Search results

  1. K

    Barua ya wazi kwa Dr Slaa Part 1 + 2 kuelekea 2015

    Wewe ndugu,una hasira sana na Dr. Slaa,angalia usije ukamshambulia ukapitiliza baadaye tukashindwa kuamini hata ukweli utakaosema. Kwanza siamini kuwa udaktari wake ni 'fake'kama ulivyosema,kwani sidhani kama una ushahidi.Yapo mapungufu yake yaseme hayo akiweza ajirekebishe kama huyaoni hayo...
  2. K

    Waziri Kivuli wa Afya Mbassa akomalia mgomo wa madaktari bungeni

    Si wabunge tu,nchi haina watu kwani kama sisi ni watu kwa vigezo vya utu tusingewapeleka hawa watu kusimamia mambo yetu.Sasa naamini hawa ni 'sample' yetu, hivyo wanawakilisha tabia yetu sie tuliowachagua.Kwani hata mimi badala ya kuchukua hatua itakayofanya watu hawa wawajibike naishia kuandika...
  3. K

    Siyo kweli kwamba Zitto na Makamba wanawahurumia watanzania, wana ajenda zao

    Sasa jamani Tz hii itaongozwa na akina nani baada ya hawa wazee kung'atuka kwa namna yoyote ikiwa vijana tunawatilia shaka? Nawapenda hawa vijana kwa namna mara nyingi wanavyojenga hoja.Ni kweli hawako sahihi kwa kila jambo,lakini ningependa tuwasaidie badala ya kuwa'critisize' kama ni watu...
  4. K

    Yes madam Speaker, We are stupid!

    Kama zimeongezwa bila idhini yake, ikulu haioni kuwa imedhalilishwa? Nadhani ingekuwa hajaidhinisha asingenyamazia kubezwa kwa kiasi hicho,vinginevyo rais wetu anadharauliwa sana na wasaidizi wake kitu ambacho ni kibaya huenda kuliko hata kuidhinisha posho ambayo anataka kunawa mikono kuwa...
  5. K

    Baba Kikwete Jiuzulu Kulinusuru Tanzania!

    Kweli kuna watu wengine wameridhika.Hivi kama matatizo umeyakuta si ndio kazi uliyoomba ya kuyaondoa?Hata angekuwa Slaa yuko Magogoni kama hali ingekuwa hivi angeulizwa 'ee Bwana unakotupeleka ndiko ulikoahidi?' Hata hivyo sikulaumu mitizamo tunatofautiana na hata namna ya ku'react'.
  6. K

    Mgomo wa Madaktari: Serikali Yasalimu Amri! Yaomba Mazungumzo Upya!

    Uko sahihi na sielewi kwanini wanajiita 'waheshimiwa',wakati kwakweli ni kinyume chake.
  7. K

    Pinda na Makinda wampa changamoto Kikwete. Je watajiwajibisha au kuwajibishwa?

    Nchi imechoka,kama serikali hii itatuvusha basi naamini hakuna serikali yoyote itakayokuja itakayoshindwa-Hii ndiyo 'margin' yetu.
  8. K

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Kosa la Zito sijaliona kwa wazi kama huyu jamaa anayejiita eti ni mbunge anavyo'address'.Nadhani ni vizuri angekuwa wazi kuwa yeye ni 'ant-Zito' tangu zamani na alikuwa akitafuta mahali ambapo atateleza ili aweze 'kumnanga', lakini bahati mbaya kwake 'timing' yake imekuwa mbovu, amejaribu kuvuka...
  9. K

    Ajali ya Mh Regia - tuna tatizo

    Nakubaliana na wanaosema kuwa ajali ya mh.Regia haikutokana na ulemavu wake bali ni kulipita gari mahali ambapo hapakustahili na hili linawatokea wengi na kwakweli linatupotezea wapendwa wetu wengi. Ni kweli pia haipendezi kumjadili marehemu lakini kama tunaweza kujifunza kitu kutokana na...
  10. K

    'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'!

    Zito uko sawa,mara nyingi huwa nakukubali.Watu kukuongelea kuwa unapenda kugombea urais kupitia CDM ni dalili kuwa wanahisi una uwezo na wala sidhani kama ni kosa mtu kuwa na malengo kama hayo suala ni taratibu zizingatiwe na mtu akitaka kuteuliwa na chama chake asionekane kuwa anataka kukigawa...
  11. K

    Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    Yes, too bad. Gone too soon.
  12. K

    Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    Ni masikitiko makubwa kwa watanzania,ingawa kufa ni lazima lakini ni ngumu kukubali kwa binti mdogo kama huyu hata hivyo itoshe tu kuwa mapenzi ya Mungu yametimia.Upumzike kwa amani-Amen!
  13. K

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Sielewi kwanini ni lazima adhabu iwe ni kunyang'anya uanachama kwa watu wanaotofautiana mawazo na wakuu wa vyama.Hii inaonyesha hivi vyama vyetu vya upinzani bado vina kiasi fulani ya udikteta.Nakubaliana kuwa HR amekuwa msumbufu si kwa CUF tu hata CDM wameonja vurugu zake lakini ni vyema...
  14. K

    Magufuli alikoroga, Maandamano makubwa kumpinga leo

    Dkt.Magufuli anaponzwa na ukweli anaouamini.Matusi wanayodai wabunge kuwa Dkt.Magufuli kawatukana wananchi nadhani ni mtizamo tu.Tangu lini kupiga mbizi likawa tusi?Ongezeko la sh.100 kwa abiria sioni tatizo lakini kwa maguta na bajaj ongezeko lake ni kubwa sana.Sasa hoja kama hizi zingejadiliwa...
  15. K

    Waislamu wazindua Jukwaa la KATIBA

    Kweli mkuu,hakuna haja ya kutoa maneno ya kuudhi,ni vizuri kujadili mada kwa hoja.
  16. K

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    @Hofstede.Nakukubali kwa namna ulivyoijadili mada.Sina maana kuwa nakubaliana nawe kwa kila ulichokieleza lakini unajadili kwa hoja zaidi na huoneshi ni upande gani hasa upo,maelezo yako yanatosha mtu asiyemfahamu vizuri Nyerere kuamua kama alikuwa kiongozi mzuri au la.Mtoa mada amejaribu...
  17. K

    Puuh!

    Hii kali nimeikubali.
Back
Top Bottom