Search results

  1. Nelly

    Nimetimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa mbali na JamiiForums na nimeamua kurudi

    Hello great thinkers Niliamua kujipa likizo isiyo na malipo kutotumia mtandao wowote wa kijamii na haya ni baadhi ya mambo niliyogundua kwa upande wangu 1. Urafiki unaotengenezwa kwenye mitandao ya kijamii umekuwa wa manufaa na faida nyingi katika kada zote za kimaisha tofauti na marafiki...
  2. Nelly

    Ipi ni starehe yako kubwa pale unapokuwa umepumzika??

    Hello every body, Moja kwa moja kwenye mada,kila mtu amekuwa akipumzishe mwili na akili kwa jambo ambalo ataona linampa furaha na kumsahaulisha machungu yote katika kutafuta riziki. Kwa upande wangu huwa napendelea sana kucheza PlayStation kwa sababu nimekuwa nikipenda kucheza games kwa muda...
Back
Top Bottom