Search results

  1. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Rais wakati wa sakata la mashine za electronic likichukua kasi juu ya wizi uliokuwa unafanyika msimamizi wa mbeya,tanga, mororogoro na kagera walilalamika sana lakini kwa upande wa Dar es salaam alikuwa anasifia huo mfumo mimi mpaka leo sijajua nini kilikuwa nyuma ya pazia kwa huyu jamaa. Rais...
  2. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    RAIS kwenye shilikisho lako unaloliongoza wewe kuna baadhi ya dalili za rushwa kwa baadhi ya kamati hasa ya WAAMUZI umechukua hatua gani mpaka sasa. Rais mbona hunijibu?
  3. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    RAIS kwenye shilikisho lako unaloliongoza wewe kuna baadhi ya dalili za rushwa kwa baadhi ya kamati hasa ya WAAMUZI umechukua hatua gani mpaka sasa.
  4. ikizu

    Passo inauzwa 6 Millions

    pokea 5 naitaka hiyo gari
  5. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    ahsante mkuu kwa taarifa
  6. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Rais vipi kuhusu adhabu kwa wale watu walijihusisha na matukio ya vurugu katika michezo hasa tukio lile lililofanywa na Katibu wa Simiyu kwa kumpiga mwamuzi makonde mpaka leo sisi wadau hatujui huyu jamaa ameadhiwa au la? maana tunavyojua aliitwa na kamati ya maadili lakini hakuhojiwa kwa sababu...
  7. ikizu

    Shule ipi ya A-level yenye ada nafuu?

    Du mkuu mbona ni nyingi maana shule zote za kata ada ni 70,000
  8. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    NIMESAHAU NA WASHAURI WKO WOTE YANGA MATANDIKA AYUBU NYENZI RUTHA
  9. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    MALINZI RAIS WA TFF ulipo ingia madarakani watu wa kawaida walikuwa na wewe ila sasa imani hiyo imeanza kutoweka pole sana AIBUUUUUUUU. .Rais wa T.F.F - Yanga 2.Katibu mkuu - Yanga 3.Ofisa habari - Yanga 4.M/Kiti kamati ya Sheria - Yanga 4.M/Kiti kamati ya Nidhamu - Yanga 5.M/Kiti kamati ya...
  10. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Mkuu wa mpira hapa Nchini Tanzania. nilikwambia kwenye ushauri wangu na maswali kwako hatimae yametimia. KWANZA Kuhusu suala la kubadilisha waamuzi wa mechi za TOTO ukakanusha sijui na la mechi ya jana ya TOTO na GEITA utalikanusha? aibu aibu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwako kama mkuu wa mpira...
  11. ikizu

    Morning Star Televisheni yakabidhiwa leseni ya kurusha matangazao na TCRA

    ok asante kwa taarifa nikiitaka hii channel inapatikana kwa frequence zipi?
  12. ikizu

    Mkutano mkubwa wa Injili Uwanja wa Taifa Februari 1-7 2015

    ok unaitwa MISSION EXTRAVAGANZA
  13. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    hili la timu za majeshi linafanyiwa kazi lakini ukumbuke vilabu vya jeshi vinamilikiwa na vikosi vyao na si mkuu wa majeshi
  14. ikizu

    Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    msabato huyo na wasabato hawana longolongo
  15. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

  16. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

  17. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    RAIS asikia tarehe 31/01/2015 unakutana na wenye viti wa mikoa DODOMA kulikoni? mbona wenye viti wa vyama shiliki umewaacha kwenye kikao hicho?
  18. ikizu

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    RAIS, Vipi inaruhusiwa njumbe wa kamati ya utendaji kuingia kwenye chumba cha waamuzi na kutoa maelekezo kwa kwa waamuzi akidai kuwa yanatoka kwako wakati wa mapumziko? hili limetokea vkatika mechi mbalimbali alizocheza Toto African ya mwanza. na leo inacheza Arusha na yanasemwa mengi juu yako...
Back
Top Bottom