Search results

  1. C

    Vita ya Gazeti la Mwananchi na Joshua Nassari- Limekosa hoja

    wewe acha unazi usio na maana mhariri ana kosa gani hapo? kila siku unataka usikie positive information kuhusu wanachama na chama cha chadema,waandishi wakijaribu kutoa mtazamo negative kwa chama chenu mnaanza kulalamika bila mpango. mimi nakwambia kitu kimoja dogo pale kateleza aombe radhi kwa...
  2. C

    January Makamba atoswa uwaziri

    mbona unasema tu hana uwezo ila hautoi sababau zinazokufanya umuone hana uwezo,vijana wenzangu acheni majungu yasio na msingi. kila mwenye akili timamu anajua kuwa january makamba ni kichwa kizuri kinachoweza kufanya mambo mazuri kwa watanzani. unafikiri yeye malaika mpaka akose mapungufu? acha...
  3. C

    Aliyekuwa mgombea ubunge Igunga kupitia CUF ajiondoa chamani

    Mtatiro tuambie na huyu umeshamfukuza siku nyingi. Cuf imeshakufa tungoje mazishi yake.
  4. C

    Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania kuelekea kwenye mafanikio

    ndugu zangu tuache siasa lowasa bado anafaa kushika madaraka makubwa ya nchi,ni mtu jasiri na mwenye uwezo wakufanya maamuzi yenye tija kwa taifa. Tumuache apambane ndani ya chama chake kwa haki siyo kwamaneno yakutunga yasiyo na ushahidi,angekuwa mwizi asingekuwa uraiani wezi wapo segerea na keko.
  5. C

    Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

    mimi ninavyojua Hamad Rashidi ni mtu makini sana, kama atafanikiwa kuanzisha chama kitafika mbali na kinaweza kuwa mkombozi wa kweli wa Mtanzania. Unajua wanachama wengi vya siasa Tanzania ni mashabiki wasiopenda kufikiri kwa umakini kupata ukweli wa viongozi wao, wanachojua ushabiki tu...
  6. C

    Huyo mbunge wa CHADEMA Mwanza, aliyetaka kuhongwa ni nani?

    jamani tuwe makini na baadhi ya posts hapa JF, Hivi huyo mtoaji rushwa mtarajiwa kwanini hawakumripoti ktk vyombo husika ili sheria ichukue mkondo awke? tuwe serious jamani!
Back
Top Bottom