Search results

  1. Brine

    ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    tunajua kuwa hawapo fair ila wapo makini sana linapokuja swala linalohusu value, huwa wanacheza na mikataba, tulia tutaona mwisho wake.
  2. Brine

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    umeongea ukweli kabisa. Tatizo lingine wanaume wengi hawajiamini na hawajui maandiko yanasemaje, kama mwanaume unajiamini kweli huwezi kuogopa kuoa mwanamke kisa elimu yake.
  3. Brine

    na nyie poteeni

    Anajiita the greatest
  4. Brine

    Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Mi hata sijakielewa hiki chuo, wanafunzi tayari wameshaanza kusoma waajiriwa wapya hawajaitwa na haijulikani ni lini wanaita, au kuna mtu ana taarifa mpya?
  5. Brine

    Mzee wetu Sitta na tamaa ya uspika

    Tunahitaji fikra mpya si wale wale wa zaman, binadam huwa hatutosheki si angepumzika tu?, we should learn to do some thing once itatosha sana.
  6. Brine

    Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Safi sana mkuu ngoja niku pm
  7. Brine

    Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Mi pia nilifanya ila sijaitwa bado na sijuwi kama wameita mkuu
  8. Brine

    Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Lizabon umepoa sana machachali yameishia wapi au mambo yamekuwa nje ya matarajion? Kwanini hufurahi mmepata ushindi?
  9. Brine

    Prado inauzwa

    Ina tatizo gan? Je imewahi kupata ajari?
  10. Brine

    Magufuli aonyesha ukakamavu zaidi ya Lowassa

    Hayo si yaneshaisha jaman au?
  11. Brine

    TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    mkuu huyo mwache kama alivyo kuna sheria za mitandao hachelewi kukuharibia mood
  12. Brine

    Tusidanganyike - Trevo haiponyi Ukimwi

    Pia nimeshangaa sana anatibu ukimwi while dunia inazidi kuangamia kwa huo ugonjwa, si angekuwa anajulikana dunia nzima
  13. Brine

    Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Interview zinafanyika lini mzee
  14. Brine

    Swali la uchokozi: CCM ikiweka picha ya Magufuli akifanya mkutano Monduli nawapa kura yangu

    Dr. Magufuli ananichanganya sana alisema TANELEC ni kiwanda cha ngozi atatengeneza viatu na mikanda vile vile alipofika kyerwa kagera alisema madini bati atajenga kiwanda cha mabati kuhakikisha madin ya bati yanabaki pale pale ili watengeneze mabati ya kutosha, kwanini wawakilishi wake wa sehem...
  15. Brine

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    heli yako wewe utakae dumu milele, na hongera zako wewe usie ugua hata kidogo.
  16. Brine

    Natafuta muuzaji wa Pikipiki

    Bei gani mkuu weka na picha.
  17. Brine

    Kwako kuna kura ngapi za Lowassa na UKAWA?

    Kwangu wapo 3
  18. Brine

    Naondoka kesho na pikipiki kwenda DRC CONGO

    Unarudi lin maana tunahitaji kula yako,
Back
Top Bottom