Search results

  1. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    Mkuu hebu kasome kwenye website kwanza upate maarifa. Mimi nina kundi la watu ambao wanachukua visa nje ya nchi mara kwa mara. US consulates ni universal. Nenda kasome kwenye website wamelielezea vizuri hilo upate maarifa
  2. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    A Ahsante mkuu kwa clarifications
  3. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    hahah pole sana inabidi kutumia translator kwakweli
  4. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    Mkuu hii ni mihemuko au?Hebu pitia pitia basi kabla hujaropoka. I know what I am doing with evidence.
  5. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    Ahsante mkuu kwa mchanganuo wa mpaka gharama halisi kabisa
  6. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    hahahaa haya mkuu ahsante
  7. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    kuko full kuliko hata bongo
  8. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    naenda US embassy mkuu, ya kwetu imejaa hakuna appointments kabisa
  9. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    wako sahihi kabisa, ni kuanzia Dar obvious. Nadhani imeeleweka automatically
  10. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    Ahsante Mkuu tuko pamoja sana
  11. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    Habari wakuu, Nahitaji kwenda msumbiji maputo kwa njia ya barabara (bus). Ushauri wenu wakuu na wazoefu huwa mnafanyaje fanyaje? au ni gari zipi zinaelekea huko? Naomba kuwasilisha.
  12. K

    Msaada viza ya Dubai (UAE)

    thanks
  13. K

    Msaada viza ya Dubai (UAE)

    Thanks mkuu
  14. K

    Msaada viza ya Dubai (UAE)

    Ahsante mkuu nisaidie hapa ili na wengine wasome wafaidike
  15. K

    Msaada viza ya Dubai (UAE)

    Wakuu habarini? Kwa waliowahi kwenda Dubai from Tanzania utaratibu wa visa uko vipi? embassy wamesema hawatoi ila diplomatic visa pekee, sasa naweza kukata mwenyewe online? Au lazima nitumie travel agencies? waiting time? processing time? Naombeni mnijuze
  16. K

    Naomba kufahamishwa kuhusu hii hali inayonipata

    Inaweza kuwa peripheral neuropathy
Back
Top Bottom