wana jamii forum. Kiukweli hili halina ubishi wakuu. Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika. Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo labda kakulia marekani. Kila mtu alikili kuwa huyu msanii sio wa Afrika hii. Ukisikiliza vizuri...
  15. Tajiri Mapesa

    Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

    Nimegundua wewe umepewa limbwata kwa hiyo huu uzi umekugusa penyewe. Rejea dalili za mtu aliyepewa limbwata
  16. Tajiri Mapesa

    Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

    Mkuu sisi sote ni watu wazima, hakuna mtu mwenye balehe hapa we are seriously. This kampeni tokomeza uchawi kwa wanawake
Back
Top Bottom