Search results

  1. A

    Capacity Nursery and Primary School: Ni shule nzuri lakini baadhi ya Walimu ni wanatesa watoto.

    Wasalam, Kwa mkuu wa shule, Awali ya yote nipongeze uongozi wa Capacity Building Trust kwa namna ambavyo unajitahidi kuboresha mazingira ya shule na kukuza maendeleo ya kitaaluma ya shule hii. Kwa wasiofahamu Capacity Building Nursery and Primary School ni shule ya mtaala wa kiingereza...
  2. A

    Dada/Aunt/Mama wa miaka 40 - 45 anahitajika

    Wasalaam, Naomba kufikisha ujumbe kama nilivyopatiwa. Dada/Mama/ Aunt wa miaka 40 - 45 anahitajika kwa mahusiano na mtu mzima mwenzake iwapo wataridhiana. Ni vyema akawa anaishi Dar es Salaam. Vigezo Dini - Mkristo Tabia njema Mchangamfu
  3. A

    Aliniomba nimuache, lakini akanisaidia sana

    Miaka ya mwanzoni mwa 2000, nikiwa ndio naingia mwaka wa nne kumalizia shahada yangu ya kwanza. Nikiwa na mahusiano na binti ambaye alikuwa amechukua kozi ya miaka mitatu. Baada ya binti kumaliza alipata kazi hata kabla ya graduation ceremony. Siku ya graduation nikawa nimehudhuria pale viwanja...
  4. A

    Hili jambo lilinisumbua sana

    Miaka kadhaa nyuma, nilikutana na binti pale Euro H survey sijui panaitwaje siku hizi. Nikamuelewe binti, nikaomba namba akakataa. Siku mbili baadaye nikiwa nakula chakula cha usiku binti akaja tena. Kwa ajabu akaja akaa kwenye meza niliyokuwa nimekaa. Tukisalimiana na alipomaliza kula...
  5. A

    Zitto Kabwe: Mwanasiasa atayenufaika na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)

    Habari ya ACT Wazalendo kukubali kuwa sehemu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zimekuwa za kuwashtua wafuatiliaji wengi wa masuala ya kisiasa. Wengi Wanajiuliza je ACT Wazalendo imekubali dhuluma zilizotokea wakati wa uchaguzi? Licha ya Addo Shaibu kutanabaisha umma kuwa majadiliano yalikuwa...
  6. A

    Clouds Plus TV mnafanya kazi nzuri lakini...

    Nipo naangalia kipindi cha Mtazamo Extra kupitia Clouds TV Plus, ni wazi kuwa kwa mahojiano haya wanayofanya muda si mrefu Mamlaka zinaweza kuwatia kwenye matata. Mmefanya kipindi kizuri ila sidhani kama mamlaka itawapa nafasi ya kuripoti kesho. Maendeleo hayana Vyama.
  7. A

    Vijana wa kiume huumizwa na mapenzi pia

    Anasimulia mdau, Naandika uzi huu takribani miaka nane tangu nilipopokea ushauri huu kutoka kwa huyu jamaa ambaye nilikuwa nikimuita braza aliyekuwa amepanga karibu kabisa na nyumbani. Ipo hivi, miaka fulani huko nyuma nikiwa chuoni mwaka wa tatu nilimtongoza binti fulani ambaye alikuwa...
  8. A

    Angalia US Presidential Debate 2020

    Kwa wale watu wanaofuatilia siasa za kimataifa ili kutanua uelewa wa siasa fuatilia US Presidential Debate 2020 Cleveland, Ohio saa 10.00 usiku. DSTV ALJAZEERA channel Namba 406 na News Room Afrika Channel Namba 405 watakuwa Live kukuletea Debate hii. Hii itakuwa debate ya kwanza kwa uchaguzi...
  9. A

    Masoud Kipanya: Uwezo wa kuweka fikra katika Katuni

    Nimekuwa nikifuatilia sana Katuni za ndugu Masoud Kipanya hasa katika ukurasa wake wa Twitter na nimegundua ana uwezo mkubwa sana wa kuwasilisha fikra pana za kisiasa na kijamii katika katuni. Masoud anao ujumbe kwa wanajamii na wanasiasa.
  10. A

    Hongera: Wanawake ni watu wazuri sana

    Wanawake ni watu wazuri sana. Nikikumbuka haya matukio huwa nawatazama wanawake na kuwaona kuwa ni watu wazuri sana. Leo nitazungumzia uzuri wa wanawake ambao hawakuwahi sina undugu. Hawa ni wale tu ambao nilikutana nao barabarani. 1. Yupo mwanamke alinipenda sana kwa sababu tu ya kuwa karibu...
  11. A

    Kwa Waziri Simbachawene na Afande Sirro: Kituo cha Polisi Tandika kimejaa uonevu

    Salaam! Kinachopelekea kuandika hapa ni madhira wanayopitia vijana waendesha Bajaji kutoka kituo cha Polisi Tandika sio wale wenye mavazi ya Trafiki. 1. Kukamata Bajaji bila mwendesha Bajaji kuambiwa kosa lake. Bajaji hizo huwekwa hapo kituoni kwa masaa kadhaa kisha polisi uomba kuzumgumza na...
  12. A

    Natafuta Mwanamke wa kuzaa naye kisha tulee mtoto pamoja

    Wadau nafahamu watu wana mahitaji tofauti tofauti hapa. Nimeona kuna wadada/wanawake wenye uhitaji mtoto na huwa wanatafuta mtu mwenye muelekeo ili waweze kupata mtoto pamoja. Sasa ipo hivi; Mimi ni kijana miaka 34 ; Mkristo Elimu yangu ni Degree moja; nipo natafuta ya pili kwa sasa. Makazi Dar...
Back
Top Bottom