Search results

  1. so who

    Iringa waanza kulishwa Mbwa wa ffu katika misiba ya wahehe wote kama mila zinavyotaka

    katika hali isiyo ya kawaida kuna siriimevuja kutoka kikao cha wazee wa mabaraza ya kata yaliyoundwa na wazee mashuhuri wa kihehe kutoka kata zote za mkoa wa iringa kilichofanyika kikombwe tanangozi chini ya uongozi wa mzee maarufu aliyekuwa ni time kipa wa mikutano ya kimila enzi za chifu...
  2. so who

    Iringa sehemu nyingi zinaanza na "I" Nini maana yake?

    kuna KIHODOMBI naona mmtusahau
  3. so who

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    kuna mkakati mzito unaandaliwa kulishtaki bunge kwa kuruhusu watu na taasisi mbalimbali nchini tanzania kuzushiwa tuhuma zisizo na uthibitisho ambao kiti cha spika kilipaswa kuomba uthibitisho wa tuhuma mbalimbali ili ibakikwenye hansard lakini kiti kimekuwa kikiacha tu na madai yao hawa jamaa...
  4. so who

    kwa wapenzi wa Ulanzi WANYALUKOLO

    vipi unakumbuka kina -niangushage mwenyewe! hizi zitakuwa dhambi zako mwenyewe maisha yalikuwa ni matamu iringa tanangozi na basili la milango miwili na nyota basi servise jioni linatoka tanangozi linaingia mjini na wanywaji kibao. hii ya leo ni inside iringa kama mtu wa iringa hakuyaona haya...
  5. so who

    kwa wapenzi wa Ulanzi WANYALUKOLO

    umenikumbusha miaka ya 1985 kulikuwa na mzee mmoja mburushi anaitwa mzee gullam shambe (jg) alikuja shule high land kusikiliza mashtaka ya mtoto wake anaeitwa gullam. Na mashtaka yake ni kuwa mtoto wake huyo alikuwa hataki shule anashinda viwanja vya sabasaba kwenye hotel anakunywa chai mwalimu...
  6. so who

    Mtaala wa elimu kuwasilishwa tare 6.2.2012

    maajabu yanapaswa kuingizwa kwenye pilisner lager book yaani kusafarisha vitabu 300 kutoka Dar EsSalaam mpaka Dodoma inachukua siku nne mbona Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo aliagiza mafuta ya kuwashia mitambo ya umeme yapelekwe ubungo sijui ilikuwa lita ngapi na chombo...
  7. so who

    Ndugai, Uheshimiwa si cheo kuanzia rais na watumishi wa serikali

    MSIMLAUMU NYIE WALIMU:target: HAMNA HABARI KWAMBA JIMBONI KWAKE SERIKALI ILIVYOKUWA INASAFIRISHA SHULE ZOTE IKAPELEKA PUGU DAR ES SALAAM AU PALE VINGUNGUTI DAR ES SALAAM WAZAZI WAO WALIKUWA WANACHEKELEA TU (note yaani sidhani kama walikuwa wanauza ng'ombe kwa bei ya soko wangelipwa kama bei ya...
  8. so who

    Waziri mkuu mizengo kayanza pinda haya ndio maoni yako yanatisha wananchi

    SIKU ILE UMEKUJA KUTOA MCHANGO WA KATIBA MIE NILIJUWA LEO UNAKUJA ZUNGUMZIA MAENEO AMBAYO TANGU UMESHIKA UWAZIRI MKUU YAMEKUWA YANAKUGARAGAZA SANA WEWE NA SERIKALI YAKO YAANI MAWAZIRI WALIOKOCHINI YAKO;- Kwenye eneo la haki ya kuwa hai katika katiba ya sasa kifungu 14 ; Kila mtuanayo haki ya...
  9. so who

    Bomu la Pinda linakaribia Kulipuka Tandahimba, Vijana wanajipanga wako tayari kufa!

    hawana la kusema juu ya mtwara achen pinda atekeleze ahad yake pinda huyuhuyu au mwingine? kama ni huyohuyo hajamjua yule kuwa ni kichwa cha mti wa mpingo kama kikisha chongwa huwezi kukibadilisha sura yake labda ukipasue pasue tu.
  10. so who

    Wassira, Ndugai, Sendeka, Kigwangala walaani uchochezi wa Mtwara! Kigwangala ataka Dr Slaa Akamatwe

