Search results

  1. Rufiji dam

    Kukamatwa kwa Furaha Dominick ni rasmi kuwa Vita ya Kuchafuana kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 ndani ya CCM imeanza rasmi

    Zanzibar kanunua Chuchu Fm kashindwa kumalizia deni, hapo mikocheni anadaiwa mpaka hela ya pango na hawezi kulipa wafanyakazi. Msiwe mnadanganyika Furaha ni mwizi.
  2. Rufiji dam

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Huyi dogo Furaha nimpuuzi sana hana akili kbs kuna wakati nilifanyakazi kwake ni tapeli na laghai sana. Kuna jamaa yake mmoja anaitwa Sule na dada yake Pendo nao wanatakiwa kuhojiwa.
  3. Rufiji dam

    Askari Polisi aliyestaafu baada ya kufanya kazi miaka 30 analipwa kiinua mgongo Tsh. 18M ambacho ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja wa Mbunge?

    Kuwepo na maadamano ya kuandika kwenye mitandao mbalimbali kupinga mishahara hii mkubwa ya Wabunge. Hawana kazi yoyote wanayofanya halafu wanazoa hela zote. Huu ni wizi tukemee. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  4. Rufiji dam

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Ya Shabani Kissu yaache kama yalivyo. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  5. Rufiji dam

    Njama za uhaini za kina Hans Poppe (Sehemu ya 2️⃣)

    Huyo wa Simba ambaye alikufa kwa Corona ni mmoja wa wadunguaji wazuri sana na ndio maana akawa anambishia Magufuli. Sema Mabere Nyaucho Marando walimuua Tamimu pale Kinondoni Mkwajuni, Nyerere akachukizwa sana na kuuliwa kwa Taminu.
  6. Rufiji dam

    CCM inamdhalilisha Rais Samia

    Aliyeleta hii mada ni mbobefu sana kwenye siasa. Unataka kumzalia mtoto mpaka unauliza kama ana mtoto. Heshimu watu dada yangu. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  7. Rufiji dam

    Mtandao wa TAUSI na mfumo wa TRA umekufa ama kuna njama

    Ni wiki sasa mfumo wa kukata Leseni za biashara kupitia TAUSI haufanyikazi na hata ule wa TRA haupo sawa. Je kuna tatizo ama ndiyo tujiandae kukadiliwa kama zamani na kupata leseni za biashara kutoka Halmashauri kuwa za kitabu.
  8. Rufiji dam

    Msaada napatwa na vichomi kwenye moyo nini tatizo?

    Habari zenu wadau. Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini? Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo. Msaada
  9. Rufiji dam

    Namna gani naweza kumuona Waziri nayemuhitaji?

    Ni rahisi sana kumuona Mwanposa ukiwa na cash yako mkononi kuliko kuonana na Waziri yoyote hapa Tanzania bara. Hali ni tofauti sana na Zanzibar wenzetu wapo karibu sana na raia. Na ajabu nyingine hata Mbunge wako kuonana nae mpaka mviziane Dodoma.
  10. Rufiji dam

    Namsikitia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Ina maana Makonda ana details muhimu kushinda TISS kama ni kweli basi hatuna TISS.
  11. Rufiji dam

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Alikuwa Mwenezi alishindwa nini kuwataja..Makonda damu ya aliowatesa inamletea shida sana.
  12. Rufiji dam

    Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Sidhani hapa maishani Ndugai anafurahia uwepo wa Lissu. Mungu mkubwa sana.
  13. Rufiji dam

    Ole Ngurumwa: Wajumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi

    Umeandika jambo kubwa sana kwa ujinga wa Wabunge wa Magufuli sijui kama walijua haya mambo.
  14. Rufiji dam

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Taja kifungu katika katiba acha mdomo.
  15. Rufiji dam

    Kwanini sishiki mimba?

    Njoo kwangu nakupa mtoto faster. Labda mbegu za jamaa hazina nguvu. Sio kila mbegu ukipanda shambani inaota. Nendeni hospital.
  16. Rufiji dam

    Nayo ni hisani ya Rais Samia?

    Umesahau eti wanasema tumshukuru Samia kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kila kitu Samia.
Back
Top Bottom