Search results

  1. Mzalendo Uchwara

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Hizo ni kauli tu za kisiasa. Mambo ya fomu moja ni udikteta. Haya mambo huwa yanaanza hivihivi, mwisho wa siku kila mbunge na diwani nchini atataka itolewe fomu moja tu kwa ajili yake.
  2. Mzalendo Uchwara

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Actually fomu moja kwa ngazi yeyote ile hata ya urais ni kinyume cha sheria kwakua inawanyima haki ya kikatiba wanachama wengine. Lakini ndio vile tena nchi yetu imejaa kondoo.
  3. Mzalendo Uchwara

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Hawa hawa ambao tumewasamehe deni la umeme hapo majuzi?? Au kuna wengine??
  4. Mzalendo Uchwara

    Tanzania yatajwa kuwa nchi ngumu kufanya biashara kutokana na uwepo wa vikwazo vingi

    Vingi ya hivyo vipengele vipo hapo ili kukusanya mapato ya kuendeshea taasisi husika. Ni jambo la ajabu, aibu na kipumbavu lakini ndio uhalisia wa nchi yetu. Mambo mengi huwa yanaanzishwa kwa malengo tofauti lakini mwisho wa siku yanaishia kuwa vyanzo vya mapato. Ujinga nao ni kipaji, na...
  5. Mzalendo Uchwara

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Lugha ya kihandisi ni michoro na mahesabu. Viazi kama Bashite ndio wanaotakiwa kujua kupiga tantalila.
  6. Mzalendo Uchwara

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Ewaaa, kama haya, alafu namba hizo wana slide tu hapo kuweka na kutoa, hazigungwi kabisa.
  7. Mzalendo Uchwara

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwani hawa jamaa hawana 'front companies' na zile IDs za kazi, kwamba magari yao yasajiliwe kihalali kama mali ya hizo kampuni zao 'binafsi' au kwa kutumia IDs za kazi za watu wao?
  8. Mzalendo Uchwara

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kama lengo ni kutumia namba za kawaida wangeweza kutumia namba za mpya halali zinazoendana na magari. Yaani unakuta gari ya 2023 na ABZ!! Imagine mtu amebeba magaidi kwenye Land Cruiser mpya yenye namba feki za zamani au zile chasis namba nyeusi na vimulimuli pale mbele, anakwenda spidi...
  9. Mzalendo Uchwara

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu. Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
  10. Mzalendo Uchwara

    Ndoa ya zaidi ya mke mmoja zirudishwe

    Serikali inaruhusu, lakini ni lazima mke wako akubali pia, kwenye cheti cha ndoa pale wote mchague "ya wake wengi".
  11. Mzalendo Uchwara

    Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    Na hapo ndio CCM wanafunga bao la mkono. Wale wengine kazi yao ni kunyoosha vidole na kulaumu mbona kile na hiki havifanyiki! Pesa zao zinaishia kukodi mahoteli yakufanyia vikao, hata kujenga ofisi hawataki.
  12. Mzalendo Uchwara

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Wengi wa wateule ni watoto wao, ndugu, jamaa na marafiki. Lazima waombewe msamaha. Mfano yule boss wa EWURA :Clueless:
  13. Mzalendo Uchwara

    Kwanini vitendo vya ukatili vinavyofanywa na viongozi wateule wa Rais Tanzania vinaongezeka kwa kasi na hakuna anayechukuliwa hatua za kisheria?

    Mchakato mzima wa uteuzi umekaa kimagumashi. Yeye mwenyewe hata hawajui wengi wa hao anaowateua. Majina yanapenyezwa tu. Kama unamjua mtu sahihi basi uteuzi unakula bila shaka.
  14. Mzalendo Uchwara

    Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

    Mbona wanaajiriwa na halmashauri husika!!!
Back
Top Bottom