Search results

  1. Bandamwagaz

    Serikali yakanusha tuhuma Wakimbizi kulazimishwa kuondoka nchini. Zaidi ya 7,000 wamejiandikisha kwa hiari kurejea Burundi

    SERIKALI imekanusha tuhuma zilizotolewa na Waziri anayeshughulika na masuala ya Wakimbizi Nchini Uganda, kuwa Tanzania inawalazimisha Wakimbizi walipo katika kambi mbalimbali Nchini kurejea Burundi bila ridhaa yao. Akizungumza katika warsha ya maandalizi ya uandishi wa kitabu cha historia ya...
  2. Bandamwagaz

    Simbachawene aihakikishia Marekani kuwa Tanzania ipo salama kwa raia na wageni

    *Waziri* wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameihakikishia Marekani kuwa, Tanzania ipo salama na itaendelea kuwa salama kwa raia wake na wageni mbalimbali waliopo na wanaoingia nchini. *Akizungumza* na Balozi mpya wa Marekani Nchini, Dkt Donald Wright, ofisini kwa Waziri huyo, Mji...
  3. Bandamwagaz

    Simbachawene avionya vyama vya Siasa vitakavyoleta vurugu, aagiza Polisi kuvidhibiti

    SIMBACHAWENE AVIONYA VYAMA VYA SIASA VITAKAVYOLETA VURUGU UCHAGUZI MKUU, AAGIZA POLISI KUVIDHIBITI WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amevionya vyama vya siasa nchini ambavyo vina wagombea katika ngazi mbalimbali vizingatie sheria kwa kuhakikisha wanachokifanya hakileti...
  4. Bandamwagaz

    Simbachawene kuanza ziara makambi na makazi ya wakimbizi mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora, kuwahamasisha kurejea nchini kwao kwa hiari

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene kesho Agosti 16, 2020, anatarajia kuanza ziara yake ya kutembelea makambi na makazi ya wakimbizi katika Mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora. Akizungumza na Mwandishi wa Habari hii, jijini Dar es Salaam, leo, Waziri Simbachawene amesema, lengo...
  5. Bandamwagaz

    Simbachawene awataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi kufuata taratibu za kisheria

    SERIKALI imetoa rai kwa watanzania wote wanaoishi nje ya nchi kuzingatia taratibu za kisheria zenye lengo la kuwalinda pamoja na kupata hati za kusafiri nje ya nchi. Amesema hayo jijini Dodoma wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya kupinga biashara haramu ya usafirisha wa binadamu...
  6. Bandamwagaz

    Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  7. Bandamwagaz

    Uchaguzi 2020 Waziri Simbachawene achukua fomu kugombea Kibakwe kupitia CCM

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, leo Jumanne Julai 14, Mwaka 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua kugombea Ubunge katika Jimbo la Kibakwe, Wilayani Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma. Simbachawene amekabidhiwa fomu hizo na Katibu wa CCM Wilaya...
  8. Bandamwagaz

    Waziri Simbachawene ashangaa magari ya Sekondari ya Magereza kusajiliwa namba binafsi, atoa siku moja apewe taarifa

    WAZIRI SIMBACHAWENE ASHANGAA MAGARI YA SEKONDARI YA MAGEREZA KUSAJILIWA NAMBA BINAFSI, ATOA SIKU MOJA APEWE TAARIFA Na Mwandishi Wetu, Pwani. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari Bwawani ambayo inamilikiwa na Jeshi la...
  9. Bandamwagaz

    Waziri Simbachawene amuagiza IGP kuwakamata Wafanyabisha wanaohodhi mafuta, awatuliza wananchi Kibaigwa waliopanga foleni ya mafuta siku nzima

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi kushirikiana na EWURA kuwakamata Wafanyabisha wa Kampuni mbalimbali waliohodhi mafuta na kuleta taharuki kubwa nchini. Amesema Mkoa wa Dodoma na Singida Kuna ukosefu mafuta kutokana na Makampuni hayo...
  10. Bandamwagaz

    Simbachawene ampongeza CGP kwa mabadiliko makubwa Magereza, azindua mashine ya kuchimbia 'excavator' ya milioni 331

    _Na Mwandishi Wetu, MOHA, Morogoro._ *WAZIRI* wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kasi ya utendaji kazi wa Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza Nchini, (CGP) Suleiman Mzee, imemfurahisha kutokana na mabadiliko makubwa ya maendeleo kwa kipindi cha muda mfupi tangu...
  11. Bandamwagaz

    Waziri Simbachawene asema mitambo mipya NIDA kuanza kufanya kazi hivi karibuni, kasi ya Rais Magufuli imesambaratisha upinzani nchini

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema mitambo mipya ya uzalishaji wa vitambulisho vya taifa itaanza kufanya kazi hivi karibuni baada ya wataalamu kuwasili nchini. Mitambo hiyo ya kisasa ambayo inauwezo wa kuzalisha vitambulisho 144,000 kwa siku, ilishafungwa muda mrefu...
  12. Bandamwagaz

    Waziri Simbachawene awataka matrafiki kuchapa kazi

    (PICHANI): Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akisalimiana na Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Pwani, SSP Mhandisi Joseph Shilinde, Mjini Kibaha, leo, wakati alipokua safarini akitoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma. Waziri huyo amemaliza ziara yake jijini Dar es...
  13. Bandamwagaz

    BUNGENI: Naibu Katibu Mkuu Ramadhani Kailima, akiwahamasisha Watanzania kujipaka Kitakasa Mikono kwa ajili ya Kujikinga na Virusi vya Corona

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akijipaka kitakasa mikono (Sanitizer) nje ya Ukumbi wa Bunge, jijini Dodoma, leo, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Pius Msekwa...
  14. Bandamwagaz

    Magereza yafafanua kuhusu kauli ya viongozi CHADEMA waliotoka Segerea kwamba Waliteswa na kunyanyaswa

    Jeshi la Magereza limetoa ufafanuzi Jijini Dodoma, leo, kutokana na kauli za upotoshaji zilizotolewa na viongozi wa Chadema baada ya kutoka Gereza la Segerea, Jijini Dar es Salaam. Sikiliza video upate ukweli kuhusu tukio hilo. ======= Jeshi la Magereza nchini limesema Kauli zilizotolewa na...
  15. Bandamwagaz

    Simbachawene apiga marufuku Polisi kukamata wananchi, bodaboda bila kufuata utaratibu, Uchaguzi Mkuu wa Huru na Haki 2020

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amepiga marufuku Polisi kukamata wananchi, bodaboda pamoja na kufanya operesheni ya aina yoyote kwa kukurupuka bila kufuata utaratibu. Amesema ukamataji wa aina hiyo unaweza kusababisha uvunjifu wa amani badala ya kujenga amani nchini. Pia...
  16. Bandamwagaz

    Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima awataka watumishi NIDA kutunza siri, kushirikiana na kuwajibika

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima amewataka watumishi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufanya kazi kwa kushirikiana, uwajibikaji na kutunza siri za ofisi kwa mujibu wa sheria. Akizungumza wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi Tawi la...
Back
Top Bottom