Search results

  1. Stability

    Kuna magari ya kutoka Moshi hadi Mombasa?

    Nisaidieni wakuu. Au hadi nivuke boda ya holili au pale pale moshi mabasi yapo?
  2. Stability

    Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

    Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje. Inapelekea sasa...
  3. Stability

    Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

    Vp wana ndugu, Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii. Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na wana JF walioko concerned. KARIBUNI
  4. Stability

    Haya ndio yaliyotokea ndani ya masaa 24 Man united

    N the space of 24 hours for Manchester United: Reports that the Glazers aren't now selling up United fans' favourite CB gets injured 3-1 loss to Arsenal ten Hag calls out £73m Jadon Sancho in an interview Sancho responds on social media, basically calling EtH a liar Evans and Maguire reunited...
  5. Stability

    Flat tv 32" Samsung, LG, Hisense ni bei gani?

    Currently zinacheza bei gani? Haswa kwa wakazi wa Dar na Mwanza.
  6. Stability

    Msaada: Vifaa muhimu kwa ajili ya biashara ya Car Wash

    Wakuu ningependa kujua list ya items zinazo hitajikwa kwa ajili ya kufanya process ya car wash.
  7. Stability

    Je wafanyakazi wa Car Wash jijini DSM wanalipwa kwa style gani?

    Kila sehemu kuna utamaduni wa malipo. Kuna sehemu unawalipa kwa mwezi na kuna sehemu mnakatana kwa kila mtakalo liosha, etc Sasa sijajua utamaduni wa malipo kwa upande wa dsm, vijana wanalipwa kwa style gani.
  8. Stability

    Nina 25m, nifanye b'ness ipi Tunduma nitusue pakubwa

    Hello Wana Tunduma, Kwa uzoefu idea ipi ya biashara kwa mtaji wa 25million, itanimwagia faida nzuri na kubadilisha maisha yake kwa muda ujao. Karibuni...
  9. Stability

    Nisaidieni Ushauri: Biashara ya SPANNERS Kariakoo

    Wakuu, nina uzoefu na haya maspanners, fix, ring, sockets, power handles etc. Nafikiria kufanya biashara ya kuuza haya maspanners aina zote jumla na reja reja pale Kariakoo. Je, hii idea iko sahihi au itakuwa slow kwa kuwa nime-specialize sana kudeal na spanners tu? Labda ni kuongezee nini...
  10. Stability

    Mitaa gani Kariakoo inahusika na vifaa vya ujenzi

    Natumaini nitapata majibu kutokana na kichwa cha habari kinavyojieleza.
  11. Stability

    Fremu ya ghorofani Kariakoo, vipi biashara ipo au mwendo wa kuchoma mahindi?

    Vp wakuu, kuna fremu ya 650k/m floor ya kwanza kutoka chini, ni mtaa uliochangamka. Kutokana na kodi kubwa, inabidi mauzo yachangamke. Vp saikolojia ya wateja wa k.koo, licha ya kuwepo na mduka chini, huwa wanapanda ngazi? Au ile movement kubwa ya k.koo hupelekea hata maduka ya ghorofani...
  12. Stability

    Duka la vipodozi: Tofauti na Kariaoo, location ipi itanipatia mauzo makubwa Dar es Salaam?

    Happy new year everyone. Kutokana na budget yangu sitakidhi kodi na vilemba ya k.koo. Ila bado budget yangu inakidhi kufunga mzigo nje ya nchi na kufungua duka lililo sheheni bidhaa nyingi na kisasa za cosmetic. Sehemu gani Dar es Salaam, nikifungua hii biashara sitauza sura tu bali...
  13. Stability

    Nataka ku-invest karikaoo, nitarajie changamoto na changabaridi zipi?

    Hello wajuvi na wajuzi, watoto wa mjini, watoto wa kariako, mlio invest kariakoo..etc Nafikiria kupata frem na kufanya biashara ya mikoba, viatu..etc Siku zote katika kila jambo kuna pande zaidi ya moja. Upande niliopo mimi ni wa kuwa tayari kuinvest pale lakini pande ya pili sina ufahamu...
  14. Stability

    Phamarcy: Naweza pata 100k-150k faida kwa siku?

    Habari wanazengo, Kutokana na gharama kubwa za undeshaji wa pharmacy inatakiwa niuze kwa wingi ili ni cover costs zake na maisha yangu pia. Je, investment ya pharmacy ya reja reja eneo lenye mzunguko, naweza kutengeneza faida laki moja na zaidi kwa siku. Au hii business itanipa changamoto...
  15. Stability

    Suggestions & Advice: Mtaji wa 25 million

    Hello wanajamii, Ninataka nizifanyie kitu hizi 25million (after taxes, rents and fees) pale mjini Dodoma. So nilipata options tatu ambazo kwa kupitia uchambuzi na miongozo yenu inaweza kunisaidia nikachagua lipi. OPTIONS ZENYEWE: 1: Hardware ya vifaa vya ujenzi kama vile pliers, bisi bisi...
  16. Stability

    Naomba kujuzwa bei ya bidhaa hizi Mjini Dodoma

    Hello wanajamii mnoishi Dodoma, ningependa kujua bei ya material hizi za ujenzi. 1. Gypsum board gyproc 2. Gypsum board bbg au ya china yoyote 3: Tiles 40 x 40, 25 x 50(45) za twyford au goodwill 4. Gypsum powder kampuni yoyote.. 5. White cement j.k 6. Silk paint10 na 20
  17. Stability

    Nina bajeti ya Tsh.4,000,000 kwa ajili ya kodi ya mwaka, eneo gani limechangamka kibiashara tofauti na Kariakoo?

    Wote tunaelewa Kariakoo ndio centre kubwa ya biashara jijini Dar es Salaam. Kodi ya fremu isizidi Tsh 4,000,000 kwa mwaka, je ni maeneo gani tofauti na Kariakoo. 1: Yana movement kubwa ya watu 2: Yana sifa ya kuwa centre 3: Soko la wateja wenye aina tofauti ya kipato (high, mid, low) Karibuni.
  18. Stability

    Anasema, "Wewe sio mbaya wala mzuri ni wa kawaida"

    Conversation inaanza hivi: GIRL: Siku ile nilipokuja kukusalimia ndio nilikuona vizuri BOY: Yeah ni kweli, (kwa utani) lakini si uliniona jinsi nilivyo mzuri kama wewe hahahah GIRL: Hahah hapana wewe ni mmbaya kama mimi hahaha BOY: Ni bora wote tuko wabaya ili asitokee wa kumlingia mwenzie...
  19. Stability

    Ushauri: Idea 5 za biashara

    Habari wana Ndugu, Tunatofautiana ufahamu, ulipoishia wewe kufikiri ndio mwanzo wa mwingine. Hizi idea tano nimezifanyia zote uchunguzi kwa kiasi na nimepata ufahamu wa hizi ideas kwa kadri ya uwezo wangu. Nina Tsh 14 million (hapo nishatoa gharama za kodi ya frem, urekebishaji wa frem...
Back
Top Bottom