Search results

  1. Guilherme

    Naomba msaada wa jinsi ya Ku-Update Android Version ya Simu

    Wakuu habari zenu wana JamiiForums, Nilikua nataka nia Update Android Version kutoka 5.1.1 kwenda Android 7 kwenye simu yangu. Nimejaribu lakini nimeshindwa, Je, nifanyaje ili niweze Ku-Update wakuu. Aina ya simu ni galaxy note 5 nmeattach na model yake hapo chini.
  2. Guilherme

    Msaada: Gaming laptop VsPS4

    Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima wa afya. niende moja kwa moja kwenye mada ni hivi nimepanga ninunue moja ya mashine tajwa hapo juu sasa nipo njia panda sijui nichukue ipi kati ya ps4 na gaming laptop aina ya dell g3 3579 yenye i5 ram 8 nvidia gtx 1050, naombeni ushauri wenu wakuu...
  3. Guilherme

    Hodi hodi WanaJF

    Natumai nyote ni wazima wa afya. Mimi ni mgeni humu naombeni ushirikiano wenu magreat thinker🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Back
Top Bottom