Mema Tanzania Jumamosi ya tarehe 17 Aprili, 2020 tulizindua jarida la Mema Magazine toleo la kwanza linalofahamika #Tumesomeka likiwa katika programu maalumu ijulikanayo kama Sauti Huru. Jarida hili limesheheni maudhui yanayohusu masuala yafuatayo;-
Afya na usawa na kijinsia
Uraia na...
Tuangazie #Rushwa
Rushwa ni aina ya ukosefu wa uaminifu au kosa la jinai linalofanywa na mtu, taasisi, au shirika lililopewa madaraka, kujipatia faida haramu au kutumia nguvu vibaya kwa faida binafsi.
Rushwa inamaliza imani, inadhoofisha demokrasia, inakwamisha, maendeleo ya uchumi na...
Kila mwaka ifikapo tarehe 6, Februari dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji.
Je, unatambua wanawake na mabinti takribani milioni 7.9 wamepitia ukeketaji Tanzania?
Licha ya serikali na wadau mbalimbali kupambana vilivyo na ukeketaji, kuna maeneo bado ukeketaji dhidi ya...
"Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
Our Live #YouthChat Series continues with a Bang! After Danny Morgan, Cooogi, Erick Gyabo and many more - this Wednesday 7th we are going a little bit deeper into the business.
We are proud to present you our next Guest. LyRanda Aalece singer/songwriter & our goodwill ambassador Ms. LyRanda...
Moja ya tasnia kubwa duniani ni fashion, kazi ambayo inaweza kuwa career ya kijana kama akiwa na interest nayo. Kwa mujibu wa www.indeed.com fashion designer duniani wanaingiza wastani wa $6,000 (takribani milioni 14) kwa mwezi. Ukifanya tathmini kwa mazingira ya Tanzania, tasnia ya fashion ni...
Umewahi nunua chocolate ile unaipiga paap! inapukutika kama biscuits? Ujue umenunua bidhaa ambayo imekwisha muda wake. Kabla hujanunua bidhaa za kula ni vyema ukazingatia dondoo zifuatazo.
1. Jina halisi ya bidhaa
Vyema ukajiridhisha bidhaa unayonunua jina lake halisi ni lipi kwani sokoni...
The Four Agreements ~ Don Miguel.
Don Miguel ni moja ya waandishi nguli duniani. Ni mtunzi wa vitabu maarufu The Mastery Love, The Voice of Knowledge na Prayers.
Katika kitabu cha The Four Agreements ameelezea kanuni kuu nne ambazo mwanadamu anaweza kujijengea na kuepuka mnyonyoro wa...
Na Abby Msangi
Tanzania ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya vijana ikikadiriwa kufikia zaidi ya milioni 25. Kwa wastani zaidi ya vijana laki nane (800,000) huingia katika soko la ajira kila mwaka huku uwezo wa uzalishaji wa kazi zenye tija (ajira rasmi) ni kati ya 50,000 mpaka 60,000 kwa...
Mema Tanzania inawatengenezea vijana mazingira salama (Safe Space) kwa kuanzisha Mema Clubs shuleni kwa ajili ya kujadili na kuchukua hatua dhidi ya changamoto zinazowakabili.
Katika Mema Clubs vijana hujifunza mambo kadhaa ikiwemo afya ya uzazi, hedhi salama, stadi za maisha kupitia muundo wa...
Kesho tutazichambua chuya, pumba na mchele uliokuwa safi mubashara! kupitia Instagram ya Mema Tanzania | Hapa! Jeremiah Wandili, Pale! Ongea Radio, Kule! DJ na mtayarishaji wa kimataifa Bassjacked atakayehakikisha upweke na mawazo ya karantini yanakuwa isolated.
Ni Jumamosi hii! 2 Mei, 2020...
Ikiwa leo ni Siku ya ufahamu kuhusu usonji duniani tutizame kwa uchache kuhusu suala hili
Usonji au tawahudi kwa kiingereza autism ni tatizo la nafsi na hisia linalowatokea watu angali watoto na kuathiri uwezo wa kuwasiliana na wengine. Wenye tatizo hawaonekani watu wa kawaida. Muda mwingine...
Mimba za utotoni ni moja ya mkwamo mkubwa wanaopitia mabinti walio shuleni kuweza kutimiza ndoto zao. Katika kipindi hiki cha likizo ya ghafla hatari ya mabinti kupata mimba ni kubwa zaidi.
Hata hivyo yafuatayo yanaweza kukusaidia kuepuka vishawishi na matamanio ya kingono;-
Fanya mazoezi ya...
#KIPOPOONFRIDAY
KUJITOLEA ni kitendo cha mtu au kikundi cha watu kufanya kazi mahali fulani kwa kusudio la kukuza ujuzi au kusaidia jamii pasipo malipo ya rasmi. Kujitolea hutambulika kama shughuli halali na ya hiari na mfanyakazi anaye jitolea anaamua kuifanya kwa kuzingatia masharti ya...
Happy Women's Day
Mema Tanzania inawatakia kila la kheri katika siku hii ya mwanamke duniani. Siku hii iwe ni yenye tija, ufanisi, uwajibikaji, utendaji na kuweza kuwa chachu ya maendeleo kwa mwanamke, jamii na taifa endelevu.
Yafaa itumike kwa yaliyokuwa chanya na bora kwa kizazi cha sasa na...
#KIPOPOONFRIDAY
MCHANGO WA WANAWAKE KTK MAENDELEO NCHINI
Tanzania ni sehemu ya mataifa mengi duniani ambayo yanaadhimisha siku ya wanawake duniani. Mwanamke ameendelea kuwa nguzo ya ujenzi wa uchumi nchini licha ya wengi wao kukumbwa na umaskini wa kipato (Income Poverty). Takwimu zinaonyesha...
Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual
#TatuZaJumatatu
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI INA MAANA GANI
| CHIMBUKO LAKE
Mwaka 1908 kulitokea mtafaruku na mjadala mkubwa kuhusiana na wanawake ikumbukwe miaka hiyo kulikuwa na unyanyasaji na kutokutambulika kwa haki za wanawake hali iliyopekea wanawake kuanza kupaza sauti na kuendesha kampeni...
#TatuZaJumatatu AI | Robotics | Machine
AI ‘Artificial Intelligence’
AI ‘Artificial Intelligence’ ni sehemu ya computer science inayohusika na utengenezaji wa machines zenye kufanya jambo kwa kutegemea HI ‘Human Intelligence’.
Machine hizi zinauwezo wa kuelewa matakwa ya sauti, kutambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.