    NINGEKUWA NA MIMI KAMA KINA CHAUSIKU KAMA WANAVYOITWA HAPA MTWARA NA WATUNZANIA WENGINE NINGEMSHUSHA B..U..S..H..A.. [:boink: :usa: :sleepy: :happy: ] WALA HUHANGAIKI KUMPELEKA MABWE HAPA NDE. ILI AWE ANAVAA MSULI MPAKA UCHAGUZI MKUU 2015 NA UCHAGUZI UKIPITA BASI NAMPANDISHA NA SIJUI KAMA...
  11. so who

    Wassira, Ndugai, Sendeka, Kigwangala walaani uchochezi wa Mtwara! Kigwangala ataka Dr Slaa Akamatwe

    hana jipya mh hk kwanza amezoea nguvu za giza, pili ni shekhe ubwabwa akiona turubai anajua kuna shghuli anakunja msuli anakaa anasubiri msosi kumbe shghuli ilikuwajana na hatujalipia turubai la watu, tatu anajibembeleza kwa mheshimiwa mama hawa ghasia anasiri ya yule mama ukiboko aliomfanyiya...
  12. so who

    Wassira, Ndugai, Sendeka, Kigwangala walaani uchochezi wa Mtwara! Kigwangala ataka Dr Slaa Akamatwe

    vipi wewe kupitia radio clouds kwenye mgomo wa madaktari mbona uliunga mkono wakati watanzania wanakufa. Usijisheuwe hapa kumbe na wewe ni .ni mfuasi wa shetani ambae hushangilia vurugu na ugomvi..hasa kama hizo vurugu ni kwaajili ya kutafuta shibe au wewe ukishangilia vurugu na ugomvi basi...
  13. so who

    Lukuvi ni kihiyo au?

    hapana huyu sio kihiyo huyu ni mheshimiwa william vangimembe lukuvi mbunge wa jimbo la isimani wilaya ya iringa vijijini mkoani iringa ni kati ya wasomi waliojazwa ndani yao wa elimu ya masomo ya juu msingi kwa maskini na kupata cheti hicho na kwa wenzetu waingereza nadhani cheti hiki kingeitwa-...
  14. so who

    Gasi: Pinda, southerners we are smarter than that, ulichokifanya ni kupinda pinda hoja na kujipindua

    Haya THE BIG SHOW. Nilikuambia kwamba time will tell. Umesikia Story za Tume zimeishia wapi? Nilikwambia wana Mtwara watalia machozi mekundu. Mstakabali wenu wa gesi na muafaka umekabiziwa kwenye mikono ya the same people walio usababisha. Sasa mnategemea nini HII NILIUTUMA WAKATI WAZIRI MKUU...
  15. so who

    baadhi ya mambo mbovumbovu yaliyowahi kufanywa na wasomi unayoyakumbuka.

    1.Aliishi miaka milion tatu iliyopita 3.000.000 kabla ya kristo BC 2.mzungu wa kwanza kuliona ziwa victoria 3.mwanamme hutoa mbegu milion kadhaa (kwa kila mshindo 4. HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI INAHITAJI ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA SABA TSHS 700,000,000.00 ILI IWEZE KURUDI KATIKA HALI...
  16. so who

    Afisa Elimu Wilaya ya Iringa Vijijini anabaka elimu

    poleni sana mgimwa na lukuvi wanayajua haya
  17. so who

    Tanesco in hunt for new boss

    hebu jaribu kutueleza vizuri na kwa lugha inayoeleweka hueweleki mkuu au walimu walikwenda dar es salaam.
  18. so who

    Tanesco in hunt for new boss

    huyu mchangiaji tazizo linaweza kuwa sio shule za kata.sana sana unaweza kumkuta huko kwao serikali ilisafirisha walimu wote ikawapeleka dar es salaam kama inavyopeleka gesi.
  19. so who

    Wassira, Ndugai, Sendeka, Kigwangala walaani uchochezi wa Mtwara! Kigwangala ataka Dr Slaa Akamatwe

    yaani nyie acheni waseme tupo huku mijadala inaendelea leo tulikuwa tunatafakari kauli ya mh pinda kusema eti tulidanganywa gesi inaenda kwa kikwete bagamoyo tuna linganisha na kauli ya waziri muhongo kama kweli anatutukana kwamba sisi niwapuuzi eti gesi inaenda nyumbani kwa kikwete tunamshukuru...
  20. so who

    Tanesco in hunt for new boss

    Kwa style ya kina maswi na mhongo wamweke mtu wa tarime hukoko kwao nadhani waliongalia mahojiano ya kwenye tbc mtaalamu wa sheria za mikata inayoingia nchi jamaa nadhani ametoka mkoa mmoja na werema nadhani sasa hivi hakuna mkataba mbovu nchi imengia.
Back
Top Bottom