Search results

  1. Y

    TRA na Machine za VFD, wadau wa ICT na Financial Issues Naombeni mupite hapa

    Wakuu Habari za Majukumu, Samahani sana Wakuu, Nina shauku ya kufahamu hili: TRA wanauza machine za VFD na kuwahimiza wafanyabiashara kununua kwaajili ya daily uses, so, ni requaments zipi ambapo developer anazihitaji kuwa nazo ili awe approved na TRA na System yake iweze kutoa huduma kama za...
  2. Y

    Wataalamu wa Biashara Mikoa Tofauti , Pitieni hapa Tafadhali

    Wakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :- Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale. Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani ) Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa...
  3. Y

    Je, Kampuni za Utalii wanawapata wapi watalii?

    Habari, Naamini Kupitia uzi huu watu wengi Sana tutakwenda kunufaika Kupitia majibu yatakayotolewa katika swali langu: Naamini kwa wakaazi wengi wa Arusha -Moshi, Zanzibar watakuwa ni shahidi wa hili, Tumekuwa tukiona watalii wanaongezeka au hata kupishana nao wakiwa katika magari yao au...
  4. Y

    Changamoto wanazomutana nazo Kampuni Changa

    Wakuu naleta swali kwenu, Naomba kuuliza hivi 1).ni sababu gani hasa zinaifanya kampuni Changa kufa Hali yakuwa mmiliki ndie CEO 2). Hivi inatokeaje yaani owner wa kampuni also, ni CEO lakini anakuwa fired out Katika board of Directors - ni sababu zipi zinaweza kupelekea CEO also owner akawa...
  5. Y

    Mfumo wa kutoa control number kwa private companies

    Habar wana JF , Actually sijawahi kuelewa vigezo gani vinatumika kwa account yako ya bank kuweza kugenerate control nø , je huu mfumo ni wa SMT na taasisi zake tu?? #Je kama ni Private companies ambazo zinahitaji kutoa huduma zao kwa kugenerate control nō wanaweza kuunganishwa na huduma hizi...
  6. Y

    Natafuta Vijana wa kazi kwa ajili ya kunyoa, saloon za kiume. Nipo Chamanzi DSM

    Habari za uzima wana JF, Natafuta Vijana wa #kazi kwaajili ya Saloon Eneo - Chamazi Magengeni (DSM) NB: 1) Sio lazima awepo Dar es Salaam, Mkoani pia napokea (makubaliano yapo) Kama upo tayari/unamfahamu mtu mwenye uhitaji:- 0744 156 260 (SMS and calling only)
  7. Y

    Safari ya Marekani

    Ndugu zangu wana JF, Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya. So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya...
  8. Y

    Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

    Ndugu zangu wana JF, Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya. So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya...
  9. Y

    Benki bora kwa kuhifadhi pesa za Biashara/Uwekezaji

    Habari za uzima wanaJF, nimekuwa mdau wa kufuatilia taarira mbali mbali za baadhi ya wafanya biashara wa Tz wakiwa wanalalamika juu ya Benki za Tz kwamba wanafatilia sana pesa zako benki , kuna amount flan flani ukiwa unaweka wanakuita na ujieleze pesa unazitoa wapi !!! so, soon kuna business...
  10. Y

    Uendeshaji wa Kampuni

    Habari wana JF, naombeni alie na uzoefu huu aliekeze hapa chini ;- 1).Je CEO wa kampuni vitu gani hasa ( vya siri ) anatakiwa apambane navyo ili kulinda kampuni yake 2). Ni vigezo gani matajiri wengi wanavitumia katika kuchagua board of directors . Naombeni munisaidie hilo .
  11. Y

    Biashara ya Online Shopping Mall

    Habar za uzima wana JF, Naomba kwa mwenye elimu au uelewa juu ya biashara hii ya kufungua online shopping mall ndani ya Tz naomba anipe maelekezo hapa . Mfano wa Online Shopping mall Kikuu,Jiji,Ali baba,Amazon n.k
  12. Y

    Kufundisha Forex

    Habari za uzima wa JF kwa anae elewa taratibu za kufungua Tuition/school ya kufundisha forex hapa TZ naomba anielekeze please. Sitaki povu nataka taratibu kama haujuwi pta kushoto
  13. Y

    Naombeni mnisaidie vigezo vya Mtu wa kumshirikisha kwenye Biashara

    Wadau wa JF habari za uzima, Mimi ni kijana wa miaka 20 mwanafunzi wa chuo mwaka wa Pili. Kuna some business ndogo ndogo nahitaji kuzifanya lakini naombeni mnishauri ni vigezo gani zaidi nivitumie ili kumjua mtu nitakae weza kumshirikisha katika biashara zangu? Naombeni mnisaidie
  14. Y

    Naombeni mnisaidie mbinu za kuikuza You Tube channel yangu

    Ndugu zangu Naombeni munisaidie mbinu zitakazoniwezesha kufanikiwa katika YouTube channel yangu. Nifanyeje ili nitimize vigezo lakini pia ili niweze kuwavutia viewers wangu . Naombeni Please
  15. Y

    Eneo zuri la makazi na biashara Dodoma

    Ndgu zangu naombeni munisaidie kitu mimi nipo Arusha nataka niende kujenga Dodoma nyumba moja na eneo jengine maduka Naombeni ushauri wenu ni maeneo gani yapo vzuri zaidi kwa biashara na makazi sihitaji uswahilini just kuwe normal tu
Back
Top Bottom