Search results

  1. A

    Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

    Sasa hapa kati ya mwana FA na wewe, nani ana mihemko? Acha ujinga na ushabiki maandazi chundu wewe!
  2. A

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Huyo rahisi sana tena endelea hivyo hivyo upo kwenye right path. Ila sasa kwa kuwa umesema unakaa nate nyumba moja, fanya mawili. Mfanye aku miss,, Potea kwa siku kama 3 hivi ukirudi utaona. Ama mtie wivu, tafuta demu mkali kuliko yeye hata kwa kumkodi kwa dakika 5 tu. Nenda naye kwako ukiwa...
  3. A

    Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

    Kama kweli kulikuwa na mpango wa namna hiyo, sidhani kama Yanga ingetolewa mapema. Nani hajui kwamba Yanga au Simba zinapotolewa mapema mapato hupungua?? Think.....
  4. A

    Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

    Miaka 29 tayari ushaanza kutia black??
  5. A

    Nimefikisha 4000 watch hours YouTube na kuwa Monetized

    Sasa kama ulijua ni mapema, kwanini unatusumbua hapa mapema yote hii?
  6. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ndugu Insider, hongera kwa hadithi nzuri. Mimi baada ya kusoma na kufuatilia, miliona sentencing fulani fulani mahala fulani. Mfano: Kuna episode moja ulieleza kuhusiana na huyu Mama Janeth na mambo ya vita vya Ukraine/Russia. Vita hii ilianza Feb last year.. Na kwenye episode hiyo hiyo...
  7. A

    Natamani kujua machache juu ya ajali ya Dr. Mwigulu Nchemba

    Hiyo si damu bali ni coolant ya kwenye "Rejeta". Huwa zina rangi hiyo.
  8. A

    Akina mama Mkalama na Iramba waandamana kupinga kauli ya Lowassa

    Kukosa kura za akina mama ni janga hata yeye anajua.
  9. A

    Akina mama Mkalama na Iramba waandamana kupinga kauli ya Lowassa

    Akina mama toka wilaya za Mkalama na Iramba kwa mamia na maelfu Leo wamefanya maandamano makubwa hapa Shelui kulaani vikali kauli ya mgombea Urais wa ukawa ndugu Lowassa kwamba akipata Urais atamwachia huru Babu Seya. Huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbali mbali kama vile " Lowasa...
  10. A

    Mfumo wa CHADEMA huu hapa

    Nadhani ulitaka kuandika "Uchaga tupu"
  11. A

    Mfumo wa CHADEMA huu hapa

    Tuanze na Hili Siku za hivi karibuni neno mfumo limekua maarufu sana, hivi huwa lina maana gani hasa? Je chadema hawana mfumo? Na kama wanao ni mzuri au mbaya? Umepimwaje? Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho, Mwenyekiti...
  12. A

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Sasa tunangoja kumsikiliza yule asiyejua hata kuongea aje na ahadi ya babu Seya. Bwahahahahahaaaaaa!!!!!!!
  13. A

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ni ruhusa kujipa moyo lakini tutaonana October na tutaheshimiana tu.
  14. A

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kama umati uliofika Jangwani leo watampigia JPM kura ina maana kwa Dar Ccm na ukawa watagawana kura na kupishana kdg sana. Tatizo ni huku vijijini ni CCM tupu! Hapo ndipo mtu atapotezwa mbaya kabisa! Siasa ni hesabu na huwa hazipngopi. Tuonane October 25.
  15. A

    Hivi msamiati wa kuhamia CHADEMA na kuwa mwanachama wa kawaida umefutwa?

    Wewe mleta mada ni msaliti!! Gamba la LUMUMBA. Kachukue buku 7. CDM tuko makini
  16. A

    Fedha hainunui Watanzania -JK

    Imechapishwa: 20 Agosti 2015 Mavumbuo: 70 MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema ujivuni wa fedha sio mali kitu, kwani mtu anaweza kununua watu wachache kwa tamaa na njaa zao, lakini hawezi kukinunua chama chote. Pia, amesema wana CCM wasihofu kwani mtu anaweza kuwalipa watu...
  17. A

    Mwigulu Nchemba kuondolewa unaibu katibu mkuu CCM

    Kasi ya URAIS ya Mwigulu Nchemba kijana wa "Mabadiliko ni Vitendo "Kusababisha kuondolewa nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu. Naibu Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ambaye kwa tafiti inayovuma kwa sasa nchini aliongoza kura ya maoni kwa asilimia 38 ya watu wakitaka agombee Urais na kufuatiwa na...
Back
Top Bottom