Ni wiki sasa mfumo wa kukata Leseni za biashara kupitia TAUSI haufanyikazi na hata ule wa TRA haupo sawa. Je kuna tatizo ama ndiyo tujiandae kukadiliwa kama zamani na kupata leseni za biashara kutoka Halmashauri kuwa za kitabu.
Habari zenu wadau.
Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini?
Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo.
Msaada
Mara nyingi kumekuwepo na malalamiko kuhusu suala la uwajibikaji katika Jeshi la Polisi. Kumekuwepo pia na visa na mikasa mingi ya uaminifu kati ya raia na Jeshi la Polisi.
Serikali ya Mama Samia ikaja na tume ya Haki Jinai ili kuangali jinsi ya upatikanaji wa haki, jeshi la polisi limeongoza...
Hawa akina mama wawili imekuwa ni kawaida yao kila wiki kuja kusimamisha magari hii barabara ya zamani ya Morogoro maeneo ya Stop Ova. Muda huu wanaleta usumbufu usio na tija. Kamanda wa kikosi cha barabarani wakabili hawa akina mama.
Sijui ni kuepuka gharama za kulipia school bus ama ni kuwaepusha watoto na mzunguko mkubwa wa haya mabasi ya shule.
Sasa hivi kumeibuka tabia ya wazazi kuwatumia bodaboda kama njia rahisi ya kuwachukua watoto kutoka shule hizi shule za Kiingereza, huenda ni njia rahisi ya kuepuka gharama...
Mmiliki wa ASAS kuna kelele zinapita kwa watu kuhisi una nguvu sana katika serikali hii wakiunganisha na uhusiano wako na timu Msoga.
Magari yako ya mafuta yamekuwa kero sana hasa jioni yakiwa yamepark na kuchukua sehemu kubwa sana ya barabara.
Kero hii inasababisha kutengeneza foleni kubwa...
Asanteni sana marafiki kwa kutenga muda na kunitumia salamu za heri na fanaka nilipokuwa natimiza umri wa miaka 67 hapo jana. Shukrani sana!
Niliwahi kusema miaka mingi iliyopita kwamba, yalikuwa ni makosa makubwa sana Nyerere kuwa Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania. Matatizo makubwa ya...
Miaka ya nyuma nchi ikiwa chini ya utawala wa Ali Hassan Mwinyi ilikumbwa na mgogoro mkubwa wa Wauguzi na Waganga kugoma kutibu watu katika hospital kubwa ya Muhimbili. Mgomo ulikuwa mkubwa sana, sasa ikapangwa Mkuu wa nchi aende kuweka sawa mambo. Lakini akakimbia kikao na akaenda kucheza...
Zamani tulizoe vile Vigofu vikipita mitaani vikiangalia hali ya ulinzi, lakini siku hizi hakuna ni kuwa nchi na majiji makubwa usiku yanakuwa bila ulinzi.
Kuna mahojiano umefanya na Azam TV kuelekea pambano la Twaha Kiduku. RPC Mkama kweli shule yako inakuambia kbs kuwa Twaha Kiduku ndio kivutio pekee cha Utalii mkoani Morogoro!? Ebu kuweni makini sana mnapopanua midomo yenu kwenye kuongea mambo ya maana. Yaani unaongea kbs bila aibu kuwa watalii...
Ukiwa Tabora kuna ZOO kama unaenda National kuna kila aina ya wanyama lakini huyu mwamba hayupo.
Kule sijui Arusha kuna shamba la kufuga wanyama na watu wanacheza mpaka na Simba, lakini hili dume Nyati halipo.
Nini shida mpaka huyu mtemi anaogopwa kufugwa.
Spika wa Bunge Dkt. Tulia hivi karibuni katoa kauli ya kuvitaka vyombo vya habari kufikisha kwa usahihi habari za bunge kwa Wananchi.
Kitendo cha kuvitaja Jamii Forum na gazeti la Mwananchi, inaonyesha wazi kuwa hana imani na vyombo vya habari vya serikali na chama chake.
TBC, Daily News na...
Kwanza nikupongeze kwa kuwa kitini kwa miaka miwili sasa, na pongezi kwa kupoza joto la kisiasa. Naona siku hizi imekuwa ni fasheni na upigaji wa hela kufanya sherehe kila ifikapo tarehe ya wewe kuingia madarakani ukitimiza mwaka.
Mama na mema yako yote ila umekuwa ukipokea rushwa huenda kwa...
Ukiangalia Azam TV kuna tangaazo linahusu kukimbia mbio kuchangia bima ya afya kwa watoto yatima. Sasa najiuliza bima ipi hiyo, wakati NHIF ameshatoa bima ya watoto je huu sio utapeli na ulaghai. Serikali tupieni macho huu utapeli wa hizi marathoni.
Jana nilikuwa na miadi ya mdada mmoja ambaye nilikuwa namfukuzia muda ila akaleta maringo nikampotezea. Mimi ni muumini wa dhehebu la KATAA NDOA. Sasa juzi huyu dada akanitafuta vuuu msg akaanza lawama sijui nimemchunia, mimi msisitizo wangu uchoyo wake ndio umenifanya nikae kimya.
Nikaomba...
Sidhani kama kwani China wanafanya haya wanayotufanyia. Sasa hivi kumeibuka utitiri wa mashine za kuchezea kamari kila kona katika jiji la Dar es Salaam.
Juzi nilikuwa napita sehemu nikasimama kuna kipub uswazi, nikashangaa kuona watoto wadogo wanacheza kamari. Serikali mnaangalia kodi lakini...
Tokea kuibuka kwa Radio nyingi binafsi kufunguliwa mlango mwanzoni mwa miaka ya 90s. Kukaibuka na kampuni za kijanja za kutengeneza na kusimamia pamoja na kusambaza matangazo ya biashara nazo zikaibuka.
Na upigaji ukawa mkubwa. Shirika ama Wizara zikaingia mkumbo wa kununua matangazo kwenye...
Hii TBC1 ni zaidi ya ujinga. Kesho napambana na DSTV uzuri ni mwisho wa mwezi. Mpira ni muhimu kuliko hili kongamano lenu la maadili. Wanaovunja maadili ni hao hao CCM wala rushwa.
Msukuma na Kibajaji hawa ni watu hatari sana kwa ukomavu wa majadiliano yenye afya. Ukiona hawa watu wameibuka ujue kuna jambo ambalo Wananchi linawagusa, Balozi Bashiru kasema yake, huyu anatabia ya kusema ukweli japo sio mwanaCCM huyu.
Anahoja ya maana sana hapaswi kutishwa, na ujinga huu wa...
Waziri Nape kashatoa maelekezo TCRA waingilie kati na kutoa ufafanuzi wa kina kwanini kituo cha kurusha matangazo cha Umma TBC, kimetolewa kwenye king'amuzi cha Azam.
Dkt. Ayoub Chacha Rioba, huyu alikuwa akilia sana kwenye ukurasa wake wa FB kuwa anahujumiwa. Sasa naona kawapa fursa watesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.