Search results

  1. kitonger

    PC yangu haiwaki

    Wakuu msaada pls, asubuhi niliiwasha vizuri tu ila sasa hivi naiwasha haitaki. Nilidhani imeisha chaji nimeichomeka still haiwaki. ni HP..
  2. kitonger

    Kila nikidai tendo la ndoa kwa mke wangu anadai anaumia

    Wakuu habari zenu, nina miezi 2 toka nioe. Cha ajabu mke wangu kila ifikapo tendo la ndoa anadai anaumia na hata tukisex anataka bao 1 tu nikiongeza la pili anaumia tena sana. MSAADA WAKUU MAANA SIELEWI.. Na ana ujauzito wangu wa miezi 5 sasa.
  3. kitonger

    Kurenew cheti ERB

    Wakuu habari zenu,naomba mwenye mwongozo wa kurenew cheti ERB .mie ni Graduate Engineer..cheti nilipewa 2018 kimeexpire 2021
  4. kitonger

    King'amuzi cha Azam hakiwaki

    Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje.
  5. kitonger

    Naomba msaada jinsi ya kurudisha muamala wangu Airtel Money

    Habarini wakuu,saa 3 usiku wa leo nlihamisha 8500 kutoka airtel kwenda sportpesa, bahati mbaya nimekosea codes pesa ikaenda pasipojulikana. Nawezaje kuirudisha pesa yangu? Msaada wakubwa zangu.[emoji120][emoji120]. Hii hapo chini ndo text iliyokuja immediately nlivyofanya muamala.
  6. kitonger

    Msaada ndugu zangu Pc yangu haifunguki

    Habari wakuu..Nina laptop ya Dell..nimeiwasha Jana iliandika maneno hayo.msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom