Search results

  1. Operand

    Ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na Ndoa za Mitala

    Habari za mchana jf? Jamani naomba kuwauliza wazee wetu mlioko JF, Hivi mliwezaje ama mnaweza vipi kuishi na wake (wives) wawili n.k kwa miaka nenda rudi bila ndoa kuvunjika vunjika? Vijana wa sasa ndoa ya mke mmoja inatutoa Jasho Wazee wetu kina Asprin tunaomba mawaidha hapa
  2. Operand

    Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

    Habari JF Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni wasumbufu, sikubaliani nayo! Mimi ni kijana wa miaka 25-30, Nafanya kazi ya ulinzi tu, kwa hio kipato...
Back
Top Bottom