Search results

  1. Shabdullah

    Kwani wanachama wa ACT Wazalendo wanasemaje?

    Habari wana jf Leo nimepokea tathmini ya kile kilichofanyika jana 29/01/2022 Mlimani City kutoka huko zanzibar. Wanachama wa ACT wazalendo hadi sasa wamegawanyika, wapo ambao hawakubaliani na mh Juma Duni na wengine hawakubaliani na hamad massoud. Wapo wanaohoji juu ya demorasia ya ndani ya...
  2. Shabdullah

    Msaada: Gharama za Visa ya Marekani

    Habari wadau. Twende kwenye mada. Nataka kuanza kufatilia visa ya kuingi U.S.A, je gharama yake ni bei gani. Na gkama kuna anaejua gharama inatokana na nini na nini. Ili nipate total cost hadi nakamilisha kila kitu kihusucho viza. . Pia ningependa kujua vitu gani visikosekane kwenye kuomba...
  3. Shabdullah

    #COVID19 Nitapata wapi chanjo ya covid-19?

    Wakuu nahitaji kuchanja lakini sijui hata napata wapi hio huduma naombeni muongozo wenu
  4. Shabdullah

    Swali: kesi ya kutoa mimba

    Habari zenu wakubwa na wadogo zangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye swali/maswali.. Kisheria: Je mwanamke anaweza kuingia hatiani kwa kosa la kutoa mimba bila ya sababu ya msingi/inayokubalika kisheria? Na Kama ni kosa je adhabu yake ni nini? Kwa wanaojua wanifafanulie.
  5. Shabdullah

    Je, naweza kumshitaki aliyekuwa mpenzi wangu kwa kunitapeli tukiwa bado pamoja?

    Habari zenu wanajukwaa. Naomba kuuliza swali kwenu. Je, naweza kumshitaki aliekua mpenzi wangu kwa kosa la kunitapeli kipindi cha mahusiano yetu kwa kitumia uongo kwa lengo la kufanya utapeli huo? Kwa ambao wanaweza kuchangia naomba ufafanuzi?
  6. Shabdullah

    Pete ya uchumba ipoje?

    Habari kaka na ndugu zangu, Nimekuja na swali kwenu wanajukwaa nataka kujua kuhusu pete ya uchumba. Sasa nimeingia kwenye penzi la kweli na tunahitaji kuvishana pete ya uchumba. Binafsi mimi ni mgeni sana kwenye suala la pete, sijui hata naanzia wapi, mpaka najiuliza, kwani pete yenyewe...
  7. Shabdullah

    Afande Sele na Sheikh Nurdin Kishki nani kakosea?

    Habari zenu wana jamii forum. Pili poleni kwa msiba wa kitaifa. Nimekuja kwenu kuiongelea ishu ilotokea juzikati kama kichwa cha habari kinavosomeka. Bila ya shaka ishu hii inamuhusu afande sele na mungu na sheikh nurdeen kishki na mungu wake (allah) Nimefanikiwa kuzisikiliza pande zote mbili...
  8. Shabdullah

    Kwanini tamthilia za nje haziangaliwi maudhui?

    Habari wana JF, Nimekua nikishangazwa kwa nchi yetu ya Tanzania kuangalia maudhui ya saana ya Kitanzania kwa lengo la kulinda maadili ya taifa hata heshima ya ndani na nje ya Tanzania. Lakini kinachoshangaza tamthilia kama ya Money Heist inauzwa Tanzania na ni halali kuangalia. Huo ni mfano...
  9. Shabdullah

    Natafuta mwanamke wa kuanzisha mahusiano na mwisho wake iwe ndoa

    Natafuta mwanamke ambae ambae tutafikia hadi kuoana na kuishi kwa amani Sifa Awe na umri kuanzia 23 hadi 29 Awe muislam Awe na hof na mungu NB: Rangi na kimo sivipi kipaombele. Sio lazima awe anafanya kazi lakini akiwa mchapakazi itanipendeza zaidi Mimi ni Mrefu Mweupe. Nafanya kazi ( ukija...
  10. Shabdullah

    Nikiongea na mwanamke kwenye simu majimaji yanaytoka kwenye uume

    Habari watu wa jukwaa hili, Kama swali langu linavojieleza naomba msaada , Mimi ni kijana na sijaowa, imekua kawaida kwangu ninapokua karibu na mwanamke ambae ni mpenzi wangu na nikawa na hisia nae yani nikadindisha basi hutokwa na maji maji colourless, mepesi kiasi, na hutoka bila mm kuhisi...
  11. Shabdullah

    Nini maana ya neno baradhuli?

    Wadau naomba ufafanuzi wa neno "BARADHULI" linatumikaje
  12. Shabdullah

    Muungano huu wa Tanzania una siri gani?

    Habari zenu wana JamiiForums, Kama tunavojua leo ni siku ya maadhimisho ya sherehe za muungano wa Tanzania. Muungano huu unajumuisha pande mbili ambazo ni Zanzibar na Tanganyika. Vijana wengi sasa hivi wanaelewa kuwa muungano huu ni wa zanzibar na tanzania bara na kulisahau jina la...
  13. Shabdullah

    Hawa ni kina nani?

    HAWA NI KINA NANI??? UZI [emoji116] Siku za hivyi karibuni utakuwa umekutana na video za hawa jamaa ambao kila mtu amewapa jina lake : wengine wanawaita kamati ya roho mbaya, wengine wajuba na majina mengine mengi. [emoji19] NI KINA NANI? Jamaa wanatokea nchini Ghana, ambako ni utamadauni wao...
  14. Shabdullah

    Kwa alama hizi nikimaliza Diploma naweza ku 'upgrade' kwenda Digrii?

    Wadau naomba msaada wenu kwa hili. Ninataka kusoma pharmacetical science diploma na najiunga diploma kwa credit zangu za D = biology C = chemstry Na credit nyengine mbili zisizokua za science ambazo ni D= geography C = English Kisha zipo credit nyengine lakini sio Physics wala mathematics. Je...
  15. Shabdullah

    Naomba jibu la swali hili wadau

    Naomba jibu la swali hili wadau[emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Shabdullah

    Movie ya chalte chalte 2003

    Wadau wa JF naomba nipate official website ambayo ntaweza kudownload movie ya CHALTE CHALTE 2003. mana nikijaribu kuutafuta napata triler. Naomba msaada kupata web official ya movie ya chalte chalte 2003. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Shabdullah

    Must see Movies

    Wadau nataka ni download movie ya kihindi inaitwa chalte chalte 2003. Nimeshindwa kuipata, nimeambulia triler tu. Wadau Naomba msaada wa kujua ni website gani nitapata kudownload full movie ya @chalte_chalte_2003 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom