Search results

  1. Makonyeza

    Changamoto 10 usafiri mwendokasi

    Sina shaka hata kidogo na utendaji wa Mkurugenzi Waziri Waziri Kindamba. Hakuna chembe ya ubishi ndiye aliyeleta mapinduzi katika utendaji wa kampuni ya umma ya TTCL ambayo kabla ilikuwa 'Mortuary' ikipumua kwa msaada wa mashine. TTCL ilitajwa kuwa miongoni mwa taasisi za serikali...
  2. Makonyeza

    Kwanini tunaiamini DNA?

    Kwanza najiuliza, Nani aligundua DNA? Kwangu kila kilichobuniwa na kutengenezwa na binadam ninaamini hakifanyi kazi kwa asilimia mia moja. Kama unatazama mpira utanielewa nikiitaja VAR iliyotajwa kuja kuondoa utata wa mambo, lakini kumbe nayo tumeshuhudia haipo sahihi. Hata hii DNA haikupi...
  3. Makonyeza

    Fumbo la Riziki

    Mafundi na wakufunzi wa lugha wameitafasiri kama ni 'Neema ya Mungu kwa viumbe wake'. Zingatia maneno '...kwa viumbe wake' ikimaanisha sisi wanaadam na wasio na visivyo binaadam. Neema hii kwa viumbe hupatikana kwa njia kuu tatu ambazo ni: 1. Kufanya kazi Hii inajumuisha kufanya kazi za halali...
  4. Makonyeza

    My big no to GMO!

    Sayansi na teknolojia ni maendeleo ya mwanaadamu ambayo yanaelekea kuiharibu Dunia yetu nzuri tuliyozawadiwa na Mungu. Hii ndo kusema akili za mwanaadamu sasa zimepindukia kiasi cha kumdhuru yeye mwenyewe bila kujua. Ninathubutu kusema haya yunayoyaita maendeleo hakika ni maangamizi kwetu...
  5. Makonyeza

    Maradhi ya Kiingereza

    Mteja: Aisee vipi salama? Mimi: nipo salama, lete habari Mteja: Sasa bwana Wakili kumbe yule mteja uliyeniletea anaongea Kingereza? Mimi: Ndiyo, ni Mzimbabwe, kwani tatizo nini? Mteja: Aaaah, ungenambia mapema Kaka nijiandae, tumeshindwa kuelewana bwana, na Biashara yenyewe na yeye sitaki tena...
  6. Makonyeza

    Dakika 40 kumjadili Babu Tale ni matumizi mabaya ya nafasi za ubunge

    Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya. Taifa letu lina matatizo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na wawakilishi wetu pale penye mkusanyiko wetu wa...
  7. Makonyeza

    Akili kubwa sana

    Spotpesa na Dar Young Africa, akili kubwa sana[emoji123]. Wala haihitaji nguvu nyingi akili ikijitosheleza. Maana mantiki na malengo ya matangazo ya biashara ni jamii au umma unaolengwa kama walaji wa huduma ya Kampuni husika kuijua kampuni yao na huduma zake. Ndiyo sababu watu maarufu wenye...
  8. Makonyeza

    Rage unatuongopea mzee wangu!

    Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY! Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu. Kwanza Azam...
  9. Makonyeza

    Maswali kwa TFF na Kanuni zao

    *Hivi umeshawahi kushuhudia CAF wakijishughulisha na mashindano ya Kagame Cup, jibu ni hapana, na sababu ni moja tu, kwamba CAF kama baba wa Mpira Afrika hawayatambui mashindano hayo. *Hivi kwani matamasha ya Simba Day na Mwananchi Day yanatambulika na Tff?, jibu ni hapana, na sababu ni kwamba...
  10. Makonyeza

    Kaka Shaffih Dauda nimesoma andiko lako

    Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania. Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano. Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la...
  11. Makonyeza

    Kaka yangu Mwigulu, kwanini tusianzie hapa?

    Kaka yangu Mwigulu kwanini tusianzie hapa? Huwa ninakuona mara zote ukivaa Tai ya rangi za bendera ya taifa kujinasibisha na uzalendo uliokomaa. Ninaamini kiongozi mzalendo kama wewe kwanza angefikiria kujinyima binafsi na kisha kuishawishi serikali na viongozi wenzake kujinyima kwa faida ya...
  12. Makonyeza

    Tuna safari ndefu sana kisoka!

