Search results

  1. B

    Mhe. Nundu Vs Mhe.Mfutakamba hapatoshi!!!!!!

    Mkuu umma upi tena wakati Ticts tuu na mkataba wao wa miaka 25 ni mingi sasa yeye na huo mkataba wa miaka 45 Jamaa hilo nundu lipo hadi kwenye moyo wake, Kwa taarifa yako wizara ya uchukuzi na taasisi zote zimefurahi sana kwa jamaa kupigwa chini mwizi mkubwa
  2. B

    Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

    Mwanawane hiyo ndio maximum utamu, Wakamulie wote sawa usimbanie mumeo au ongeza mwingine ili uwe na full dozi tatu wiki mara mbili siku moja service Baada ya mwezi hal itakuwa normal na utendelea na mme bila matatizo na penzi litakwa motomoto vingenevyo ni PM nikup maelez mengine ya hii dozi
  3. B

    Waziri matatani; Sakata la upanuzi bandari - Alitaka kuwazunguka Mkulo na Dk. Kawambwa

    Mkuuhuko Icao unakofichia kombe mwanaharamu apite ndio hakufai kabisa kwani tukifichua hata yale aliyofanya Getrude Mongella pale AU hayafai kwa hiyo wala usiende huko kwenye janga la taifa Jamaa ni mbinafsi yaani ule umimi upo kwa kiasi kikubwa sana Yaani woote wezi isipokuwa yeye na kama...
  4. B

    Ni shemeji yangu kabisa..

    Mbona hiyo ndio salama yako maana baada ya Bia tano tuu wewe ndio ungekaimu kazi ya dada yako unacheza na pombe wewe
  5. B

    Waziri matatani; Sakata la upanuzi bandari - Alitaka kuwazunguka Mkulo na Dk. Kawambwa

    Mkuu hiyo reshufle inamuhusu nini wakati keshanunua Ghorofa Tanga la kiinua mgongo Nani anasema siasa hailipi ?
  6. B

    Hii ndio England tunayo sifiwa

    Kalagabaho, Kwa hiyo bora kuishi Tanzania Sio, Haya kila la heri fainali uzeeni ndio utaijua, Kwanza umeshajijibu mwenyewe matatizo yao ni ulevi Kama angekuwa hana karatasi asingelala hapo hao ni vijugu tuu
  7. B

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    ukifikisha miaka 18 utajua kinachoendelea unaushauri gani kuhusu posho za wabunge na maofisa wenginw wa sarikali ?
  8. B

    Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    Sasa akimaliza mkataba wake aende wapi ? Au ulitaka ajilipue
  9. B

    Inatakiwa diesel 25,000 mts - cif mombasa

    Tanzania ndio maana haiendelei sasa wewe umepata tenda hata pakuyapata hupajui Hizo meli zitakazokuwa high seas zinasubiri kuuza bila kuwa na order ? Ndio maana Mataka kaiba ATC sasa na wewe chukua chake usepe tuu
  10. B

    Dada ya Rafiki yangu ananitesa nifanyeje?

    kuu ni PM contact zake wewe hakufai huyo
  11. B

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    Ni mgawano wa virusi......na si lingine.....huyu jamaa Diamond ataishia kuwa na Mkusanyiko Kokofyo wa Virusi(MKV) Mkuu mimi mwalimu wangu ni bambucha kwa hiyo hata hich kiswahili sielewi, jee utanisaidiaje kuelewa hicho kitu Mkusanyiko kokofyo wa virusi
  12. B

    Dr Dau wa NSSF kwenye TBC1: Aweka records straight

    Mkuu tupe data na ushahidi wa huu upupu wako sio unaropoka tuu
  13. B

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Sasa utoaji wa viwanja unaendelea au bado ? anayelalamika sio Dr Dau peke yake ni wana Mafia wote
  14. B

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Mkuu bure ni wewe huo ubure uko wapi wakati kilio chake na wanamafia wenzake kimesikilizwa, kwani huko kwenu mabara hamna viwanja mpaka mje huku pwani kutuharibia ustaarabu wetu
  15. B

    Tanzanian People Should Stop Funding ATC (ATC is not necessary!! Socialist Mentality!!)

    Wanvongea utadhani hizo pesa zipo Hilo deni ni la baba Riz1 kwa kutoa kizi kwa kujuana Sasa hivi deni litakuwa la Nundu yeye ndio kampa mshikaji wake Chizi, unafikiri maintenance cost ya CRJ mchezo hata ya Airbus haioni ndani Yote yatajulikana 2015 na wote watalipa hizi pesa
  16. B

    IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

    Mkuu tupo pamoja tuliingia vyama vingi mlango huo huo watu wengi hawakutaka Kha hiyo tujiandae na fast track marekekisho ya katiba kuhalalisha uchicha ili kukidhi mini budget inayokuja soon
Back
Top Bottom