Search results

  1. N

    Wawezaje kujua kwamba unapendwa?

    Kwa upande wangu naona kwa wale wanao mcha Mungu wanapaswa kumuomba Mungu sana ili aweze kuwajulisha kama wale ambao wana mahusiano nao wanawapenda au la, kwa wale ambao bado wapo ktk mahusiano nafikiri wanapaswa kuchunguzana kwa muda mlefu sana kabla hawajaanza kufahamiana kimapenzi. Mahusiano...
  2. N

    Wawezaje kujua kwamba unapendwa?

    Ktk maisha tulio nayo, vijana wengi tumekosa muelekeo kwa sababu ya kujihusisha ktk masuala ya kimapenzi hali hatujajianda na hatima yake tumekuwa ni watu akulalamika kwamba tatupendwi wengine wanadiliki kusema wanamikosi .Leo naomba tuulizane hivi utajuaje kama unapendwa na mwenzi wako?
  3. N

    Mashoga wanayo haki ya kuwa mashoga!

    Usipozungumzia masuala yanayoiathiri nchi yako unaaaaaafikiri ni nani atakaye zungumzia masuala hayo?kumbe kuna sabababu ya kulizungumzia suala la ushoga kwan linakuja na athari nyingi ikiwemo kuvunjika kwa utamduni wa kitanzania ambao kwao tumeweza kuongeza pato la taufa kupitia ngazi ya utalii.
  4. N

    Hili la Godbless Lema ni la kuiga, kubeza au kuunga mkono?

    Kwa kweli unastahili pongezi kwa kutoa mchango mkubwa ktk suala zima la kuuelimisha umma dhidi ya viongozi ambao wanaanza kuonesha jinsi ambavyo wamejitoa kupambana dhidi ya mabeberu tulio nao hapa kwetu nchini Tzania.Ni dhahii kwamba hata ndg zetu waliofungwa jela hawkufungwa kwa sababu ya...
Back
Top Bottom