Search results

  1. jannelle

    Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

    Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848] Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa...
  2. jannelle

    Madini ya fedha (silver) yanachangamoto yoyote kiimani?

    Hi fam, Me kuna kipindi nilikuwa napenda sana cheni nyembamba za silver, nikiyatoa mahaba haya kutoka kwa mzee wangu alikuwa akipenda sana big chains za silver. Sasa kuna kipindi kuna bwana nilikuwa nikidate naye, kila tukikutana faragha ananiambia niitoe chain yangu inamfanya ajisikie vibaya...
  3. jannelle

    Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

    Eh, basi leo nimekumbuka changamoto za nyumba za kupanga kwa kiasi mpaka unatamani kulia. Nakumbuka nilishawahi ambiwa na mwenye nyumba wangu kuwa nisiwe natandika mashuka meupe na kitanda kisibadilishwe uelekeo tofauti na alivyoniambia[emoji23], kwingine niliambiwa kila mgeni akija lazima...
  4. jannelle

    Jamani wenzangu wa Tecno Amkeni

    Tumesemwa sana kuhusu Tecno zetu aisee, hatimae Phantom x,ameanza kuokoa jahazi[emoji108]... This week naenda utafuta,nionje utamu wake maana nimeiona tu kwa bestie... Picha kaliiii, screen tam curved See Attached
  5. jannelle

    INAUZWA Heavy duty blender za silver crest 4500w

    Hi guys, naomba mniunge mkono Nina HEAVY DUTY blender za SILVER CREST Zenye watt 4500,[emoji1491] Ni nzuri Sana na zinafaa kwa shughuli nzito za Office na nyumbani. Zinasaga nafaka,lishe ya mtoto,juice na viungo (spices) mbali mbali. Bei Ni 120k(laki na ishirini) tu. Ninatuma popote kwa gharama...
  6. jannelle

    Msikimbilie kupima UKIMWI pekee mnapoanzisha mahusiano

    Salam kwa jina la jamhuri[emoji4][emoji1362] Currently nimekutana na cases mbalimbali pamoja na hii inayohusu binti kuzimia kwa kuzidiwa na pumu wakiwa katika privacy zao, Kifafa na changamoto zinginezo kimwili. Nikagundua mahusiano mengi serious yanapoanza, huanzishwa kwa kucheki HIV status...
  7. jannelle

    Kwanini kipindi cha joto battery zina-drain faster?

    Hi fam. Nime experience nikiwa maeneo yenye joto battery za vifaa Kama simu, laptop, iPod etc, zinawahi kuisha kuliko maeneo yenye ubaridi.. wataalamu mtuambie nasi Tuongeze ujuzi. Copy ikawe Faida kwa wengine. Cheers [emoji1694]
  8. jannelle

    Niagize pochi hizi kwa Bei ya kiwandani kutoka China

    Hi vipenzi, Naomba niwaagizie pochi hizi kwa Bei ya tsh 15 tu from china(transport inclusive), usafiri Ni siku 30 tu mpaka kupokea, minimum order Ni 5pcs. Ni 3pcs ya wallet,pochi kubwa na nyingine ya Kati Kama inavyoonekana[emoji8][emoji8] Call 0762 121313
  9. jannelle

    Hivi mihemko huwa inawajia saa 24 tu baada ya kututongoza?

    Utasikia yaani ninamuda mrefu sijaDo,Mara njoo unitembelee nyumbani,Mara kalikwenda kakarudi. So mihemko yenu Ni day after kutuapproach?? Mbona sisi hatupropose huduma zenu masaa 24 tu baada ya kuonana, me kwangu naona Kama tamaa za kimwili zinatawala sana jinsia ME, bytheway me mtu akileta...
  10. jannelle

    Wanaume sogeeni hapa kifashion

    Jamani Kuna bidhaa hizi tamu kwa wale nadhifu na wanaotaka kuwa nadhifu pia... Bei poa na Ni latest design..[emoji1476] NB;Sina duka jamani Ila mkoa wowote tunatuma Hizi SWETA original , Ni pure cotton na Wala hazichuji kwa 35,000 tu Only 25,000 brothers 22,000 only, sometimes mwanaume...
  11. jannelle

    Happy birthday jannelle

    I am very thankful and grateful to the Almighty for granting me yet another year. I pray for an abundance of grace in my world. Tho dirisha la kupokea zawadi lipo wazi[emoji1787][emoji1751][emoji1751]
  12. jannelle

    Hakuna mwanaume ambaye hapelekeshwi na mwanamke

    Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke. Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa tulale, huwa sijui speed mnaitoa wapi[emoji1787][emoji1787], vipi pale msimamo huwa mnauweka wapi je...
  13. jannelle

    Frame za miwani Original & Shades

    Hi Rafiki, Karibu tupeane support kwakuungana mkono ujasiliamali mdogo mdogo, hapa nitakuwa nakupostia frame mbalimbali za miwani ya macho,sun glasses (shades). Ambazo Ni comfortable hazibani kwa kuumiza kichwa. Au kukutafutia Aina ya miwani unayoitaka aidha ulivunja au la umeiona sehemu. Bei...
  14. jannelle

    Option ya Mifuko ya jamii kulipa madeni ya HESLB

    Hi champions.. Currently Wengi wameongelea juu ya kuiomba serikali kuondoa riba ya 6%, Ile inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa kila mnufaika(per year),ikihusisha maumivu kwa kukua kila mwaka(ikizingatiwa ajira Ni ngumu kwa wapendwa wetu). Bt nimewaza guys Hatuwezi anzisha...
  15. jannelle

    Mungu si Athuman

    Hi guys,how is Sunday.... Anyway kumekuwa na huu msemo maarufu Sana way back "Mungu si Athuman" Nini maana yake halisi kuhusisha u Mungu na U Athuman... Je inamaana yoyote au ilikuwa Ni msemo tu Kama misemo mingine iliyoweza kuwa maarufu toka enzi hizo. Easy Sunday to you champions [emoji3531]
  16. jannelle

    It has been a while

    Kweli wezi si watu wema haha... walichukua simu Kama yao...bt thanks Lord I'm back,maana na Covid-19 hii kuBuy a new phone ni ujasiri[emoji1751] ... I real miss you Guys [emoji8][emoji8]
  17. jannelle

    Hi champions

    Im jannelle.. Im happy to join this forum. Let's share ideas, life experiences,learn & have funny... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom