Search results

  1. bravocharlie

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Karibu sana ndugu zangu,mimi naji shughulisha na biashara ya kuuza pilipili ( Sweet Chili). Tunauza jumla na rejareja Kwa wale wenye migahawa karibu sana. Kwa mawasiliano 0786 823948
  2. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Bado sijapitisha macho,ntaicheki
  3. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Katuni ambayo tulikuwa tunaangalia channel ten ilikuwa nzuri sana,nilitamani sana hii movie iwe nzuri.
  4. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Hii scene ya fast x pale kwenye mlipuko wa magari ya mafuta, inafaa kabisa kuombea nafasi ya kuwa ghost rider MCU Maana ule moto kwenye matairi pale umenogesha sana na ile turbo charger pale daah noma sana
  5. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Yes yes mkuu nilisha liona ndio maana nikawa napagawa Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  6. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Mbona siipati YouTube hilo trailer la invincible Sn2
  7. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Ambao wameonekana kwenye post credit,daaah kama huyo pharaoh rama hehehehe
  8. bravocharlie

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naikumbuka hii hahaha
  9. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Ntafanya ivyo kaka ntakupa majibu
  10. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Ndio vyote vmekubali Kuna time email nilikosea ikasema email haipo sawa Ila haipo maana vyote nilivyo jaza vipo fresh ndio inaleta jumbe iyo
  11. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Inasema hivi mkuu Jorge WIP
  12. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Hahaha noma kweli,hapana sijaweza ngoja nilete screenshot
  13. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Msaada otapp inazingua ku register inasema "something went wrong" i think
  14. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Naona short and clear
  15. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Barikiwa sana
  16. bravocharlie

    Kuna wakati nafsi yangu inatamani kula nyuma ya wife lakini najizuia

    Vipi mkuu umefanikiwa kumshinda shetani? Mm ungeniomba ushauri ninge kwambia husimwambie maana unampa idea kwenye akili yake alafu wanawake huwa wanataman vitu vingi sana maana anasikia kwa wenzie lakini wanakua hawawezi kusema. So miaka mitatu baadae naomba kujua haujalukia kisamvu?
  17. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Najitahidi nikaangalie uko Hivi kuna app ya kuangalia bei na ratiba ya movie cinemax Pia kati ya mlimani na kule fire ipi iko poa maana nimeangalia cinemax mlimani sijapenda sana na hapo nilikua sijaenda muda nilianzisha tabia ya kusubiria HD
  18. bravocharlie

    Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Pale walijaa vijana wa ccm wengi na jezi zao,what if wamewapa mnacho kitaka? Nimewaza tu kwa nje ya boksi
  19. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Yes yes Sasa nawaza silver surfer vile alivyo ni yeye ndio ana zile ability au aina viumbe katika dunia yake? Kama wapo wengi wale ni hatari aiseee
  20. bravocharlie

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Iron man aliulizwa hili swali na spider man I think,next movie infinity war eeh tukaona nano suit. Maliwato jambo la msingi sana
Back
Top Bottom