    Wakisema wajuzi wa mambo, wakati ni shahidi mzuri sana, Sasa nimethibitisha. Ninani aliyekuja na hili wazo la NANI ZAIDI kati ya Simba na Yanga? Hivi watani hawa wa Soka wanao ushindani nje ya uwanja wa Soka?, bila shaka jibu ni hapana. Kwani huu mzimu wa kuokotezaokoteza kwa kubahatisha kwa...
  13. Makonyeza

    Magari ya viongozi kuzimwa?

    Dada yangu Tulia Atkson Kwa umri wako na taaluma yako sikutegemea uje na cheap danganya toto kama hii! [emoji23] Hii hapana bhana, unajaribu kutudanganya watu wazima wenzio, hapana dada yangu, yaani nasema VERY BIG NO! Kama mngekuwa na dhati kwenye hili mngeelekeza aidha kunyang'anya hayo...
  14. Makonyeza

    Watoto wa marehemu wanalia [emoji24][emoji24]

    Ndugu zangu leo nimekuiteni kikaoni muyasikie ya watoto wa marehemu,wanamsumbua mama yangu ambaye ni mlezi wao. Watoto wa marehemu bado wanaomboleza mpaka leo,nawaonea Huruma.[emoji24] Bado hawa Amini kama baba yao amewatoka na wanapaswa kusahau ili maisha yaendelee. Watoto wa marehemu...
  15. Makonyeza

    Kama huyaelewi haya, huwezi kumwelewa Rais Samia

    Acha kwanza nikukumbushe tulikotoka japo kwa ufupi, 1. Kipindi cha Nyerere: Ninaikumbuka kauli ya baba wa taifa alipokuwa akikiri kwamba katika awamu Yao Kuna mazuri na mabaya mengi. Na sote ni mashahidi, (labda kama huijui historia yetu), mfumo wa utawala wa Mwalim ndio kipindi ambacho...
  16. Makonyeza

    Kesi ya Sabaya na mahakama zetu

    Naam, ndio kama mlivyosikia kupitia Vyombo mbalimbali vya habari, aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wameshinda rufaa Yao waliokuwa wakipinga hukumu ya miaka thelathini Jela baada ya kupatikana na hatia ya Unyang'anyi wa kutumia silaha. Imeisha hiyo... Kama hutaki kanunue...
  17. Makonyeza

    Ila Marekani ni mnafiki saaana

    Mwenzao anabondwa mWezi wa Tatu huu wao leo ndo wako bungeni kuomba hela ya msaada. Kwa hiyo vita kwao si dharura kiasi cha kulazimika kufuata protokali zooote za kimamlaka kupata kibali. Halafu baada ya hapo wakishapata hicho kibali msaada watakaotoa ni madawa, chakula, propaganda na...
  18. Makonyeza

    Kuhusu kumiliki ardhi Zanzibar, wengi hatukumwelewa Rais Hussein Mwinyi

    Nimepitia kurasa kadhaa katika mitandao ya kijamii kama Facebook, magroup ya WhatsApp na Jamii Forums watu wakiijadili kauli ya Rais WA Zanzibar Dr. Hussein Ally Mwinyi alioitoa akikisisitiza kwamba Mtanzania Bara haruhusiwi kumiliki ardhi KISIWANI Zanzibar. Wengi wa wachangiaji wameonekana...
  19. Makonyeza

    Inaniuma Kipanya kupuuzwa

    Kuandika ndicho ninachoweza kwa sasa, Sina bajeti ya kufanya Press conference Serena Hotel ili kufikisha mawazo yangu kwa jamii. Inawezekana ile isemwayo kwamba Tanzania ina vivutio vingi vya kufurahisha ni kweli lakini ile dhana ya vivutio ikawa na tafsiri zaidi ya ile iliyokusudiwa. Ebu soma...
  20. Makonyeza

    Simba wanapotea

    Walianza hivi Malengo yetu msimu huu ni Kubeba makombe yote ya ndani tumeanza na mapinduzi cup Pia lengo letu ni kufika nusu fainali champions league Kisha wakaendelea Yanga wao kazi yao kuongoza ligi sisi tunachukua ubingwa MATOKEO YAKE!!!!! Champions league hakuna cha nusu fainali wala...
Back
Top Bottom