Search results

  1. Centia2

    Kitu/ kifaa kipya ambacho hakikuwahi kuwepo

    Kuna mkuu mmoja aliwahi kuleta uzi wa kwamba ukipewa uwezo wa kubuni kifaa kipya utabuni nini? Kutokana na utata mwingi ambao huisumbua jamii juu ya kubaini ukweli wa jambo au wa mtu hasa mahakamani. Hivi kweli mzungu/Mchina na akili (maana tunaamini hivyo) yake yote kweli ameshindwa kupata...
  2. Centia2

    Eti weka heshima bar, kuliko kuhangaika na heshima home

    Wewe ni me/ke unajitahidi kumwelekeza mwenzio asifanye vitendo vya uvunjifu wa familia.Mwenzio ndo kwanza haelewi. Anafanya usichopenda. Anarudia mlichokubaliana kuacha. Anakudharau. Anakunyima unyumba n.k n.k We pita kimyaa nenda zako agiza utaeleweka hata kama siyo kwa mkeo ila hata kwa...
  3. Centia2

    Logic development (kuunga doti)

    Nikili wazi siyo mtaalam wa falsafa, ila katika maisha ya kila siku kila mtu hujikuta anatumia saikolojia ikiwemo na filosofia bila kujijua au kuwa na utaalam. Mambo ni mengi yayofanya 'life circle' ya mtu.Mfano malezi,biashara,mazungumzo ya kawaida, mazungumzo na mke, mazungumzo na mchepuko...
  4. Centia2

    Jikumbushe 'moments' ngumu kwa kupitia harufu

    Japo siyo vema kukumbuka 'misoto' ila sometimes inabidi ili liwe funzo la kurekebisha/kubadili mwelekeo wa maisha. Binafsi kuna harufu mpaka leo hazitoki kwenye hisia zangu kwani niliziishi kipindi mambo siyo mambo. 1. Harufu ya nyasi zilizofyekwa na kuchomwa Hii inanikumbusha kipindi ni mdogo...
  5. Centia2

    Naomba mtu atakayekuwa na picha/ramani ya vibanda vilivyojengwa kwa miti ila vyenye ghorofa

    Naomba mtu atakayekuwa na picha/ramani ya vibanda vilivyojengwa kwa miti ila vyenye ghorofa kwa ajiri ya Pub atuwekee jukwaani. Itapendeza kama anafaham na mchanganuo wa ujenzi wake.Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Centia2

    Hello G.T

    Nimekuwa nikilifuatilia jukwaa hili kwa muda mrefu sasa, basi naomba nitumie fursa hii kuungana nanyi kwa ukaribu zaidi. Asanten Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom