Search results

  1. S

    Hebu ona mwenzako nilivyoanza kujiajiri!

    ni vizuri kudhubutu,hongera zako nyingi ila usijione ndo umefka na kuanza kubeza wenzako wa ustawi au kusoma kwako sheria Mzumbe ndo unaona umemalza kila kitu? acha kuwa na fikra za kitoto angali humtu mzima.Watu mliosoma sheria sitaki kuamini kama ndio upeo wa mawazo nafikra mlionao.... acha ubwege
  2. S

    Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

    vita hii imefika mwisho kwa sababu ya makubaliano yaliyopatikana ambayo hapo mwanzo yalikuwa yakileta kutoelewana kwa pande zote mbili, napongeza uamuzi huu na kupuuza wale wote wanaomuona mtu yoyote aliyeshiriki kwenye vita hiyo (kinega) kama bendera mfata upepo. mwanaharakati hupigania...
  3. S

    Meli ya "Samaki wa Magufuli" yazamishwa kwa hujuma

    kwa style hii maendeleo tutayasikia kwenye bomba
  4. S

    Mlipuko watokea Ubungo-TANESCO, umeme wakatika!

    duh!? Hadi posta yote huku city center umeme hamna nahisi hadi ikulu umekatika
Back
Top Bottom