Search results

  1. nyabibuye

    Rafiki wa kiume

    Nimechelewa au bado?
  2. nyabibuye

    Natafuta mwanaume ili aje awe mume

    Nimechelewa?
  3. nyabibuye

    Kwa mwanaume alie na utayari wa kuwa na familia

    nimechelewa ?
  4. nyabibuye

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Yaani mtoto mdogo hivyo umekata tamaa? Wenye 40 wasemeje sasa!
  5. nyabibuye

    Natafuta sperm donor

    Ok
  6. nyabibuye

    Notisi ya kuanzisha Mikoa na Wilaya

    Wasiseme wameongeza majimbo, waseme kuwa baadhi ya majimbo yamebadilishwa majina!
  7. nyabibuye

    Notisi ya kuanzisha Mikoa na Wilaya

    We unamanisha nini? Jimbo la kakonko ni wilaya mpya ya kakonko ambayo imetokana na wilaya ya kibondo kule kigoma. kabla lilikuwa jimbo la buyungu lina Kata 13, kwa mpango huu wa tume, je wamegawa jimbo la buyungu lenye kata 13 ili kapata jimbo la buyungu na jimbo la kakonko? Au wamelibatiza...
  8. nyabibuye

    Joseph Mbilinyi alivyowadanganya wananchi wa Mbeya 2010 ili apate ubunge

    Chadema, wamsikilize Afande sele, ikifikia hatua hiyo chadema, itakuwa imeisha! mbeya mjini ccm mkilichukua hill jimbo nitaacha kufuatilia siasa, hats ikiwa mbilinyi hajafanya chochote, vipi majimbo ya mtama, bunda, kyela, urambo, bariadi kuna kitu kimefanyika?
  9. nyabibuye

    Swali la Kisiasa: Ni Mkakati na Uamuzi Mzuri UKAWA Kuachiana Majimbo?

    Kura ya maoni ingetoa taswira ya kidemokrasia, lakini neno kuachiana halina afya, labda nijue nini tafsiri ya neno "kuachiana"
  10. nyabibuye

    CHADEMA nitajieni List yenu ya Viongozi wa tano(5) tu ambao wataliongoza taifa , wakati wenu

    Mkurugenzi wa ulinzi na usalama chadema, makao makuu, ndugu Rwakatale Manila gani ?
  11. nyabibuye

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Ukumbuke kutembea uchi kama ulivyoahidi!
  12. nyabibuye

    Mnyika wanafunzi Ubungo wanakaa chini, mfuko wajimbo uko wapi?

    Kigogo ni jimbo la ubungo? Endeleeni kumsubiri!
  13. nyabibuye

    Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

    Kumbe Dr alikuwa mbunge wa bunge la katiba?
  14. nyabibuye

    Picha:Totoz za ukweli

    Kwani mi burudoza?
  15. nyabibuye

    Tunagoma kuoa kwa lengo la kupunguziwa mahari

    Kwa heri familia, kwa heri Tanzania
  16. nyabibuye

    Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

    Mbona povu linazidi kutoka lakini?
  17. nyabibuye

    Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

    Sawa tunekusikia, tutamshauri ahudhurie mialiko yote itajayo mfikia mwaka huu
  18. nyabibuye

    Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

    1. Hao Polisi walikwenda kutekeleza ilani gani unayosema na kumaanisha? Kwani jeshi lina ilani au ni ya chama cha mapinduzi? Na kumbe ilani yenyewe ni ilani ya kuua RAIA? 2.Inakuwaje kila siku mnakuja na nyimbo za kuua raia kwa bahati mbaya? Hilo jeshi hamna kitu lijitazame upya, haya mambo...
  19. nyabibuye

    Wana ndoa haya ya kweli?

    Heshima kwenu wadau! Jana katika mazungumzo yangu na marafiki zangu nilipata kusikia hoja ngeni kwangu, rafiki yangu huyu anadai 90% ya wanandoa wanaotumia usafiri wa pamoja kwa maana ya gari lao waendapo kazini au kwenye shughuli zao asubuhi hawaonekani kufurahi wala kucheka. Ina maana kuwa...
Back
Top Bottom