Search results

  1. Sharbel

    Ushuhuda kwa wale wanaokubaliana na ndoa

    Good evening wakurungwa. Ni muda sasa umepita tokea mzozo wa kataa ndoa, nadhani wale wanaokubaliana na ndoa hawakuwa na hoja zaidi ni hisia tu. Nikikumbuka moja ya hoja yao kuu ni kwamba wanaoa ili uzeeni watunzwe na wake zao yaani wapikiwe, wafuliwe, waogeshwe n.k Lakini tuliwapinga sana...
  2. Sharbel

    Cheo cha Udiwani kithaminiwe. Wanaogombea wapitie mchujo mkali

    Wasalaam wakuu. Siku zote tumezoea kuwaona, viongozi mbalimbali kama Raisi na Waziri mkuu wakitembelea miradi mbalimbali ya kwenye halmashauri kukerwa na ubadhirifu ulipo huko. Hata ripoti ya CAG iliyopita, imeonesha kuna wizi mkubwa tu huko kwenye halmashauri mbalimbali za nchi hii. Lakini...
  3. Sharbel

    Kijana kataa kujitolea, kujitolea ni utumwa, kujitolea ni laana

    Hivi karibuni, kumetokea na wimbi kubwa la taasisi, mashirika na makampuni mbalimbali kutoa nafasi za kujitolea kufanya kazi. Kimsingi huo ni unyonyaji tu maana wao unawazalishia alafu wanakupa ujira mdogo au kutokukulipa kabisa. Vijana wengi wameingia huko labda wanadhani kujitolea pengine...
  4. Sharbel

    Nipigwe ban ya siku 1 ikiwa Yanga atatwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho

    Kama mnavyojua Yanga anacheza fainali yakombe la shirikisho, matumaini yangu kuwa atapata kichapo kikali toka kwa USM Alger hasa akiwa ugenini. Ikiwa Yanga atatwaa hilo kombe mnipige ban ya siku moja.
Back
Top Bottom