Search results

  1. danione

    Nataka kununua PS4 Games kwenye store yao, naomba ufafanuzi katika hili

    Shukran Mkuu nimefanikiwa kutengeneza account ingine nikaweka SA ila bado shida ni ile ile Mkuu.
  2. danione

    Nataka kununua PS4 Games kwenye store yao, naomba ufafanuzi katika hili

    Wakuu Habari, Naombeni msaada nahitaji kununua gemes za Ps4 kwenye Store yao, ila shida inakuja hamna location ya Tanzania ukiwa unatengeneza account. Iila nimetengeneza account nikaweka location US ila shida inakuja Kununua game account yangu ya Bank inakataaa Kuingia kwenye account yao ili...
  3. danione

    DVB t2 receiver

    Inatumia Dishi na Hiyo Bei ni Pamoja na Dish
  4. danione

    APP YA KUDOWNLOAD TANZANIA MUSIC

    Bonyeza hapa kuipakua DJ Mwanga - Android Apps on Google Play
  5. danione

    APP YA KUDOWNLOAD TANZANIA MUSIC

    Tumia application ya dj mwanga ingia playstore iko
  6. danione

    Tufahamishane bei za simu

    Chief Mkwawa Pole na Kazi.. Mm Pia bajeti yangu ni Laki Tano naitaji simu nzuri yakutumia campun eyote naomba unishauri sim gan nzuri kwa hiyo bajeti sana sana na mimi nacho angalia ni camera ila sim ikiwa adroid itakuwa poa naomba unishauri ninunuwe sim gani.
  7. danione

    Jamani Nisaidieni Hapa

    Nani mmiliki halali?? Nani anastahili kula hizi ndizi?? #Team utata. Uanaweza kuamua kesi hii?? Au ikitokea ndizi zimekuja upande wako utafanya nini kama hivi na kisheria hapa nani mmiliki!!
  8. danione

    iPhone 4s 16GB iCloud Locked Nifanyaje ?

    Hapana Nachotaka nikutoa hiyo acount na kuweka ingine hiyo account ni ya mtu alikuwa anatumia Nje ila aLinitumia hiyo simu tangia anitumie sijawa itumia bcz inaishia kila siku kwenye kuchaguwa lugha pamoja na kuweka Apple ID Nilisha wai kumtumia email anitumie detels Lakini ajawai nijibu mail...
  9. danione

    msaada wa haraka ku unlock apple id ktk ipad mini

    Naomba Msaada wako ndugu yangu Mimi nina iPhone 4s iLa nikiitumia hata kama ipod nitafurai sana kwa sababu nimeangaika kwa watu kutoa icloude Account wananiambia haiwezekani naomba nisaidie hata hiyo njia ya kubypass
  10. danione

    iPhone 4s 16GB iCloud Locked Nifanyaje ?

    Heshima Kwenu wana JF.. Nina iPhone 4s iLa inadai iCloud Acount kuweka Apple ID pamoja na Password ila zote sizijui naomba msaada wenu kama kunauwezekano wa kuremove account ya iCloud. Niko Arusha Kama kuna Mtu anauwezo
  11. danione

    Nina Laki Nne Na Nusu(450000) Nahitaji Laptop[ARUSHA]

    acer module Gani Ndugu
  12. danione

    Nina Laki Nne Na Nusu(450000) Nahitaji Laptop[ARUSHA]

    Habari Wakuu. Mimi niko ARUSHA Natafta Laptop kwa ajili ya Masomo Yangu Ya chuo Kama Kunamtu ana Laptop anauza iwe na sifa Hizi Intel core i3 Processor oR Dual-Core 2.4ghz AU Zaidi HDD Isiwe Chini Ya 150GB 2gb Ram AU Zaidi Ya Hapo DvDrw webcame wifi Bluetooth 2hrs batry AU Zaidi Ya Hapo Kwa...
  13. danione

    Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

    ANGALIA VIDEO HAPA
  14. danione

    Blackberry Intarnet Servise

    Waungwana Habari za Jumapili... Samahani nilikuwa naomba kuuliza inawezekana kutumia zile servise unazolipia za Intarnet kwenye BB ukatumia kwenye PC Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  15. danione

    Hoja: Kama wabunge wanaongea matusi bungeni, kwanini wanafunzi wasichore mazombi kwenye mitihani yao

    Bunge letu linaelekea wapi jamani, Yaani wabunge waliopewa idhini na wananchi wao ili kutetea maslahi ya wananchi wao hivi sasa ndo wamekuwa viongozi wa kutukana matusi bungeni. Vitendo hivi vya kusikitisha vinaonyesha dhahiri kuwa kwa sasa Elimu ya Uzalendo hapa Nchini kwetu inaelekea...
  16. danione

    Picha zangu mpya mpya hizo angalia

    Zipo poa sana kk Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  17. danione

    Msaada BlackBerry Bold

    Naombeni msaada wenu Nina BlackBerry Bold Ila tatizo lake huwa nikifunguwa DATA Services kwa ajli ya Network Inaanza kupata Moto sana Mpaka Naogopa Nimesha Badilisha Betri maranyingi ila tatizo bado lipo pale pale Naombeni msaada wenu kama nitapata FUNDI WAKUNISAIDIA KUTATUA HILI TATIZO
  18. danione

    Je unatafuta ajira?

    Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? >Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi. >Mda wa kazi kuingia saa 2.30 asubuhi hadi saa 10 jioni. ... >Allowance 300,000/= kwa mwezi. >Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa. >Usafiri na nyumba ya kuishi upo. Requirements.. >Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE...
  19. danione

    2030: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki

    Song: Wazo La Leo Artist: Stamina Feat Fid Q Studio: Bongo Records Producer: P funk Majani Song Writters: Stamina (verses) & Fid Q (chorus) Intro... U know what majani??nice to meet you homie Its moro town baby,,,shorobwenzi Verse 1. (Stamina) Elimika nyangema, maisha hayaendeshwi na...
  20. danione

    2030: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki

    Song: Wazo La Leo Artist: Stamina Feat Fid Q Studio: Bongo Records Producer: P funk Majani Song Writters: Stamina (verses) & Fid Q (chorus) Intro... U know what majani??nice to meet you homie Its moro town baby,,,shorobwenzi Verse 1. (Stamina) Elimika nyangema, maisha hayaendeshwi na...
Back
Top Bottom